Kubadili engine ya Toyota Allex cc1790 to 1450

Yeah kuna gari zinapata hio economy, hasa za 4AT ila zenye CVT huwa zinafika 16.5km/l same engine.

Mfano wish inafika 14km/l with the same engine ila ikiwa kwenye premio ni 16km/l.
Mkuu hii CVT GB naipataje
 
Mkuu hii CVT GB naipataje
Hio ni gearbox mkuu, unaweza ukavesha ya CVT kwenye hio hio 1ZZ ikawa kama ya Wish kwa body la runx inaweka kukutolea hata 17km/l! Sema hakikisha umekagua Oxygen sensor kama mbovu badili kwanza.
 
Msaada tutani, ninahitaji kubadili engine ya gari yangu, sababu kuu ni kuwa nahitaji niifanye iwe gari ya biashara niwe naletewa hesabu kwa siku, engine nilonayo Ina CC 1790 na inatembea 5KM/L kwa mjini, nahitaji kufunga Engine yenye CC1450 walau biashara iwe inaleta faida.

Msaada tafadhali mwenye ushauri, mbadala pamoja na Mahalia napoweza fanikisha hili
Hapa kuna shida na injini mkuu.. given weight ya Gari kwa hyo cc bado kwa city driving unatakuwa upate km10 kwa lita.. with that significant fuel consumption unaweza kuta injector zina mwaga fuel, au gari yako ina low compression, au unashida kwenye exhaust system, au una severe airflow problem kutoka kwenye air filter yako tuko ruhusu hewa ya kutosha na kufanya gari i run in rich condition (pima fuel trim na upate fundi anaejua tafsiri ya ya fuel-trim numbers)

Kuhusu kubadilisha injini ni possible, utanunua injini complete (1NZ)na gear box yake, wiring pamoja na control box yake.
 
Mkuu yu mean gari iliyokuja na gear box ya kawaida unaweza ukatoa gear box hiyo ya kuwaida ukavisha CVT transmission? Which isn't possible.. bell house ya transmission inaweza funga kama ni same engine code but control box ikashindwa operate gear box.. kwakuwa gearshifting ya cvt ni tofauti na atf.... Yet hata number of solenoids ziliozopo ndani ya auto gesrbox ya kawaida kwa ajili ya gear shifting inazo nne wakati CVT inazo tatu so hata wiring ni tofauti.. na shida inakuja pale ukikuta engine ina throttle ya cable na si ya umeme.
 
Mkuu yu mean gari ilio kuja na gear box ya kawaida unaweza ukatoa gear box hiyo ya kuwaida ukavisha CVT transmission? Which isn't possible.. bell house ya transmission inaweza funga kama ni same engine code but control box ikashindwa operate gear box.. kwakua gearshifting ya cvt ni tofauti na atf.... Yet hata number of solenoids ziliozopo ndan ya auto gesrbox ya kawaida kwa ajili ya gear shifting inazo nne wakati CVT inazo tatu so hata wiring ni tofauti.. na shida inakuja pale ukikuta engine ina throttle ya cable na si ya umeme.
Bell housing ataweka inayoumana na CVT na control box anaweka inayosoma CVT mbona inawezekana kabisa. Tena kwa gari za Toyota hizi hazina shida kabisa.

Sababu engine ya 1AZ-FSE inaendaga na gearbox ya CVT iwe kwenye Premio, Noah
 
Hapa kuna shida na injini mkuu.. given weight ya Gari kwa hyo cc bado kwa city driving unatakuwa upate km10 kwa lita.. with that significant fuel consumption unaweza kuta injector zina mwaga fuel, au gari yako ina low compression, au unashida kwenye exhaust system, au una severe airflow problem kutoka kwenye air filter yako tuko ruhusu hewa ya kutosha na kufanya gari i run in rich condition (pima fuel trim na upate fundi anaejua tafsiri ya ya fuel-trim numbers)

Kuhusu kubadilisha injini ni possible, utanunua injini complete (1NZ)na gear box yake, wiring pamoja na control box yake.
Nimekagua airfilter jana nimekuta lile bomba kama linatema oil hivi kiasi ile filter kwa chini ina oil sana hii nifanyeje?
 
Msaada tutani, ninahitaji kubadili engine ya gari yangu, sababu kuu ni kuwa nahitaji niifanye iwe gari ya biashara niwe naletewa hesabu kwa siku, engine nilonayo Ina CC 1790 na inatembea 5KM/L kwa mjini, nahitaji kufunga Engine yenye CC1450 walau biashara iwe inaleta faida.

Msaada tafadhali mwenye ushauri, mbadala pamoja na Mahalia napoweza fanikisha hili
🤔🤔 itakuwa tenk limetoboka mafuta yanamwagika
 
Hio ni gearbox mkuu, unaweza ukavesha ya CVT kwenye hio hio 1ZZ ikawa kama ya Wish kwa body la runx inaweka kukutolea hata 17km/l! Sema hakikisha umekagua Oxygen sensor kama mbovu badili kwanza.
Safi.

Mi nilishafeli gari yangu imekufa engine, kwa mujibu wa wataalamu wanasema imeua gasket seal, piston ring na pengin cylinder head...

Engine ni 2NZ ist, inatulia baada ya muda inatoa moshi mweupe mwiiiiingi saaana. Hapa nimeshauriwa kutafuta pesa kununua mswaki mpya tu.

Shida yangu ni!

Je kwa kipindi hiki cha kusubiria nipate pesa ya kununua engine/mswaki mwingine, je naweza kuendelea kuitumia hii gari bila kuongeza tatizo lolote??

Nifanye nini ili kuzuia huu moshi kutoka, napata shida saana barabarani napigiwa kelele, sometime watu wanakimbia wanadhan gari inataka kuwaka moto tafran yaaani.

Tunazuia vipi huu moshi na gari naitaka saana kuitumia hiii
 
Badili rings hizo na gasket kwanza uone.
 
Wameniambia overhaul kwa gari ndogo ni kujisumbua... Baada ya siku kadhaa shida itarud vile vile... Wakashauri nichenj engine tu.

Sasa mkuchu now sina, sasa kwa kipindi hiki hii gari nikiendelea kuendesha inakuwaje? Na huu moshi naukata vipi kwa muda!??
 
Huo moshi unatokana na gasket kufa, inachanganya oil, hewa,maji na mafuta ndio maana moshi unatoka mweupe. Ukiendelea kuendesha utakuwa unachoma oil kwa muda mfupi imeisha.
 
Back
Top Bottom