Kuanzishwa kwa michezo ya kubahatisha kwenye redio hapa Tanzania kuna manufaa gani kwa nchi yetu?

Kuanzishwa kwa michezo ya kubahatisha kwenye redio hapa Tanzania kuna manufaa gani kwa nchi yetu?

Reptilia

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
867
Reaction score
847
Msinichoshe wala nisiwachoshe, rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusu hizi redio kubwa hapa Tanzania kuanzisha michezo ya kubahati ya kimkakati, nime 'experience' kwa redio zifutazo;
  • Clouds wana #mchongo pesa
  • Wasafi wana #chota mahela
  • East africa wana #peseka
  • Radio free wana #bustika minoti
  • Capital radio wana #buruza mihela
 
kila anayeshinda basi hukatwa 18% kutoka pesa aliyoshinda kama kodi kwa serikali.

na kuna bodi ya michezo ya kubahatisha. so ipo kisheria.
 
Msinichoshe wala nisiwachoshe rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusu hizi Redio kubwa hapa tz kuanzisha michezo ya kubahati ya kimkakati ,nime experience kwa redio zifutazo;
Clouds wana #mchongo pesa
Wasafi wana #chota mahela
East africa wana #peseka
Radio free wana #bustika
minoti
Capital radio wana #buruza
Mihela
Huo unaitwa Mkono wa Serikali mkuu usiumie kichwa ingekua haina manufaa kwa Serikali usingeona inapigiwa upatu redioni, si umewahi kusikia Serikali ina Mkono Mrefu sasa Mkono mrefu wa Serikali ndio huo, wewe tamka tu hayo maneno alafu fanya kitu kinaitwa decipher au code decryption, mfano chota mihela au mchongo pesa au buruza mihela, wewe unadhani hio mihela anachota, anaburuza au peseka nani yaani katika watu million 20 ambao wanatuma 1000 anashinda mtu 1 au 2 au 3 na wanapewa 500,000 ikizidi sana 1,000,000 tu

Piga hesabu

1000×20,000,000 =?

Ushaelewa jambo?
 
Nshaelewa kumbe naserikal imo
 
Nshaelewa kumbe naserikal imo
Sio na Serikali imo kiufupi hio ni miradi ya Serikali, akitokea mtu yoyote anaipiga vita hatoweza maana imewekwa na Serikali kujiongezea mapato kutoka kwa wananchi, au unataka kushindana na Serikali?
 
Back
Top Bottom