Kuanzishwa kwa umoja wa wabunge wa CCM wa chini ya umri wa miaka 45, Ni ishara mbaya kwa waliouringia ujana 2015

Kigwangalla ana 48
Ana zaidi ya hiyo miaka sema CCM huwa wanaficha, kwa maelezo yake 1995 anasoma Masters baada ya kuwamaliza degree ya medicine, sema wanasiasa wanapunguza miaka, wote hao walifoji foji kama akina Mwigulu, Makamba, Nape n.k utakuta wana zaidi ya miaka 55
 
Utavunjwa haraka. Maana chama chai kilikataza union zisizo rasmi.
 
Ni nini mchango wa wa wabunge katika muswada wa DP-WORLD?

Huo ni umoja wa vijana wapigaji ndani ya CCM!

Je!
Huku majimboni watakuja kama wabunge wa CCM ipi?
 
Ni nini mchango wa wa wabunge katika muswada wa DP-WORLD?

Huo ni umoja wa vijana wapigaji ndani ya CCM!

Je!
Huku majimboni watakuja kama wabunge wa CCM ipi?
Watakuja Kama wabunge wa CCM moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…