Kubadili engine ya Toyota Allex cc1790 to 1450

Huo moshi unatokana na gasket kufa, inachanganya oil, hewa,maji na mafuta ndio maana moshi unatoka mweupe. Ukiendelea kuendesha utakuwa unachoma oil kwa muda mfupi imeisha.
Oke mkuu, kuna mtu aliniambia nikiweka stp sijui inaongeza uzito kwa oil moshi utakata

Mwingine akasema nitumie oil za diesel moshi utakata!

Vipi hapo kitaalamu ipo vip
 
Huo moshi unatokana na gasket kufa, inachanganya oil, hewa,maji na mafuta ndio maana moshi unatoka mweupe. Ukiendelea kuendesha utakuwa unachoma oil kwa muda mfupi imeisha.
Shida yangu niendelee kuitumia hii gari ila moshi usiwepo... Maana engine nitanunua ingine baada ya miezi miwili.

Kwa iyo natafuta njia ya muda ya kutuliza moshi... Maana unakata stimu saana
 
Fanya overhaul,kama una budget kuanzia laki4 inatosha
 
Shida yangu niendelee kuitumia hii gari ila moshi usiwepo... Maana engine nitanunua ingine baada ya miezi miwili.

Kwa iyo natafuta njia ya muda ya kutuliza moshi... Maana unakata stimu saana
We jamaa una sikitisha sana, moshi mweupe maana yake gari yako inachoma coolant....sasa possible cause ni either head gaskets imeungua so haifanyi sealing vizuri or kuna crack kwenye cylinder bore..na kama issue ipo associated na cracking of cylinder bore means hata ukiweka thick oil it won't solve anything,sanasana utapunguza ulaji wa oil kama gari yako itakua na shida ya oil consumption of which pia matumizi ya thick oil (mfano SAE40 or oil za Diesel) zitaharibu system nyingine za gari kama vvti gear, na hata ku affect oil pressure kwakua ni too thick, so this can potentially cause engine to seize kwakua thick oil hai flow kwa wakati na upitaji wake kwenye channels za oil ni kwa shida, pia ina rise compression pressure na kusabibisha more damages (hiyo engine ipo designed kutumia light oil kama 5w-30 to 10w-40).

Inshort hakuna shortcut kwenye hilo tatizo, nunua mswaki weka kwenye gari, or temporarily fungua cylinder head uone kama haijapinda sana na hakuna crack basi weka multi-layer head gasket ambayo cost yake haivuki 50,000Tsh na garama ya ufundi 50000-80,000 then angalau moshi mweupe upungue..sishauri overhaul kwakua overhaul kits zinazokuja hazuna standard nzuri(kwa Toyota utakuta wanatumia kits from Taiwan ambazo no very poor ukiweka na labor cost bora unune mswaki) na overhaul kama cylinder bore ikichimbika basi haifai tene kutumia hiyo engine block..

But ukisha fanikiwa kuweka injini next time usirudie tena kufanya makosa ambayo ndo yamekugarimu hivi..2nz engine can last upo to 400,000km + without engine overhaul..shida yako imeanza kwa engine ku over-heat.

Tips to avoid overheating kwa gari ndogo.

-Avoid driving car aggressively kwenye highway (yaan gari inatembelea rpm 4000-5000 consistently & consecutively kwa masaa mengi..hii ni shida nenda rpm 2 to 3 na gari itafika tu.

-Make cooling fans zako zinafanya kazi appropriately na kwenye direction inayotakiwa (yaan fan inatakiwa iwe ina pull or push upepo towards engine side na sio opposite)

- Thermostat hakikisha inafanya kazi vile inatikiwa(inafungua kwa wakati kuruhusu excessive pressure inatoka na kuruhusu exchange ya maji kwa wakati)

-mfuniko wa rejita(kuna sayansi kubwa sana ya mfuniko wa rejeta ambao usipo ijua unaweza kukununulisha injjni) mifuniko ya rejeta inakuja na kwa design tofauti kulingana na design ya gari..mfuniko wa rejeta ndo una control pressure na temperature ya maji ili maji yasije ku boil na kua mvuke (steam) kwakua maji yakiwq kwenye steam state, yanapoteza uwezo wa ku transfer heat (na ndo maana ukikuta gsri ime overheat utakuta maji yanatoka kama mvuke na sio kama maji)

Sasa how radiator cap works, ni hivi ule mfuko wa radiator unakua na valve mbili na valve moja ni spring loaded (na kila mfuniko una rating ya pressure ambayo hurusu spring kufunguka ili kuondoa pressure kwenye mfumo wa opozaji wa injini ili kuzuia maji yasiwe mvuke) sasa wakati enjine inafanya kazi joto hupanda sasa maji huwa yanazunguka kwenye injini yote kuondoa excessive heat na kuleta yale maji ya moto kwenye radiator ili ya pozwe..but kadri maji yanavopata joto nayo u expand sasa mfumo wa upozaji unakua upo sealed ili ku raise boiling point ya maji (badala ya maji ku boil at 100°c basi boiling point hupanda hata kufika 150°c, but uki raise boiling point ya maji maaana yake una raise pressure pia kwenye mfumo wa upozaji kwakua maji yana expand zaidi) sasa expansion hii ikitokea, ile pressure inatakiwa kua released (sasa hapa ndo issue ya thermostat na kifuniko cha radiator inakuja, ambapo pressure ikijaa itasukuma spring ya thermostat na kuwasha feni, na maji yatatoka kwenye chamber ya engine kwenda kwenye radiator, lakini pia pressure itahamia kwenye radiator , pressure ikifika kwenye radiator ile spring ya kufukino itabidi i- contract na kurusu pressure kwenye mfumo wa upozaji ihamie kwenye reserve tank (utakuta radiator inakitank kidogo kipo pemben ambapo kunakua na coolant.).so pressure ikifika kwenye reserve tank inakua released to air then cooling circle inakua imekamilika na feni itazimika automatic, na gari ikizimika basi basi cooling system hu contract na kutengeneza vacuum,sasa ili ku avoid vacuum isi ingize hewa kwenye mfumo wa cooling, then kile kichuchu cha mfuniko wa radiator hushuka na kuruhusu maji yanayokua kwenye reserve kua sucked to cooling system na kuzuia air-pockets ndani ya cooling system

.sasa ikitokea gari imewekewa mfuniko wa radiator ambao sio sahihi (mfano pressure rating ya spring ni kubwa kuliko pressure ya cooling system components ya hiyo gari basi pressure ya cooling system itapasua pipes za maji au itapasua radiator plastic tops au kile kile kichuchu cha mfuniko kitaachia na maji yatatoka yote na gari ku over heat..case kama hii utaijua pale unaposhika pipe zinazopitisha maji na kukuta zimejaa pressure na ngumu kubonyea ukiona hivo ujue kuna shida.. but scenario ya pili ni pale chuchu ya radiator inapokua ime-stuck utakuta gari ikisha poa utakuta pipe za maji zimejifinya/sinyaa/contract..maana yake chuchu haifunguki kuruhu maji ya kwenye reserve kunyonywa kwenda kwenye radiator)

NB- kua na tendency ya kuangalia radiator cap yako walau once after every three months..na unapo plan kwenda safari ndefu kagua radiator cap yako.

-Avoid kutumia maji ya kawaida kwakua yanatengeza kutu ambayo inajaza uchafu kwenye radiator na kuziba njia za radiator na kupunguza surface area ya radiator for heat exchanging, pia water ina low boil point kuliko coolant (na hapa coolant watanzania wengi wananunua anti-freezing coolant utadhan tunaishi Polar-regions kumbe tupo nchi ya ki tropic ambapo temperature inaenda mpaka 35°c..so nunua coolant yenye higher boiling point.

-hakikisha hakuna air-pockets kwenye mfuko wako wa upozaji wa injini.
 
Yeah kuna gari zinapata hio economy, hasa za 4AT ila zenye CVT huwa zinafika 16.5km/l same engine.

Mfano wish inafika 14km/l with the same engine ila ikiwa kwenye premio ni 16km/l.
Hizi gari zipi mnazoongelea jamani? Mimi nna premio 1.8 na haiwezekani ikaenda hzo KM kwa litre. Maximum kwa urban ni 12Km tena ikiwa below 100k KM

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
We jamaa una sikitisha sana, moshi mweupe maana yake gari yako inachoma coolant....sasa possible cause ni either head gaskets imeungua so haifanyi sealing vizuri or kuna crack kwenye cylinder bore..na kama issue ipo associated na cracking of cylinder bore means hata ukiweka thick oil it won't solve anything,sanasana utapunguza ulaji wa oil kama gari yako itakua na shida ya oil consumption of which pia matumizi ya thick oil (mfano SAE40 or oil za Diesel) zitaharibu system nyingine za gari kama vvti gear, na hata ku affect oil pressure kwakua ni too thick, so this can potentially cause engine to seize kwakua thick oil hai flow kwa wakati na upitaji wake kwenye channels za oil ni kwa shida, pia ina rise compressor pressure na kusabibisha more damages (hiyo engine ipo designed kutumia light oil kama 5w-30 to 10w-40).

Inshort hakuna shortcut kwenye hilo tatizo, nunua mswaki weka kwenye gari, or temporarily fungua cylinder head uone kama haijapinda sana na hakuna crack basi weka multi-layer head gasket ambayo cost yake haivuki 50,000Tsh na garama ya ufundi 50000-80,000 then angalau moshi mweupe upungue..sishauri overhaul kwakua overhaul kits zinazokuja hazuna standard nzuri(kwa Toyota utakuta wanatumia kits from Taiwan ambazo no very poor ukiweka na labor cost bora unune mswaki) na overhaul kama cylinder bore ikichimbika basi haifai tene kutumia hiyo engine block..

But ukisha fanikiwa kuweka injini next time usirudie tena kufanya makosa ambayo ndo yamekugarimu hivi..2nz engine can last upo to 400,000km + without engine overhaul..shida yako imeanza kwa engine ku over-heat.

Tips to avoid overheating kwa gari ndogo.

-Avoid driving car aggressively kwenye highway (yaan gari inatembelea rpm 4000-5000 consistently & consecutively kwa masaa mengi..hii ni shida nenda rpm 2 to 3 na gari itafika tu.

-Make cooling fans zako zinafanya kazi appropriately na kwenye direction inayotakiwa (yaan fan inatakiwa iwe ina pull or push upepo towards engine side na sio opposite)

- Thermostat hakikisha inafanya kazi vile inatikiwa(inafungua kwa wakati kuruhusu excessive pressure inatoka na kuruhusu exchange ya maji kwa wakati)

-mfuniko wa rejita(kuna sayansi kubwa sana ya mfuniko wa rejeta ambao usipo ijua unaweza kukununulisha injjni) mifuniko ya rejeta inakuja na kwa design tofauti kulingana na design ya gari..mfuniko wa rejeta ndo una control pressure na temperature ya maji ili maji yasije ku boil na kua mvuke (steam) kwakua maji yakiwq kwenye steam state, yanapoteza uwezo wa ku transfer heat (na ndo maana ukikuta gsri ime overheat utakuta maji yanatoka kama mvuke na sio kama maji)

Sasa how radiator cap works, ni hivi ule mfuko wa radiator unakua na valve mbili na valve moja ni spring loaded (na kila mfuniko una rating ya pressure ambayo hurusu spring kufunguka ili kuondoa pressure kwenye mfumo wa opozaji wa injini ili kuzuia maji yasiwe mvuke) sasa wakati enjine inafanya kazi joto hupanda sasa maji huwa yanazunguka kwenye injini yote kuondoa excessive heat na kuleta yale maji ya moto kwenye radiator ili ya pozwe..but kadri maji yanavopata joto nayo u expand sasa mfumo wa upozaji unakua upo sealed ili ku raise boiling point ya maji (badala ya maji ku boil at 100°c basi boiling point hupanda hata kufika 150°c, but uki raise boiling point ya maji maaana yake una raise pressure pia kwenye mfumo wa upozaji kwakua maji yana expand zaidi) sasa expansion hii ikitokea, ile pressure inatakiwa kua released (sasa hapa ndo issue ya thermostat na kifuniko cha radiator inakuja, ambapo pressure ikijaa itasukuma spring ya thermostat na kuwasha feni, na maji yatatoka kwenye chamber ya engine kwenda kwenye radiator, lakini pia pressure itahamia kwenye radiator , pressure ikifika kwenye radiator ile spring ya kufukino itabidi i- contract na kurusu pressure kwenye mfumo wa upozaji ihamie kwenye reserve tank (utakuta radiator inakitank kidogo kipo pemben ambapo kunakua na coolant.).so pressure ikifika kwenye reserve tank inakua released to air then cooling circle inakua imekamilika na feni itazimika automatic, na kazi ikizimika basi basi cooling system hu contract na kutengeneza vacuum,sasa ili ku avoid vacuum isi ingize hewa kwenye mfumo wa cooling, then kile kichuchu cha mfuniko wa radiator hushuka na kuruhusu maji yanayokua kwenye reserve kua sucked to cooling system na kuzuia air-pockets ndani ya cooling system

.sasa ikitokea gari imewekewa mfuniko wa radiator ambao sio sahihi (mfano pressure rating ya spring ni kubwa kuliko pressure ya cooling system components ya hiyo gari basi pressure ya cooling system itapasua pipes za maji au itapasua radiator plastic tops au kile kile kichuchu cha mfuniko kitaachia na maji yatatoka yote na gari ku over heat..case kama hii utaijua pale unaposhika pipe zinazopitisha maji na kukuta zimejaa pressure na ngumu kubonyea ukiona hivo ujue kuna shida.. but scenario ya pili ni pale chuchu ya radiator inapokua ime-stuck utakuta gari ikisha poa utakuta pipe za maji zimejifinya/sinyaa/contract..maana yake chuchu haifunguki kuruhu maji ya kwenye reserve kunyonywa kwenda kwenye radiator)

NB- kuna na tendency ya kuangalia radiator cap yako walau once after every three months..na unapo plan kwenda safari ndefu kagua radiator cap yako.

-Avoid kutumia maji ya kawaida kwakua yanatengeza kutu ambayo inajaza uchafu kwenye radiator na kuziba njia za radiator na kupunguza surface area ya radiator for heat exchanging, pia water ina low boil point kuliko coolant (na hapa coolant watanzania wengi wananunua anti-freezing coolant utadhan tunaishi Polar-regions kumbe tupo nchi ya ki tropic ambapo temperature inaenda mpaka 35°c..so nunua coolant yenye higher boiling point.

-hakikisha hakuna air-pockets kwenye mfuko wako wa upozaji wa injini.
Mbona fundI wa rejeta aliniambia coolant ina corrode chuma?
 
You sound professional and highly experienced. Big up mkuu new generation .

Kuna uzi fulani kuhusu tatizo la engine, nakuquote huko, pengine waweza shauri mawili matatu.
 
Mi nlibadili mfumo kutoka auto kwenda manual shift sasa saiv naona kama rpm inasimama sana yan kupata 100 spd lazma rpm iwe 3 kifup rpm inasimama af gari inakuwa kwenye mwendo mdogo shida yaweza kuwa nn
 
Upo nondo
 
Mbona fundI wa rejeta aliniambia coolant ina corrode chuma?
Coolant genuine haifanyi hivi vitu mkuu... coolant ina chemicals zinazo zuia oxidation kwenye cooling system..unless umeweka coolant isiyo na required standard....yet hata zile rangi za coolant zina maana yake na properties zake kwa ajili ya specific cooling requirements za gari husika.

Kumbuka coolant kazi yake ni
1. kuongeza boiling point ya maji (hivo ukiwa unanunua coolant hakikisha unapata yenye boiling point ya juu ya 100°c
2. Kazi nyingine ya coolant ni ku protect cooling system form oxidation (rust formation) (ukiona coolant inatengeneza kutu basi uliuziwa maji yenye rangi ya coolant) unataka coolant yenyewe kanunue pale Toyota kariakoo utapata coolant genuine kabisa na sio coolants za ilala ambayo hata ikimwagikia tu juu ya radiator inaacha marangi na ukoko, unaweza ikiingia ndani ya cooling system itakuaje.
 
Hizi gari zipi mnazoongelea jamani? Mimi nna premio 1.8 na haiwezekani ikaenda hzo KM kwa litre. Maximum kwa urban ni 12Km tena ikiwa below 100k KM

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Ulaji wa mafuta ni subject to so many factors...mfano driving behavior yako..

1. if you are the person who slam the gas pedal to attain 80kmh speed with 3 seconds, then expect worse gas mileage.
2. Kama gari yako ina poor thermal efficiency (mfano umetoa thermostat, au thermostat sensor haifanyi kazi) basi utapata bad fuel efficiency.
3. Kama una compression iliyoshuka kwenye injini yako basi utapata low gas mileage.
3. Kama umebadirisha matairi ukaweka size not recommended na manufacturer basi gas mileage itashuka (mfano umeweka matairi makubwa)
4. Kama gari inakua na low pressure tires (upepo chini ya psi 30 basi fuel efficiency itapotea
5. Kama gari ipo fault oxygen sensor, leaking injectors, clogged airfilter,weak spark plugs/spark plugs with pig gap basi fuel economy itapotea
6. Kama gari yako ina transmission system ambayo ni traditional automatic maana yake it will be attain a certain speed at higher rpm compared to Same car with same engine but with CVT transmission.
8. Kama watembeza gari with unnecessary weights gari itakula mafuta.
9. Kama ni high speed gari ikitembea huku vioo vipo wazi more drag inakua created hence poor fuel consumption.
10. Kama gari imekuja na compressor ya umeme ac ukatoa ukaweka ya external clutch basi utapata decreased gas mileage.
11. Kama umeweka mavitu yanayo hitaji voltages nyingi za umeme (mfano umefunga sound system yenye Watts nyingi maana yake engine inabidi iongeze idle speed ilikuwezesha alternator ku generate umeme wa kutosha kuweza ku run increased accessories, hence increased fuel consumption.
12. Gari ikiwa na poor aerodynamic body style mfano kama Toyota rumion ilivo kama box maana yake more wind resistance hence higher fuel consumption.
13. Matumizi ya air conditioner hasa ukiwa na air-conditioning system inayokua na fixed displacement compressor (compressor za kipumbu zinaitwa hivo hapa Tanzania) basi gari haitakua na fuel consumption nzuri.
14. Kama brake system yako hai release brake pads or shoe kwenye rotor and drum, basi kutakua na increased grad hence more fuel consumption.
15. Matumizi ya thick oil huongeza piston movement drag hivo kufanya injini itumie nguvu nyingi kuju support yenyewe nakuongeza matumizi ya mafuta.
16. Weather conditions..mfano mazingira ya baridi sana injini inaongeza mafuta ili kufanya combustion chamber iwe kwenye joto linatakiwa so duration for injector opening huongezeka na kufanya gari ile mafuta (hii conditions hutoka hata gari unapoiwasha baada yakua imepaki muda mwingi utasikia hadi harufu ya raw unburnt petrol/gasoline kwakua injini inapokua cold injectors zina spray mafuta mengi na EGR system pamoja na temperature sensor zitaruhusu throttle body or Idle control valve kuingiza hewa nyingi , gari pia itawasha heater iliyopo kwenye oxygen sensor na kufunga thermostat valve,na kufanya rpm ipande ili gari iweze ku attain operating temperature rapidly ili baada idle speed ishuke to normal..so hii pia ndo maana thermostat ikitoka gari itabadili ulaji wake wa mafuta.
17. Kama una slipping transmission (mfano kama manual transmission labda clutch zimekufanya so transmission ya Power sio 100% or kwa gari automatic labda fluid imechoka ua umeka non recommended fluid mfano umeweka lubex, hizi universal transmission fluids lazima upate shida ya gari kuchelewa kubadili gear au kung'ang'ania gear fulan kwa muda mrefu...na kwa wale wanaondesha traditional/conventional automatic zenye overdrive button, kama ODD ikiwa OFf nayo hufanya gari isifike kwenye top gear ili kufikia highway speed with low engine rpm hence higher fuel consumption.
20. Exhaust system, Kama exhaust pipe ipo na leakage ya back pressure, au umeweka muffler ambayo ipo straight/imekatika basi itapunguza engine power because of decreased compression pressure na ili ku compensate power loss, more fuel will be burn.

NB. Kudeal na issue ya fuel consumption kama waona consumption haipo sawa basi tafuta fundi mwenye mashine apime kitu kinaitwa fuel trim level..(bank 1 na bank 2 kama gari ina double cylinder head) na hawe anajua kutafsiri zile live data za trim level na implications zake kwenye fuel consumption, baada ya hapo itapata kujua shida ni nini na namna gani ya kutibu..usiruhusu fundi akununulishe mavitu kwa ku guess tatizo..(but kumbuka kama ulaji wa mafuta unatokana na tatizo la injini kupunguza compression, utibuji wa hili tatizo itakua ni issue kubwa ambayo itaweza involve ushushwaji wa injini
 
Mi nlibadili mfumo kutoka auto kwenda manual shift sasa saiv naona kama rpm inasimama sana yan kupata 100 spd lazma rpm iwe 3 kifup rpm inasimama af gari inakuwa kwenye mwendo mdogo shida yaweza kuwa nn
Duuh yaan speed ya 100 unaipata kwenye. Rpm 3 na una manual transmission yenye 5 gears mkuu...hii shida na gari itakua inakulia mafuta.

Sasa kama gari inawezo wa kufika rpm 3 lakini speed ni ndogo na umeweka transmission ya manual..ni either unatembelea gear yenye low gear ratio ( yaan gear kubwa) kwa muda mrefu au clutch plate yako ina slip mkuu...na kama clutch yako ina slip maana yake lazima utakua unasikia harufu ya vitu kuungua huko chini ya gari.
 
We jamaa una sikitisha sana, moshi mweupe maana yake gari yako inachoma coolant....sasa possible cause ni either head gaskets imeungua so haifanyi sealing vizuri or kuna crack kwenye cylinder bore..na kama issue ipo associated na cracking of cylinder bore means hata ukiweka thick oil it won't solve anything,sanasana utapunguza ulaji wa oil kama gari yako itakua na shida ya oil consumption of which pia matumizi ya thick oil (mfano SAE40 or oil za Diesel) zitaharibu system nyingine za gari kama vvti gear, na hata ku affect oil pressure kwakua ni too thick, so this can potentially cause engine to seize kwakua thick oil hai flow kwa wakati na upitaji wake kwenye channels za oil ni kwa shida, pia ina rise compression pressure na kusabibisha more damages (hiyo engine ipo designed kutumia light oil kama 5w-30 to 10w-40).

Inshort hakuna shortcut kwenye hilo tatizo, nunua mswaki weka kwenye gari, or temporarily fungua cylinder head uone kama haijapinda sana na hakuna crack basi weka multi-layer head gasket ambayo cost yake haivuki 50,000Tsh na garama ya ufundi 50000-80,000 then angalau moshi mweupe upungue..sishauri overhaul kwakua overhaul kits zinazokuja hazuna standard nzuri(kwa Toyota utakuta wanatumia kits from Taiwan ambazo no very poor ukiweka na labor cost bora unune mswaki) na overhaul kama cylinder bore ikichimbika basi haifai tene kutumia hiyo engine block..

But ukisha fanikiwa kuweka injini next time usirudie tena kufanya makosa ambayo ndo yamekugarimu hivi..2nz engine can last upo to 400,000km + without engine overhaul..shida yako imeanza kwa engine ku over-heat.

Tips to avoid overheating kwa gari ndogo.

-Avoid driving car aggressively kwenye highway (yaan gari inatembelea rpm 4000-5000 consistently & consecutively kwa masaa mengi..hii ni shida nenda rpm 2 to 3 na gari itafika tu.

-Make cooling fans zako zinafanya kazi appropriately na kwenye direction inayotakiwa (yaan fan inatakiwa iwe ina pull or push upepo towards engine side na sio opposite)

- Thermostat hakikisha inafanya kazi vile inatikiwa(inafungua kwa wakati kuruhusu excessive pressure inatoka na kuruhusu exchange ya maji kwa wakati)

-mfuniko wa rejita(kuna sayansi kubwa sana ya mfuniko wa rejeta ambao usipo ijua unaweza kukununulisha injjni) mifuniko ya rejeta inakuja na kwa design tofauti kulingana na design ya gari..mfuniko wa rejeta ndo una control pressure na temperature ya maji ili maji yasije ku boil na kua mvuke (steam) kwakua maji yakiwq kwenye steam state, yanapoteza uwezo wa ku transfer heat (na ndo maana ukikuta gsri ime overheat utakuta maji yanatoka kama mvuke na sio kama maji)

Sasa how radiator cap works, ni hivi ule mfuko wa radiator unakua na valve mbili na valve moja ni spring loaded (na kila mfuniko una rating ya pressure ambayo hurusu spring kufunguka ili kuondoa pressure kwenye mfumo wa opozaji wa injini ili kuzuia maji yasiwe mvuke) sasa wakati enjine inafanya kazi joto hupanda sasa maji huwa yanazunguka kwenye injini yote kuondoa excessive heat na kuleta yale maji ya moto kwenye radiator ili ya pozwe..but kadri maji yanavopata joto nayo u expand sasa mfumo wa upozaji unakua upo sealed ili ku raise boiling point ya maji (badala ya maji ku boil at 100°c basi boiling point hupanda hata kufika 150°c, but uki raise boiling point ya maji maaana yake una raise pressure pia kwenye mfumo wa upozaji kwakua maji yana expand zaidi) sasa expansion hii ikitokea, ile pressure inatakiwa kua released (sasa hapa ndo issue ya thermostat na kifuniko cha radiator inakuja, ambapo pressure ikijaa itasukuma spring ya thermostat na kuwasha feni, na maji yatatoka kwenye chamber ya engine kwenda kwenye radiator, lakini pia pressure itahamia kwenye radiator , pressure ikifika kwenye radiator ile spring ya kufukino itabidi i- contract na kurusu pressure kwenye mfumo wa upozaji ihamie kwenye reserve tank (utakuta radiator inakitank kidogo kipo pemben ambapo kunakua na coolant.).so pressure ikifika kwenye reserve tank inakua released to air then cooling circle inakua imekamilika na feni itazimika automatic, na gari ikizimika basi basi cooling system hu contract na kutengeneza vacuum,sasa ili ku avoid vacuum isi ingize hewa kwenye mfumo wa cooling, then kile kichuchu cha mfuniko wa radiator hushuka na kuruhusu maji yanayokua kwenye reserve kua sucked to cooling system na kuzuia air-pockets ndani ya cooling system

.sasa ikitokea gari imewekewa mfuniko wa radiator ambao sio sahihi (mfano pressure rating ya spring ni kubwa kuliko pressure ya cooling system components ya hiyo gari basi pressure ya cooling system itapasua pipes za maji au itapasua radiator plastic tops au kile kile kichuchu cha mfuniko kitaachia na maji yatatoka yote na gari ku over heat..case kama hii utaijua pale unaposhika pipe zinazopitisha maji na kukuta zimejaa pressure na ngumu kubonyea ukiona hivo ujue kuna shida.. but scenario ya pili ni pale chuchu ya radiator inapokua ime-stuck utakuta gari ikisha poa utakuta pipe za maji zimejifinya/sinyaa/contract..maana yake chuchu haifunguki kuruhu maji ya kwenye reserve kunyonywa kwenda kwenye radiator)

NB- kua na tendency ya kuangalia radiator cap yako walau once after every three months..na unapo plan kwenda safari ndefu kagua radiator cap yako.

-Avoid kutumia maji ya kawaida kwakua yanatengeza kutu ambayo inajaza uchafu kwenye radiator na kuziba njia za radiator na kupunguza surface area ya radiator for heat exchanging, pia water ina low boil point kuliko coolant (na hapa coolant watanzania wengi wananunua anti-freezing coolant utadhan tunaishi Polar-regions kumbe tupo nchi ya ki tropic ambapo temperature inaenda mpaka 35°c..so nunua coolant yenye higher boiling point.

-hakikisha hakuna air-pockets kwenye mfuko wako wa upozaji wa injini.
Big up sana bro, fungueni garage basi tuwe tunakuja, shida ya mafund wa kibongo sio professional hawajui hata mifumo....

Mengi uliyoyaelezea hapa yamenikuta isipokua moja tu la kifuniko cha radiator.... Ila engine ilisha heat na kuacha mara nyingi wakati maji yapo, fen fresh, mafund wakasndwa tatua... ... Nikawa naenda nayo kienyej nikaja kugundua mimi mwenyewe fan ilikua inajigeuza direction yenyewe.... Kwa iyo nabadili zile waya inabadilisha mzunguko inatulia, then size ya panga ilikua ndogo pia....

Kwa ufipi cooling system (motor, fan na panga zake) siiiamini saana ila mafundi wameshindwa hata kujua motor ya speed gani inafaa... Naweka kwa kubahatisha tu.

Hatuna garage zenye profession tutaua saana magari,

Now nawaza nikinunua mswaki naenda kumpa fundi gani akafanye kazi...
 
Nimeshangaa kwasababu hata Crown unapata zaidi ya hiyo.
Ata 3GR Ina better fuel consumption kuliko ya mleta mada. Isijekuwa jamaa kafungiwa engine ya fuso mana 5km/l hatari [emoji28]

Afu 3gr nlokuwa nayo kama naenda masafa marefu naweka cruise control on kwenye 80-110kmh basi fuel consumption ni ndogo sana. Tena na Ac iko On, naweza pata mpaka (kama kumbukumbu IPO sawa) 15km/l. Kwa Town story nyengine Tena [emoji23]
 
Back
Top Bottom