Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
- Thread starter
- #21
Mkuu silijui ni lipi hilo?njoo jukwaa letu pendwa la wakubwa hakuna ubaguzi huko yoyote anatupia tu ile kitu roho inapenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu silijui ni lipi hilo?njoo jukwaa letu pendwa la wakubwa hakuna ubaguzi huko yoyote anatupia tu ile kitu roho inapenda
Acha mbwembwe, kwani Unatumia jina gani huko fb!Kule sasa hivi nimekuwa na magroup mawili, moja linanikubali moja halinikubali.
Sababu ambayo group halinikubali:
Naweza kupost picha za hela tsh au dola basi baadhi roho zinawauma kuona zile pesa maana utakuta kwa wakati huo kuna mtu vyuma vimemkaza sana. Aidha anadaiwa au ana shida japo elfu 10 hajui atoe wapi.
Kundi linalonikubali ni kwamba mimi silazi damu, ukija kichwa kichwa kwenye post yangu, utaondoka ukijiuliza hivi ndo yule ambae namuona mstaarabu? Kumbe umekuja kutafuta sifa ili watu wakuone wa maana lakini nakupa makavu.
Wengine sasa hawa like, wala kukoment maana niliwapiga mabomu ya motor hawatosahau.
Ila pia nina marafiki wengi akina dada nikiweka picha tu lazima like nyingi ziwe za kwao mpaka kuna aliekuwa dem wangu kanichunia sababu:
Kuna wadada watano wanawahi seat sasa kile kitendo kilimkera na kunambia ni madem zangu, nilibaki mdomo wazi.
Kwa ufupi nina changamoto sana njoo ujionee mwenyewe.
Hahahaha njoo ujionee mwenyewe kama nasema uongo.Acha mbwembwe, kwani Unatumia jina gani huko fb!
Weka link sasaHahahaha njoo ujionee mwenyewe kama nasema uongo.
Sina biashara kule ningeweka, wewe njoo utanikuta tu maana naamini kama Mshana ni rafiki yako na mimi utaniona.Weka link sasa
Hapana tuma pmSina biashara kule ningeweka, wewe njoo utanikuta tu maana naamini kama Mshana ni rafiki yako na mimi utaniona.
Watu wanaona ufahari kupata likes na comment nyingii wakati tumboni njaa inauma