Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Jogoo limewika Dodoma, wabunge vijana wa CCM wenye umri chini ya miaka 45 wameanzisha umoja wao. Umoja huo umezinduliwa leo ktk Mkutano wa 13 kikao Cha 10. Manaelewa kwanini ni wenye chini ya miaka 45 pekee?
Wale wagombea Urais ndani ya CCM 2015 na kuuringia ujana, Sasa wadogo zenu wamekiwasha. Malipo ni hapapa duniani.
Mtanielewa miaka michache ijayo
Wote wenye zaidi ya 45 na chini wanategemea wizi wa kura tu kubaki madarakani. Hayo madoido ni kwakuwa wanajua bila hata kura kutosha wanaweza kutangazwa washindi.Siasa tupu, hata wanachama wanaweza wasijue kwanini umoja huo ulianzishwa na kwani wapo huko.
Hao vijana hawakijui chama, watafyekelewa mbani na chama kitanawiri vilevile. Hawa wazee sio wa kudharau wamesoma sayansi ya siosa na diplomasiaJogoo limewika Dodoma, wabunge vijana wa CCM wenye umri chini ya miaka 45 wameanzisha umoja wao. Umoja huo umezinduliwa leo ktk Mkutano wa 13 kikao Cha 10. Manaelewa kwanini ni wenye chini ya miaka 45 pekee?
Wale wagombea Urais ndani ya CCM 2015 na kuuringia ujana, Sasa wadogo zenu wamekiwasha. Malipo ni hapapa duniani.
Mtanielewa miaka michache ijayo
Mimi naingiaje hapo?Wewe na wao, wote hamjielewi
Mimi naingiaje hapo?
Wanishukie kwa lipi?Wenye miaka 45+ watakushukia kama mwewe
Mimi nimeleta habari kwa kuwa imetokeaKuleta habari z hovyo na kuwa na side
The presidential material and political geniusNamuona January akifoka
Mimi nimeleta habari kwa kuwa imetokea
Namaanisha yajayo yanafurahisha kwa wale waliojikweza. Nao wamezeeka."Malipo ni hapapa duniani, mtanielewa miaka michache ijayo"
Hii ni sehemu ya hiyo habari au maoni yako?
Ni Umoja wa kijinga kama kilivyo chama cha Chadema.Ni umoja wa kijinga na kipumbavu hauna faida kwa nchi
Namaanisha yajayo yanafurahisha kwa wale waliojikweza. Nao wamezeeka.