Ww jamaa muongo kinoma 😂Kuna dogo mmoja aliingia kwenye banda la mpira ilikuwa match ya Man U na Arsenal na yeye ni Arsenal akawatukana mashabiki wa Man U wote wangese na wanawekwa dole la kati,kumbe Baba yake mzazi alikuwa mule ndani na ni shabiki wa Man U,dogo ilibidi akimbie.
Hao wameshindikana, usiombe kuwakuta wakiwa wanasimika nguzo ya umeme, ni shida!Kwahiyo ndugu zetu wa TANESCO nao vipi?
We kaa nyumbani kwako ili uangalie mpira mwenyewe hutosikia kelele, raha ya mpira kelele, vijembe na kejeli.Ukisoma comments zinatamausha,siamini kama jamii imefikia huku kwa kuunga mkono mambo yasiofaa.Hii ni tabia mbovu tu ya rika la Vijana kujiona ndio kila kitu na kuwapuuza Wazee na Watoto.Naamini tukilivalia njuga hili linawezekana.Tusifikie kama walipofikia bodaboda na Traffic Polisi,kunyoosha mikono juu na kuona hili limeshindikana.