Kuanzishwa kwa tunzo za watu mashughuli Tanzania

Kuanzishwa kwa tunzo za watu mashughuli Tanzania

Annonymous

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
688
Reaction score
1,126
Mods mnaweza unganisha uzi huu na wa mwanzilishi wa hii mada hii Robert Heriel Mtibeli

Uzi ni : Moja ya dalili ya kijana kukosa maadili ya wazazi ni kuwafanya Wasanii wa muziki, drama na Filamu kuwa Role Model.

Uzi wangu huu ni jawabu la mtoa mada Robert Heriel Mtibeli aliyehamsha hoja moja ya kimaadili lakini inayogusa mustakabari wa maisha ya kizazi kijacho. Mdau alieleza kuwa umeme ulikatika kisha kwwnda kupoteza muda wa jilani yake na akiwa huko akauliza watoto wa huyo jilani role modal wao. Watoto wote wa3 mmoja akaswma diamlnd, Mwingine chino na mwingine sijui nandy kama sijakosea. Kwahyo watoto wote walichagua wasanii

Hii ni kwasababu ndio wanaowaona na kuwasikia muda wote. Hakuna aliyemsikia einsten, newton, tesla au elon musk, n. K Ila naamn wakiwajua hawa basi wataenda mbali

Jibu la mdau:
Napendekeza kwa jamii na tanzania.
Kama vile madam rita aliaanzisha bongo star search kuanzia miaka hyo ilirushwa nafikiri ITV hv mpaka sasa imehamis star swahili. Kila mwaka inafanyika

Kama vile basata ilovyoanzisha mashindano na tunzo za waimbaji bora, producers, machawa n. K

Kama vile kulivyo na tunzo au mashindano ya kurusha matangazo ya miujiza ya makanisa, makampuni ya kubet na pombe kali

Kama vile kulivyo na shule bora ya mwaka kwa matokeo ya darasa la 7, Form 2 na form 4 pia form 6

Napendekeza kuanzishwa kwa tunzo au mashindano ya watu mashughuli tanzania kama vile daktari bora wa mwaka, nurse bora wa mwaka, shule bora ya mwaka, mwanasiasa bora wa mwaka, mwandishi bora wa vitabu wa mwaka, mfanyabiashara bora wa mwaka au mlipa kodi bora wa mwaka, Hospitali bora ya mwaka (za serikali), taasisi bora ya umma, kampuni bora ya usafirishaji au mawasiliano, mwanasheria bora wa kujitegemea, Wagunduzi bora (mf. Aliyebuni gari, sijui mtu kabuni jiko la solar, sijui mtu kabuni umeme kutoka kwenye hewa n. K), mwalimu bora wa serikali, traffic bora, polisi bora, Mama bora na baba bora wa mwaka n. K

Lengo watu waache kuona role modal wao ni wavuta bangi na unga kama harmonize sijui chino wanaman au zuchu. Au machawa kama mwijaku, baba levo na deo magari ambao wanaishi maisha ya maogizo kuanzia kuzaliwa hadi kulala ni camera na editings tu. Watu wayaone maisha halisi yalivyo mtaani.

Mimi naamini ukiyaona maisha halisi muda wote utaweza kuyaboresha yawe bora ila kama unashinda kuangalia maisha ya uongo nyuma ya camera utaishia kuishi maisha feki na kurithisha watoto maisha feki
 
Back
Top Bottom