FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,882
- 5,087
Sijui kuhusu maeneo mengine ya nchi ila kwa Dar nimepitia kwenye mabanda mengi hali ni mbaya sana.Lugha ya matusi imekuwa kama sehemu ya kusheherekea mchezo.Mbaya zaidi unakuta hapo ndani kuna uwepo wa Watoto pia.Ni wakati sasa Jamii ikumbushwe kuwa ushabiki wa mpira si kwa ajili ya kundi fulani tuu.Kuna Wastaarabu wengi tu nao hupenda Mpira na hukwazika na tabia hii chafu inayokithiri na kuzidi kumea kila kukicha.