Kubadili combination A Level

Nilitaka nisome PCB, leo wamenichagua HKL, nawezaje kubadili hiyo kitu. Siitaki katu
Una credits za kusoma PCB?

Akili yako inajiweza? Maana PCB, Form six si mchezo hata kidogo. Kama O level uliambulia D au C katika masomo yako, basi iache tu.

Pambana na HKL ambayo bila shaka ulipasua vema.

Anyway, kama shule ina PCB wahi mapema ukaombe wakubadilishie combination.

Kama haina, itakupasa sasa uhame shule ama uende binafsi ama uombe uhamisho kwenye shule yenye PCB.

Kila la kheri Daktari mtarajiwa. Karibu tulisogeze.
 
Anyway, kama shule ina PCB wahi mapema ukaombe wakubadilishie combination.

Kama haina, itakupasa sasa uhame shule ama uende binafsi ama uombe uhamisho kwenye shule yenye PCB.

Kila la kheri Daktari mtarajiwa. Karibu tulisogeze.
How do you do it then to get transferred
In passing, nilimaliza PCB 1976. wajukuu wanasumbua........
 
Nilitaka nisome PCB, leo wamenichagua HKL, nawezaje kubadili hiyo kitu. Siitaki katu
Tuanzie kwanza ana ufaulu gani huyo mwanao, pili alichagua combinations zipi kwenye mtiririko. Yani PCB ilikuwa ya ngapi na HKL ilikuwa ya ngapi. Pia tujue ana ufaulu gani kwenye hayo masomo matatu ya PCB.

Baada ya hapo utalinganisha na shule aliyosoma ufaulu wao ukoje, kama alisoma shule nzuri na ana ufaulu wa kawaida asiende PCB atazunguka na kurudi diploma. Kama shule ufaulu wa kawaida alijipambania kwa uwezo binafsi, anaweza pambana kwa nguvu kubwa A level na comb. hiyo.

HKL sio ya kusoma kama hana nia nayo, akishindwa options zote bora aende diploma, nusu ya nguvu ya kusoma PCB anaiweka uko anatoka na GPA ya 3.5+ na kwenda Degree kwa kuchelewa mwaka mmoja ila kwa uhakika.
 
Umenishauri vema mno! asante sana. Nitakupa mrejesho kesho. asante tena.
 
Bila one now huwezi kusoma PCB au PCM Kwa shule za SERIKALI.
Hiyo sheria imeanzishwa lini.
Maana ninachojua huo ni utaratibu waliojiwekea wakuu wa shule ili kupata standard nzuri kwenye kufaulisha ila kuna watu wanabisha wanahonga watoto wao wasome PCB na mara nyingi wanafeli kama ilivyotarajiwa na shule.
Akiwa na C flat wanamzuia, akiwa na labda B flat hata kama ana Div.2 wanamkubalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…