Kuanzisha Insurance Broker

Kuanzisha Insurance Broker

kanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,025
Reaction score
494
Wadau nipeni maujuzi na utaalamu mwepesi kwa walio weledi katika mambo ya Bima.Nataka kuanzisha kampuni yangu ya Udalali wa Bima. Tayari ninakmapuni lakini haina line ya Bima lakini kwa sasa naona kama kuna Opportunities katika eneo hilo na naweza kucapitalize vya kutosha, ila miye ni mtaalamu wa mambo ya fedha na uchumi siyo Bima.Kwa kutambua nafasi ya jamii forums naombeni msaada katika kukidhi haja yangu ya kuwa na kmapuni ya Bima kwa siku zijazo kwa kuanza na kampuni ya udalali.Msaada kwa wabobezi katika secto hii iwe ni
  • Mtaji unaotakiwa
  • staff qualification
  • maeneo/ location ya biashara
  • mahitaji na masharti ya leseni ya Udalali
  • na mengineyo yanaendena na biashara hii
  • Vijana waliomaliza au kuwa na elimu ya Bima watapewa kipaumbele wakati wa ajira
  • Tofauti ya Wakala wa Bima na Dalali wa Bima katika mahitaji ya Usajili.
  • Naweza kupata fomu za usajili kwenye mtandao wa Mamlaka ya Bima au ni non- digital?
  • natanguliza shukrani kwa elimu nitakayopata toka kwenu.
 
Nami nasubiria kweli! ebu tusaidien bandugu!
 
Kwanza tumia muda wako kusoma sheria ya bima na kanuni zake, kwa msaada nakuwekea "Checklist" tuliyoindaa kwa ajili ya kazi zetu za ukaguzi, sheria yenyewe na kanuni zake.

Kuhusu mtaji, zaidi ya ofisi na vifaa vya ofisi utahitajika kuweka dhamana yako kwa msajili wa Bima, hii ni Fixed Deposit unayofungua kwenye benki na kupeleka risiti kwake. kwa upande wa staff qualification, kwa uchache afisa mtendaji kuu lazima awe amesomea masuala ya bima (IFM bila shaka)
 
Attachments

Wadau nipeni maujuzi na
utaalamu mwepesi kwa walio weledi katika mambo ya Bima.Nataka kuanzisha
kampuni yangu ya Udalali wa Bima. Tayari ninakmapuni lakini haina line
ya Bima lakini kwa sasa naona kama kuna Opportunities katika eneo hilo
na naweza kucapitalize vya kutosha, ila miye ni mtaalamu wa mambo ya
fedha na uchumi siyo Bima.Kwa kutambua nafasi ya jamii forums naombeni
msaada katika kukidhi haja yangu ya kuwa na kmapuni ya Bima kwa siku
zijazo kwa kuanza na kampuni ya udalali.Msaada kwa wabobezi katika secto
hii iwe ni
  • Mtaji unaotakiwa
  • staff qualification
  • maeneo/ location ya biashara
  • mahitaji na masharti ya leseni ya Udalali
  • na mengineyo yanaendena na biashara hii
  • Vijana waliomaliza au kuwa na elimu ya Bima watapewa kipaumbele
    wakati wa ajira
  • Tofauti ya Wakala wa Bima na Dalali wa Bima katika mahitaji ya
    Usajili.
  • Naweza kupata fomu za usajili kwenye mtandao wa Mamlaka ya Bima au ni
    non- digital?
  • natanguliza shukrani kwa elimu nitakayopata toka kwenu.

Ndugu, tembelea website ya TIRA, (www.tira.go.tz) utapata taarifa zote unazozihitaji
 
Kwanza tumia muda wako kusoma sheria ya bima na kanuni zake, kwa msaada nakuwekea "Checklist" tuliyoindaa kwa ajili ya kazi zetu za ukaguzi, sheria yenyewe na kanuni zake.

Kuhusu mtaji, zaidi ya ofisi na vifaa vya ofisi utahitajika kuweka dhamana yako kwa msajili wa Bima, hii ni Fixed Deposit unayofungua kwenye benki na kupeleka risiti kwake. kwa upande wa staff qualification, kwa uchache afisa mtendaji kuu lazima awe amesomea masuala ya bima (IFM bila shaka)
mkuu ulifanikiwa?
 
Back
Top Bottom