Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

HIzo hela umezipataje..?? Biashara zote hz hapa tanzania
 
Aisee unamtaji mkubwa ingekuwa mm ndo nina mtaji huo hakika singeweka wote ningeanza na million 10 tu nyingine baadae kwa wazo nililonalo
 
Wakuu naleta mrejesho,
Niliingia kwenye kilimo aiseee, nikipata Gunia name tu na wakati niliweka kama 10M ingawa hata shamba nilinunua lakini duuhh kilimo si mchezo, sasa hivi nimeona nirudi dar
Pole mkuu usivunjike moyo mbona dsm kuna vtu vya kuwekeza na vtakulipa
1.moja "Wekeza kwenye biashara ya TV" hakuna tv na mizigo ya bei nzuri utanunua zanzibar huko sio wauza vitu vya hovyo hovyo kama kariakoo (M6 itatosha kwa hapa) unachotaka ni kufungua page Instagram atleast uwe una Lipia matangazo elfu kumi kwa siku hutokosa wateja kuanzia wanne

2.fanya biashara ya viazi mviringo "utavitoa iringa to dar kubali kula na madalali weka(mil moja kwanza inatosha) ufanye prototype

3. Biashara ya vifaa vya magari haswa vya urembo wa magari
(mtaji M5 Sio mbaya) same applies fungua page instagram
(hapa kazima uajiri mwenye ujuzi

4.spare za piki piki na bajaji mkuu
(kwa daslam Hizi Zina Husika sana)
(mtaji M5 wa kuanzia)
Ajili fundi Ila mjali kwenye malipo usimdhulumu

Kazi kwako mkuu Kila laheri
 
Wakuu naleta mrejesho,
Niliingia kwenye kilimo aiseee, nikipata Gunia name tu na wakati niliweka kama 10M ingawa hata shamba nilinunua lakini duuhh kilimo si mchezo, sasa hivi nimeona nirudi dar
Mkuu kama hela bado ipo njoo tushirikiane biashara ya uhakika
 
Njoo tuwekeze kwenye biashara ya majeneza inalipa sana hutojuta!
 
Hayo mawazo tu tayari ndio msingi wa kukufelisha na kushindwa kuziona fursa....change your attitude
 
Mfanyabiashara ni risk taker . Alafu tukiwaambia wafanyakazi walioajiriwa manispaa na TRA kukusanya mapato wanavyojibu kwa nyodo(baadhi yao) unatamani kummeza

Tz kodi ni nyingi kuliko maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…