Kuanzisha Shule ya Msingi na Sekondari: Utaratibu wa Kiserikali, Ushauri, Changamoto na Faida

Kwanza chance ya kutoboa kupitia michezo ni ndogo sana ukilinganisha na elimu ya ufundi na hii ya tulioizoea.
 
Daaah hizi mada nazikuta huku zinanihamasisha sana hii ni baada ya Mimi kutamani kumiliki shule yangu binafsi. Jamani, mtu asaidie ilitufikie wapi na tuanzie wapi.
Ni kweli mkuu.
Hata mimi nafikiria sana biashara za shule na hospitali watu huwa wanatoboa kirahisi sana kwa sababu zinadili directly na jamii.
 
kama ni for service oriented shule ya michezo it's ok (utakua kama mdhamini)....but kama ni for profit purpose chuo cha ufundi , shule msingi ,secondary na nursery is the best
 
Bajeti ya chuo kama hiki bei Gani kianzio na vigezo vingine
 
Mkuu umetoa nondo za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…