Kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa ya serengeti open yatakayofanyika Arusha kila mwaka

Kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa ya serengeti open yatakayofanyika Arusha kila mwaka

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Kama kisemavyo kichwa cha habari kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa yatakayofanyika arusha mjini na yatakua na faida lukuki kwa nchi kama ifuatayo
  • Kutangaza vivutio vya utalii kama serengeti na mlima kilimanjaro na vitaondoa ule uvumi kwamba mlima kilimanjaro na serengeti vipo Kenya
  • Kuongeza ongezeko la utalii
  • Kuongezeka mapato
Nini kifanyike ili serengeti open ifanikiwe
  • Serikali ijenge arena ya kisasa ya watu 20,000 na isihofu fedha iliyowekezwa itarudi
  • Zawadi kwa washindi ziwe zinakaribiana na zile zinazotolewa kwenye grand slam
 
Yaani Serengeti iwe Mara halafu mashindano yafanyike Arusha!
Ipo mara na Arusha
Sijui nani amewazoeshaga Serengeti Iko mara peke yake😂
 

Attachments

  • Screenshot_20250321-180821_1.jpg
    Screenshot_20250321-180821_1.jpg
    375.4 KB · Views: 31
  • Screenshot_20250321-180807_1.jpg
    Screenshot_20250321-180807_1.jpg
    321.5 KB · Views: 34
Yaani Serengeti iwe Mara halafu mashindano yafanyike Arusha!
Mambo hayaendi hivyo ndugu, Serengeti iko karibu na Arusha, hakuna mzungu anajua habari ya Mara. Serengeti na Ngorongoro viko sehemu moja mambo ya Mara ni mambo ya utawala tu
 
Ndio kitovu cha utalii au na hili hulijui wageni wengi wanaoenda serengeti wanatokea arusha na sio hata mara
Kwani Kilimanjaro Internatinal Convention Centre inavyojengwa Arusha, Kilimanjaro iko Arusha? Kilimanjaro Hotel iko Dsm, huyo ni mbaguzi tu
 
Back
Top Bottom