RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kwasisi waendesha sedan diesel haijakaa vizuri.Hamieni kwenye diesel engine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasisi waendesha sedan diesel haijakaa vizuri.Hamieni kwenye diesel engine
Mkuu hii CVT GB naipatajeYeah kuna gari zinapata hio economy, hasa za 4AT ila zenye CVT huwa zinafika 16.5km/l same engine.
Mfano wish inafika 14km/l with the same engine ila ikiwa kwenye premio ni 16km/l.
Hio ni gearbox mkuu, unaweza ukavesha ya CVT kwenye hio hio 1ZZ ikawa kama ya Wish kwa body la runx inaweka kukutolea hata 17km/l! Sema hakikisha umekagua Oxygen sensor kama mbovu badili kwanza.Mkuu hii CVT GB naipataje
Crown yenye matunzo economy iko on par na gari nyingi za 2.OLMjini napata 9km/L ni 4GR imenifanya nimeacha kutumia VW ya 2.0.
Ukiendesha kwa discipline unapata 9+km/LCrown yenye matunzo economy iko on par na gari nyingi za 2.OL
Naweza kukuona kwa connection zaidi nduguHio ni gearbox mkuu, unaweza ukavesha ya CVT kwenye hio hio 1ZZ ikawa kama ya Wish kwa body la runx inaweka kukutolea hata 17km/l! Sema hakikisha umekagua Oxygen sensor kama mbovu badili kwanza.
Nicheki DM tuNaweza kukuona kwa connection zaidi ndugu
Hapa kuna shida na injini mkuu.. given weight ya Gari kwa hyo cc bado kwa city driving unatakuwa upate km10 kwa lita.. with that significant fuel consumption unaweza kuta injector zina mwaga fuel, au gari yako ina low compression, au unashida kwenye exhaust system, au una severe airflow problem kutoka kwenye air filter yako tuko ruhusu hewa ya kutosha na kufanya gari i run in rich condition (pima fuel trim na upate fundi anaejua tafsiri ya ya fuel-trim numbers)Msaada tutani, ninahitaji kubadili engine ya gari yangu, sababu kuu ni kuwa nahitaji niifanye iwe gari ya biashara niwe naletewa hesabu kwa siku, engine nilonayo Ina CC 1790 na inatembea 5KM/L kwa mjini, nahitaji kufunga Engine yenye CC1450 walau biashara iwe inaleta faida.
Msaada tafadhali mwenye ushauri, mbadala pamoja na Mahalia napoweza fanikisha hili
Mkuu yu mean gari iliyokuja na gear box ya kawaida unaweza ukatoa gear box hiyo ya kuwaida ukavisha CVT transmission? Which isn't possible.. bell house ya transmission inaweza funga kama ni same engine code but control box ikashindwa operate gear box.. kwakuwa gearshifting ya cvt ni tofauti na atf.... Yet hata number of solenoids ziliozopo ndani ya auto gesrbox ya kawaida kwa ajili ya gear shifting inazo nne wakati CVT inazo tatu so hata wiring ni tofauti.. na shida inakuja pale ukikuta engine ina throttle ya cable na si ya umeme.Hio ni gearbox mkuu, unaweza ukavesha ya CVT kwenye hio hio 1ZZ ikawa kama ya Wish kwa body la runx inaweka kukutolea hata 17km/l! Sema hakikisha umekagua Oxygen sensor kama mbovu badili kwanza.
Bell housing ataweka inayoumana na CVT na control box anaweka inayosoma CVT mbona inawezekana kabisa. Tena kwa gari za Toyota hizi hazina shida kabisa.Mkuu yu mean gari ilio kuja na gear box ya kawaida unaweza ukatoa gear box hiyo ya kuwaida ukavisha CVT transmission? Which isn't possible.. bell house ya transmission inaweza funga kama ni same engine code but control box ikashindwa operate gear box.. kwakua gearshifting ya cvt ni tofauti na atf.... Yet hata number of solenoids ziliozopo ndan ya auto gesrbox ya kawaida kwa ajili ya gear shifting inazo nne wakati CVT inazo tatu so hata wiring ni tofauti.. na shida inakuja pale ukikuta engine ina throttle ya cable na si ya umeme.
Hivi engine oil huchangia ulaji wa mafuta?Unaweza kuta gari imewekwa sae40 hio...fanya service kulingana na km zilivyo
Nimekagua airfilter jana nimekuta lile bomba kama linatema oil hivi kiasi ile filter kwa chini ina oil sana hii nifanyeje?Hapa kuna shida na injini mkuu.. given weight ya Gari kwa hyo cc bado kwa city driving unatakuwa upate km10 kwa lita.. with that significant fuel consumption unaweza kuta injector zina mwaga fuel, au gari yako ina low compression, au unashida kwenye exhaust system, au una severe airflow problem kutoka kwenye air filter yako tuko ruhusu hewa ya kutosha na kufanya gari i run in rich condition (pima fuel trim na upate fundi anaejua tafsiri ya ya fuel-trim numbers)
Kuhusu kubadilisha injini ni possible, utanunua injini complete (1NZ)na gear box yake, wiring pamoja na control box yake.
That is for PCV (positive crank-case ventilation) systemNimekagua airfilter jana nimekuta lile bomba kama linatema oil hivi kiasi ile filter kwa chini ina oil sana hii nifanyeje?
🤔🤔 itakuwa tenk limetoboka mafuta yanamwagikaMsaada tutani, ninahitaji kubadili engine ya gari yangu, sababu kuu ni kuwa nahitaji niifanye iwe gari ya biashara niwe naletewa hesabu kwa siku, engine nilonayo Ina CC 1790 na inatembea 5KM/L kwa mjini, nahitaji kufunga Engine yenye CC1450 walau biashara iwe inaleta faida.
Msaada tafadhali mwenye ushauri, mbadala pamoja na Mahalia napoweza fanikisha hili
Kumbe Toyota nazo zina shida kama gari za EuropeanFundi alidai shida ni nozzle zimebadilishwa lakini Bado ni kipengele
Safi.Hio ni gearbox mkuu, unaweza ukavesha ya CVT kwenye hio hio 1ZZ ikawa kama ya Wish kwa body la runx inaweka kukutolea hata 17km/l! Sema hakikisha umekagua Oxygen sensor kama mbovu badili kwanza.
Badili rings hizo na gasket kwanza uone.Safi.
Mi nilishafeli gari yangu imekufa engine, kwa mujibu wa wataalamu wanasema imeua gasket seal, piston ring na pengin cylinder head...
Engine ni 2NZ ist, inatulia baada ya muda inatoa moshi mweupe mwiiiiingi saaana. Hapa nimeshauriwa kutafuta pesa kununua mswaki mpya tu.
Shida yangu ni!
Je kwa kipindi hiki cha kusubiria nipate pesa ya kununua engine/mswaki mwingine, je naweza kuendelea kuitumia hii gari bila kuongeza tatizo lolote??
Nifanye nini ili kuzuia huu moshi kutoka, napata shida saana barabarani napigiwa kelele, sometime watu wanakimbia wanadhan gari inataka kuwaka moto tafran yaaani.
Tunazuia vipi huu moshi na gari naitaka saana kuitumia hiii
Wameniambia overhaul kwa gari ndogo ni kujisumbua... Baada ya siku kadhaa shida itarud vile vile... Wakashauri nichenj engine tu.Badili rings hizo na gasket kwanza uone.
Huo moshi unatokana na gasket kufa, inachanganya oil, hewa,maji na mafuta ndio maana moshi unatoka mweupe. Ukiendelea kuendesha utakuwa unachoma oil kwa muda mfupi imeisha.Wameniambia overhaul kwa gari ndogo ni kujisumbua... Baada ya siku kadhaa shida itarud vile vile... Wakashauri nichenj engine tu.
Sasa mkuchu now sina, sasa kwa kipindi hiki hii gari nikiendelea kuendesha inakuwaje? Na huu moshi naukata vipi kwa muda!??