Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Oke mkuu, kuna mtu aliniambia nikiweka stp sijui inaongeza uzito kwa oil moshi utakataHuo moshi unatokana na gasket kufa, inachanganya oil, hewa,maji na mafuta ndio maana moshi unatoka mweupe. Ukiendelea kuendesha utakuwa unachoma oil kwa muda mfupi imeisha.
Shida yangu niendelee kuitumia hii gari ila moshi usiwepo... Maana engine nitanunua ingine baada ya miezi miwili.Huo moshi unatokana na gasket kufa, inachanganya oil, hewa,maji na mafuta ndio maana moshi unatoka mweupe. Ukiendelea kuendesha utakuwa unachoma oil kwa muda mfupi imeisha.
Shida yangu niendelee kuitumia hii gari ila moshi usiwepo... Maana engine nitanunua ingine baada ya miezi miwili.
Kwa iyo natafuta njia ya muda ya kutuliza moshi... Maana unakata stimu saana
We jamaa una sikitisha sana, moshi mweupe maana yake gari yako inachoma coolant....sasa possible cause ni either head gaskets imeungua so haifanyi sealing vizuri or kuna crack kwenye cylinder bore..na kama issue ipo associated na cracking of cylinder bore means hata ukiweka thick oil it won't solve anything,sanasana utapunguza ulaji wa oil kama gari yako itakua na shida ya oil consumption of which pia matumizi ya thick oil (mfano SAE40 or oil za Diesel) zitaharibu system nyingine za gari kama vvti gear, na hata ku affect oil pressure kwakua ni too thick, so this can potentially cause engine to seize kwakua thick oil hai flow kwa wakati na upitaji wake kwenye channels za oil ni kwa shida, pia ina rise compression pressure na kusabibisha more damages (hiyo engine ipo designed kutumia light oil kama 5w-30 to 10w-40).Shida yangu niendelee kuitumia hii gari ila moshi usiwepo... Maana engine nitanunua ingine baada ya miezi miwili.
Kwa iyo natafuta njia ya muda ya kutuliza moshi... Maana unakata stimu saana
Hizi gari zipi mnazoongelea jamani? Mimi nna premio 1.8 na haiwezekani ikaenda hzo KM kwa litre. Maximum kwa urban ni 12Km tena ikiwa below 100k KMYeah kuna gari zinapata hio economy, hasa za 4AT ila zenye CVT huwa zinafika 16.5km/l same engine.
Mfano wish inafika 14km/l with the same engine ila ikiwa kwenye premio ni 16km/l.
1.8L ikiwa na CVT inafika 14km/lHizi gari zipi mnazoongelea jamani? Mimi nna premio 1.8 na haiwezekani ikaenda hzo KM kwa litre. Maximum kwa urban ni 12Km tena ikiwa below 100k KM
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Mbona fundI wa rejeta aliniambia coolant ina corrode chuma?We jamaa una sikitisha sana, moshi mweupe maana yake gari yako inachoma coolant....sasa possible cause ni either head gaskets imeungua so haifanyi sealing vizuri or kuna crack kwenye cylinder bore..na kama issue ipo associated na cracking of cylinder bore means hata ukiweka thick oil it won't solve anything,sanasana utapunguza ulaji wa oil kama gari yako itakua na shida ya oil consumption of which pia matumizi ya thick oil (mfano SAE40 or oil za Diesel) zitaharibu system nyingine za gari kama vvti gear, na hata ku affect oil pressure kwakua ni too thick, so this can potentially cause engine to seize kwakua thick oil hai flow kwa wakati na upitaji wake kwenye channels za oil ni kwa shida, pia ina rise compressor pressure na kusabibisha more damages (hiyo engine ipo designed kutumia light oil kama 5w-30 to 10w-40).
Inshort hakuna shortcut kwenye hilo tatizo, nunua mswaki weka kwenye gari, or temporarily fungua cylinder head uone kama haijapinda sana na hakuna crack basi weka multi-layer head gasket ambayo cost yake haivuki 50,000Tsh na garama ya ufundi 50000-80,000 then angalau moshi mweupe upungue..sishauri overhaul kwakua overhaul kits zinazokuja hazuna standard nzuri(kwa Toyota utakuta wanatumia kits from Taiwan ambazo no very poor ukiweka na labor cost bora unune mswaki) na overhaul kama cylinder bore ikichimbika basi haifai tene kutumia hiyo engine block..
But ukisha fanikiwa kuweka injini next time usirudie tena kufanya makosa ambayo ndo yamekugarimu hivi..2nz engine can last upo to 400,000km + without engine overhaul..shida yako imeanza kwa engine ku over-heat.
Tips to avoid overheating kwa gari ndogo.
-Avoid driving car aggressively kwenye highway (yaan gari inatembelea rpm 4000-5000 consistently & consecutively kwa masaa mengi..hii ni shida nenda rpm 2 to 3 na gari itafika tu.
-Make cooling fans zako zinafanya kazi appropriately na kwenye direction inayotakiwa (yaan fan inatakiwa iwe ina pull or push upepo towards engine side na sio opposite)
- Thermostat hakikisha inafanya kazi vile inatikiwa(inafungua kwa wakati kuruhusu excessive pressure inatoka na kuruhusu exchange ya maji kwa wakati)
-mfuniko wa rejita(kuna sayansi kubwa sana ya mfuniko wa rejeta ambao usipo ijua unaweza kukununulisha injjni) mifuniko ya rejeta inakuja na kwa design tofauti kulingana na design ya gari..mfuniko wa rejeta ndo una control pressure na temperature ya maji ili maji yasije ku boil na kua mvuke (steam) kwakua maji yakiwq kwenye steam state, yanapoteza uwezo wa ku transfer heat (na ndo maana ukikuta gsri ime overheat utakuta maji yanatoka kama mvuke na sio kama maji)
Sasa how radiator cap works, ni hivi ule mfuko wa radiator unakua na valve mbili na valve moja ni spring loaded (na kila mfuniko una rating ya pressure ambayo hurusu spring kufunguka ili kuondoa pressure kwenye mfumo wa opozaji wa injini ili kuzuia maji yasiwe mvuke) sasa wakati enjine inafanya kazi joto hupanda sasa maji huwa yanazunguka kwenye injini yote kuondoa excessive heat na kuleta yale maji ya moto kwenye radiator ili ya pozwe..but kadri maji yanavopata joto nayo u expand sasa mfumo wa upozaji unakua upo sealed ili ku raise boiling point ya maji (badala ya maji ku boil at 100°c basi boiling point hupanda hata kufika 150°c, but uki raise boiling point ya maji maaana yake una raise pressure pia kwenye mfumo wa upozaji kwakua maji yana expand zaidi) sasa expansion hii ikitokea, ile pressure inatakiwa kua released (sasa hapa ndo issue ya thermostat na kifuniko cha radiator inakuja, ambapo pressure ikijaa itasukuma spring ya thermostat na kuwasha feni, na maji yatatoka kwenye chamber ya engine kwenda kwenye radiator, lakini pia pressure itahamia kwenye radiator , pressure ikifika kwenye radiator ile spring ya kufukino itabidi i- contract na kurusu pressure kwenye mfumo wa upozaji ihamie kwenye reserve tank (utakuta radiator inakitank kidogo kipo pemben ambapo kunakua na coolant.).so pressure ikifika kwenye reserve tank inakua released to air then cooling circle inakua imekamilika na feni itazimika automatic, na kazi ikizimika basi basi cooling system hu contract na kutengeneza vacuum,sasa ili ku avoid vacuum isi ingize hewa kwenye mfumo wa cooling, then kile kichuchu cha mfuniko wa radiator hushuka na kuruhusu maji yanayokua kwenye reserve kua sucked to cooling system na kuzuia air-pockets ndani ya cooling system
.sasa ikitokea gari imewekewa mfuniko wa radiator ambao sio sahihi (mfano pressure rating ya spring ni kubwa kuliko pressure ya cooling system components ya hiyo gari basi pressure ya cooling system itapasua pipes za maji au itapasua radiator plastic tops au kile kile kichuchu cha mfuniko kitaachia na maji yatatoka yote na gari ku over heat..case kama hii utaijua pale unaposhika pipe zinazopitisha maji na kukuta zimejaa pressure na ngumu kubonyea ukiona hivo ujue kuna shida.. but scenario ya pili ni pale chuchu ya radiator inapokua ime-stuck utakuta gari ikisha poa utakuta pipe za maji zimejifinya/sinyaa/contract..maana yake chuchu haifunguki kuruhu maji ya kwenye reserve kunyonywa kwenda kwenye radiator)
NB- kuna na tendency ya kuangalia radiator cap yako walau once after every three months..na unapo plan kwenda safari ndefu kagua radiator cap yako.
-Avoid kutumia maji ya kawaida kwakua yanatengeza kutu ambayo inajaza uchafu kwenye radiator na kuziba njia za radiator na kupunguza surface area ya radiator for heat exchanging, pia water ina low boil point kuliko coolant (na hapa coolant watanzania wengi wananunua anti-freezing coolant utadhan tunaishi Polar-regions kumbe tupo nchi ya ki tropic ambapo temperature inaenda mpaka 35°c..so nunua coolant yenye higher boiling point.
-hakikisha hakuna air-pockets kwenye mfuko wako wa upozaji wa injini.
We jamaa una sikitisha sana, moshi mweupe maana yake gari yako inachoma coolant....sasa possible cause ni either head gaskets imeungua so haifanyi sealing vizuri or kuna crack kwenye cylinder bore..na kama issue ipo associated na cracking of cylinder bore means hata ukiweka thick oil it won't solve anything,sanasana utapunguza ulaji wa oil kama gari yako itakua na shida ya oil consumption of which pia matumizi ya thick oil (mfano SAE40 or oil za Diesel) zitaharibu system nyingine za gari kama vvti gear, na hata ku affect oil pressure kwakua ni too thick, so this can potentially cause engine to seize kwakua thick oil hai flow kwa wakati na upitaji wake kwenye channels za oil ni kwa shida, pia ina rise compressor pressure na kusabibisha more damages (hiyo engine ipo designed kutumia light oil kama 5w-30 to 10w-40).
Inshort hakuna shortcut kwenye hilo tatizo, nunua mswaki weka kwenye gari, or temporarily fungua cylinder head uone kama haijapinda sana na hakuna crack basi weka multi-layer head gasket ambayo cost yake haivuki 50,000Tsh na garama ya ufundi 50000-80,000 then angalau moshi mweupe upungue..sishauri overhaul kwakua overhaul kits zinazokuja hazuna standard nzuri(kwa Toyota utakuta wanatumia kits from Taiwan ambazo no very poor ukiweka na labor cost bora unune mswaki) na overhaul kama cylinder bore ikichimbika basi haifai tene kutumia hiyo engine block..
But ukisha fanikiwa kuweka injini next time usirudie tena kufanya makosa ambayo ndo yamekugarimu hivi..2nz engine can last upo to 400,000km + without engine overhaul..shida yako imeanza kwa engine ku over-heat.
Tips to avoid overheating kwa gari ndogo.
-Avoid driving car aggressively kwenye highway (yaan gari inatembelea rpm 4000-5000 consistently & consecutively kwa masaa mengi..hii ni shida nenda rpm 2 to 3 na gari itafika tu.
-Make cooling fans zako zinafanya kazi appropriately na kwenye direction inayotakiwa (yaan fan inatakiwa iwe ina pull or push upepo towards engine side na sio opposite)
- Thermostat hakikisha inafanya kazi vile inatikiwa(inafungua kwa wakati kuruhusu excessive pressure inatoka na kuruhusu exchange ya maji kwa wakati)
-mfuniko wa rejita(kuna sayansi kubwa sana ya mfuniko wa rejeta ambao usipo ijua unaweza kukununulisha injjni) mifuniko ya rejeta inakuja na kwa design tofauti kulingana na design ya gari..mfuniko wa rejeta ndo una control pressure na temperature ya maji ili maji yasije ku boil na kua mvuke (steam) kwakua maji yakiwq kwenye steam state, yanapoteza uwezo wa ku transfer heat (na ndo maana ukikuta gsri ime overheat utakuta maji yanatoka kama mvuke na sio kama maji)
Sasa how radiator cap works, ni hivi ule mfuko wa radiator unakua na valve mbili na valve moja ni spring loaded (na kila mfuniko una rating ya pressure ambayo hurusu spring kufunguka ili kuondoa pressure kwenye mfumo wa opozaji wa injini ili kuzuia maji yasiwe mvuke) sasa wakati enjine inafanya kazi joto hupanda sasa maji huwa yanazunguka kwenye injini yote kuondoa excessive heat na kuleta yale maji ya moto kwenye radiator ili ya pozwe..but kadri maji yanavopata joto nayo u expand sasa mfumo wa upozaji unakua upo sealed ili ku raise boiling point ya maji (badala ya maji ku boil at 100°c basi boiling point hupanda hata kufika 150°c, but uki raise boiling point ya maji maaana yake una raise pressure pia kwenye mfumo wa upozaji kwakua maji yana expand zaidi) sasa expansion hii ikitokea, ile pressure inatakiwa kua released (sasa hapa ndo issue ya thermostat na kifuniko cha radiator inakuja, ambapo pressure ikijaa itasukuma spring ya thermostat na kuwasha feni, na maji yatatoka kwenye chamber ya engine kwenda kwenye radiator, lakini pia pressure itahamia kwenye radiator , pressure ikifika kwenye radiator ile spring ya kufukino itabidi i- contract na kurusu pressure kwenye mfumo wa upozaji ihamie kwenye reserve tank (utakuta radiator inakitank kidogo kipo pemben ambapo kunakua na coolant.).so pressure ikifika kwenye reserve tank inakua released to air then cooling circle inakua imekamilika na feni itazimika automatic, na kazi ikizimika basi basi cooling system hu contract na kutengeneza vacuum,sasa ili ku avoid vacuum isi ingize hewa kwenye mfumo wa cooling, then kile kichuchu cha mfuniko wa radiator hushuka na kuruhusu maji yanayokua kwenye reserve kua sucked to cooling system na kuzuia air-pockets ndani ya cooling system
.sasa ikitokea gari imewekewa mfuniko wa radiator ambao sio sahihi (mfano pressure rating ya spring ni kubwa kuliko pressure ya cooling system components ya hiyo gari basi pressure ya cooling system itapasua pipes za maji au itapasua radiator plastic tops au kile kile kichuchu cha mfuniko kitaachia na maji yatatoka yote na gari ku over heat..case kama hii utaijua pale unaposhika pipe zinazopitisha maji na kukuta zimejaa pressure na ngumu kubonyea ukiona hivo ujue kuna shida.. but scenario ya pili ni pale chuchu ya radiator inapokua ime-stuck utakuta gari ikisha poa utakuta pipe za maji zimejifinya/sinyaa/contract..maana yake chuchu haifunguki kuruhu maji ya kwenye reserve kunyonywa kwenda kwenye radiator)
NB- kuna na tendency ya kuangalia radiator cap yako walau once after every three months..na unapo plan kwenda safari ndefu kagua radiator cap yako.
-Avoid kutumia maji ya kawaida kwakua yanatengeza kutu ambayo inajaza uchafu kwenye radiator na kuziba njia za radiator na kupunguza surface area ya radiator for heat exchanging, pia water ina low boil point kuliko coolant (na hapa coolant watanzania wengi wananunua anti-freezing coolant utadhan tunaishi Polar-regions kumbe tupo nchi ya ki tropic ambapo temperature inaenda mpaka 35°c..so nunua coolant yenye higher boiling point.
-hakikisha hakuna air-pockets kwenye mfuko wako wa upozaji wa injini.
Mi nlibadili mfumo kutoka auto kwenda manual shift sasa saiv naona kama rpm inasimama sana yan kupata 100 spd lazma rpm iwe 3 kifup rpm inasimama af gari inakuwa kwenye mwendo mdogo shida yaweza kuwa nnWe jamaa una sikitisha sana, moshi mweupe maana yake gari yako inachoma coolant....sasa possible cause ni either head gaskets imeungua so haifanyi sealing vizuri or kuna crack kwenye cylinder bore..na kama issue ipo associated na cracking of cylinder bore means hata ukiweka thick oil it won't solve anything,sanasana utapunguza ulaji wa oil kama gari yako itakua na shida ya oil consumption of which pia matumizi ya thick oil (mfano SAE40 or oil za Diesel) zitaharibu system nyingine za gari kama vvti gear, na hata ku affect oil pressure kwakua ni too thick, so this can potentially cause engine to seize kwakua thick oil hai flow kwa wakati na upitaji wake kwenye channels za oil ni kwa shida, pia ina rise compressor pressure na kusabibisha more damages (hiyo engine ipo designed kutumia light oil kama 5w-30 to 10w-40).
Inshort hakuna shortcut kwenye hilo tatizo, nunua mswaki weka kwenye gari, or temporarily fungua cylinder head uone kama haijapinda sana na hakuna crack basi weka multi-layer head gasket ambayo cost yake haivuki 50,000Tsh na garama ya ufundi 50000-80,000 then angalau moshi mweupe upungue..sishauri overhaul kwakua overhaul kits zinazokuja hazuna standard nzuri(kwa Toyota utakuta wanatumia kits from Taiwan ambazo no very poor ukiweka na labor cost bora unune mswaki) na overhaul kama cylinder bore ikichimbika basi haifai tene kutumia hiyo engine block..
But ukisha fanikiwa kuweka injini next time usirudie tena kufanya makosa ambayo ndo yamekugarimu hivi..2nz engine can last upo to 400,000km + without engine overhaul..shida yako imeanza kwa engine ku over-heat.
Tips to avoid overheating kwa gari ndogo.
-Avoid driving car aggressively kwenye highway (yaan gari inatembelea rpm 4000-5000 consistently & consecutively kwa masaa mengi..hii ni shida nenda rpm 2 to 3 na gari itafika tu.
-Make cooling fans zako zinafanya kazi appropriately na kwenye direction inayotakiwa (yaan fan inatakiwa iwe ina pull or push upepo towards engine side na sio opposite)
- Thermostat hakikisha inafanya kazi vile inatikiwa(inafungua kwa wakati kuruhusu excessive pressure inatoka na kuruhusu exchange ya maji kwa wakati)
-mfuniko wa rejita(kuna sayansi kubwa sana ya mfuniko wa rejeta ambao usipo ijua unaweza kukununulisha injjni) mifuniko ya rejeta inakuja na kwa design tofauti kulingana na design ya gari..mfuniko wa rejeta ndo una control pressure na temperature ya maji ili maji yasije ku boil na kua mvuke (steam) kwakua maji yakiwq kwenye steam state, yanapoteza uwezo wa ku transfer heat (na ndo maana ukikuta gsri ime overheat utakuta maji yanatoka kama mvuke na sio kama maji)
Sasa how radiator cap works, ni hivi ule mfuko wa radiator unakua na valve mbili na valve moja ni spring loaded (na kila mfuniko una rating ya pressure ambayo hurusu spring kufunguka ili kuondoa pressure kwenye mfumo wa opozaji wa injini ili kuzuia maji yasiwe mvuke) sasa wakati enjine inafanya kazi joto hupanda sasa maji huwa yanazunguka kwenye injini yote kuondoa excessive heat na kuleta yale maji ya moto kwenye radiator ili ya pozwe..but kadri maji yanavopata joto nayo u expand sasa mfumo wa upozaji unakua upo sealed ili ku raise boiling point ya maji (badala ya maji ku boil at 100°c basi boiling point hupanda hata kufika 150°c, but uki raise boiling point ya maji maaana yake una raise pressure pia kwenye mfumo wa upozaji kwakua maji yana expand zaidi) sasa expansion hii ikitokea, ile pressure inatakiwa kua released (sasa hapa ndo issue ya thermostat na kifuniko cha radiator inakuja, ambapo pressure ikijaa itasukuma spring ya thermostat na kuwasha feni, na maji yatatoka kwenye chamber ya engine kwenda kwenye radiator, lakini pia pressure itahamia kwenye radiator , pressure ikifika kwenye radiator ile spring ya kufukino itabidi i- contract na kurusu pressure kwenye mfumo wa upozaji ihamie kwenye reserve tank (utakuta radiator inakitank kidogo kipo pemben ambapo kunakua na coolant.).so pressure ikifika kwenye reserve tank inakua released to air then cooling circle inakua imekamilika na feni itazimika automatic, na kazi ikizimika basi basi cooling system hu contract na kutengeneza vacuum,sasa ili ku avoid vacuum isi ingize hewa kwenye mfumo wa cooling, then kile kichuchu cha mfuniko wa radiator hushuka na kuruhusu maji yanayokua kwenye reserve kua sucked to cooling system na kuzuia air-pockets ndani ya cooling system
.sasa ikitokea gari imewekewa mfuniko wa radiator ambao sio sahihi (mfano pressure rating ya spring ni kubwa kuliko pressure ya cooling system components ya hiyo gari basi pressure ya cooling system itapasua pipes za maji au itapasua radiator plastic tops au kile kile kichuchu cha mfuniko kitaachia na maji yatatoka yote na gari ku over heat..case kama hii utaijua pale unaposhika pipe zinazopitisha maji na kukuta zimejaa pressure na ngumu kubonyea ukiona hivo ujue kuna shida.. but scenario ya pili ni pale chuchu ya radiator inapokua ime-stuck utakuta gari ikisha poa utakuta pipe za maji zimejifinya/sinyaa/contract..maana yake chuchu haifunguki kuruhu maji ya kwenye reserve kunyonywa kwenda kwenye radiator)
NB- kuna na tendency ya kuangalia radiator cap yako walau once after every three months..na unapo plan kwenda safari ndefu kagua radiator cap yako.
-Avoid kutumia maji ya kawaida kwakua yanatengeza kutu ambayo inajaza uchafu kwenye radiator na kuziba njia za radiator na kupunguza surface area ya radiator for heat exchanging, pia water ina low boil point kuliko coolant (na hapa coolant watanzania wengi wananunua anti-freezing coolant utadhan tunaishi Polar-regions kumbe tupo nchi ya ki tropic ambapo temperature inaenda mpaka 35°c..so nunua coolant yenye higher boiling point.
-hakikisha hakuna air-pockets kwenye mfuko wako wa upozaji wa injini.
Upo nondoWe jamaa una sikitisha sana, moshi mweupe maana yake gari yako inachoma coolant....sasa possible cause ni either head gaskets imeungua so haifanyi sealing vizuri or kuna crack kwenye cylinder bore..na kama issue ipo associated na cracking of cylinder bore means hata ukiweka thick oil it won't solve anything,sanasana utapunguza ulaji wa oil kama gari yako itakua na shida ya oil consumption of which pia matumizi ya thick oil (mfano SAE40 or oil za Diesel) zitaharibu system nyingine za gari kama vvti gear, na hata ku affect oil pressure kwakua ni too thick, so this can potentially cause engine to seize kwakua thick oil hai flow kwa wakati na upitaji wake kwenye channels za oil ni kwa shida, pia ina rise compressor pressure na kusabibisha more damages (hiyo engine ipo designed kutumia light oil kama 5w-30 to 10w-40).
Inshort hakuna shortcut kwenye hilo tatizo, nunua mswaki weka kwenye gari, or temporarily fungua cylinder head uone kama haijapinda sana na hakuna crack basi weka multi-layer head gasket ambayo cost yake haivuki 50,000Tsh na garama ya ufundi 50000-80,000 then angalau moshi mweupe upungue..sishauri overhaul kwakua overhaul kits zinazokuja hazuna standard nzuri(kwa Toyota utakuta wanatumia kits from Taiwan ambazo no very poor ukiweka na labor cost bora unune mswaki) na overhaul kama cylinder bore ikichimbika basi haifai tene kutumia hiyo engine block..
But ukisha fanikiwa kuweka injini next time usirudie tena kufanya makosa ambayo ndo yamekugarimu hivi..2nz engine can last upo to 400,000km + without engine overhaul..shida yako imeanza kwa engine ku over-heat.
Tips to avoid overheating kwa gari ndogo.
-Avoid driving car aggressively kwenye highway (yaan gari inatembelea rpm 4000-5000 consistently & consecutively kwa masaa mengi..hii ni shida nenda rpm 2 to 3 na gari itafika tu.
-Make cooling fans zako zinafanya kazi appropriately na kwenye direction inayotakiwa (yaan fan inatakiwa iwe ina pull or push upepo towards engine side na sio opposite)
- Thermostat hakikisha inafanya kazi vile inatikiwa(inafungua kwa wakati kuruhusu excessive pressure inatoka na kuruhusu exchange ya maji kwa wakati)
-mfuniko wa rejita(kuna sayansi kubwa sana ya mfuniko wa rejeta ambao usipo ijua unaweza kukununulisha injjni) mifuniko ya rejeta inakuja na kwa design tofauti kulingana na design ya gari..mfuniko wa rejeta ndo una control pressure na temperature ya maji ili maji yasije ku boil na kua mvuke (steam) kwakua maji yakiwq kwenye steam state, yanapoteza uwezo wa ku transfer heat (na ndo maana ukikuta gsri ime overheat utakuta maji yanatoka kama mvuke na sio kama maji)
Sasa how radiator cap works, ni hivi ule mfuko wa radiator unakua na valve mbili na valve moja ni spring loaded (na kila mfuniko una rating ya pressure ambayo hurusu spring kufunguka ili kuondoa pressure kwenye mfumo wa opozaji wa injini ili kuzuia maji yasiwe mvuke) sasa wakati enjine inafanya kazi joto hupanda sasa maji huwa yanazunguka kwenye injini yote kuondoa excessive heat na kuleta yale maji ya moto kwenye radiator ili ya pozwe..but kadri maji yanavopata joto nayo u expand sasa mfumo wa upozaji unakua upo sealed ili ku raise boiling point ya maji (badala ya maji ku boil at 100°c basi boiling point hupanda hata kufika 150°c, but uki raise boiling point ya maji maaana yake una raise pressure pia kwenye mfumo wa upozaji kwakua maji yana expand zaidi) sasa expansion hii ikitokea, ile pressure inatakiwa kua released (sasa hapa ndo issue ya thermostat na kifuniko cha radiator inakuja, ambapo pressure ikijaa itasukuma spring ya thermostat na kuwasha feni, na maji yatatoka kwenye chamber ya engine kwenda kwenye radiator, lakini pia pressure itahamia kwenye radiator , pressure ikifika kwenye radiator ile spring ya kufukino itabidi i- contract na kurusu pressure kwenye mfumo wa upozaji ihamie kwenye reserve tank (utakuta radiator inakitank kidogo kipo pemben ambapo kunakua na coolant.).so pressure ikifika kwenye reserve tank inakua released to air then cooling circle inakua imekamilika na feni itazimika automatic, na kazi ikizimika basi basi cooling system hu contract na kutengeneza vacuum,sasa ili ku avoid vacuum isi ingize hewa kwenye mfumo wa cooling, then kile kichuchu cha mfuniko wa radiator hushuka na kuruhusu maji yanayokua kwenye reserve kua sucked to cooling system na kuzuia air-pockets ndani ya cooling system
.sasa ikitokea gari imewekewa mfuniko wa radiator ambao sio sahihi (mfano pressure rating ya spring ni kubwa kuliko pressure ya cooling system components ya hiyo gari basi pressure ya cooling system itapasua pipes za maji au itapasua radiator plastic tops au kile kile kichuchu cha mfuniko kitaachia na maji yatatoka yote na gari ku over heat..case kama hii utaijua pale unaposhika pipe zinazopitisha maji na kukuta zimejaa pressure na ngumu kubonyea ukiona hivo ujue kuna shida.. but scenario ya pili ni pale chuchu ya radiator inapokua ime-stuck utakuta gari ikisha poa utakuta pipe za maji zimejifinya/sinyaa/contract..maana yake chuchu haifunguki kuruhu maji ya kwenye reserve kunyonywa kwenda kwenye radiator)
NB- kuna na tendency ya kuangalia radiator cap yako walau once after every three months..na unapo plan kwenda safari ndefu kagua radiator cap yako.
-Avoid kutumia maji ya kawaida kwakua yanatengeza kutu ambayo inajaza uchafu kwenye radiator na kuziba njia za radiator na kupunguza surface area ya radiator for heat exchanging, pia water ina low boil point kuliko coolant (na hapa coolant watanzania wengi wananunua anti-freezing coolant utadhan tunaishi Polar-regions kumbe tupo nchi ya ki tropic ambapo temperature inaenda mpaka 35°c..so nunua coolant yenye higher boiling point.
-hakikisha hakuna air-pockets kwenye mfuko wako wa upozaji wa injini.
Coolant genuine haifanyi hivi vitu mkuu... coolant ina chemicals zinazo zuia oxidation kwenye cooling system..unless umeweka coolant isiyo na required standard....yet hata zile rangi za coolant zina maana yake na properties zake kwa ajili ya specific cooling requirements za gari husika.Mbona fundI wa rejeta aliniambia coolant ina corrode chuma?
Ulaji wa mafuta ni subject to so many factors...mfano driving behavior yako..Hizi gari zipi mnazoongelea jamani? Mimi nna premio 1.8 na haiwezekani ikaenda hzo KM kwa litre. Maximum kwa urban ni 12Km tena ikiwa below 100k KM
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Duuh yaan speed ya 100 unaipata kwenye. Rpm 3 na una manual transmission yenye 5 gears mkuu...hii shida na gari itakua inakulia mafuta.Mi nlibadili mfumo kutoka auto kwenda manual shift sasa saiv naona kama rpm inasimama sana yan kupata 100 spd lazma rpm iwe 3 kifup rpm inasimama af gari inakuwa kwenye mwendo mdogo shida yaweza kuwa nn
Big up sana bro, fungueni garage basi tuwe tunakuja, shida ya mafund wa kibongo sio professional hawajui hata mifumo....We jamaa una sikitisha sana, moshi mweupe maana yake gari yako inachoma coolant....sasa possible cause ni either head gaskets imeungua so haifanyi sealing vizuri or kuna crack kwenye cylinder bore..na kama issue ipo associated na cracking of cylinder bore means hata ukiweka thick oil it won't solve anything,sanasana utapunguza ulaji wa oil kama gari yako itakua na shida ya oil consumption of which pia matumizi ya thick oil (mfano SAE40 or oil za Diesel) zitaharibu system nyingine za gari kama vvti gear, na hata ku affect oil pressure kwakua ni too thick, so this can potentially cause engine to seize kwakua thick oil hai flow kwa wakati na upitaji wake kwenye channels za oil ni kwa shida, pia ina rise compression pressure na kusabibisha more damages (hiyo engine ipo designed kutumia light oil kama 5w-30 to 10w-40).
Inshort hakuna shortcut kwenye hilo tatizo, nunua mswaki weka kwenye gari, or temporarily fungua cylinder head uone kama haijapinda sana na hakuna crack basi weka multi-layer head gasket ambayo cost yake haivuki 50,000Tsh na garama ya ufundi 50000-80,000 then angalau moshi mweupe upungue..sishauri overhaul kwakua overhaul kits zinazokuja hazuna standard nzuri(kwa Toyota utakuta wanatumia kits from Taiwan ambazo no very poor ukiweka na labor cost bora unune mswaki) na overhaul kama cylinder bore ikichimbika basi haifai tene kutumia hiyo engine block..
But ukisha fanikiwa kuweka injini next time usirudie tena kufanya makosa ambayo ndo yamekugarimu hivi..2nz engine can last upo to 400,000km + without engine overhaul..shida yako imeanza kwa engine ku over-heat.
Tips to avoid overheating kwa gari ndogo.
-Avoid driving car aggressively kwenye highway (yaan gari inatembelea rpm 4000-5000 consistently & consecutively kwa masaa mengi..hii ni shida nenda rpm 2 to 3 na gari itafika tu.
-Make cooling fans zako zinafanya kazi appropriately na kwenye direction inayotakiwa (yaan fan inatakiwa iwe ina pull or push upepo towards engine side na sio opposite)
- Thermostat hakikisha inafanya kazi vile inatikiwa(inafungua kwa wakati kuruhusu excessive pressure inatoka na kuruhusu exchange ya maji kwa wakati)
-mfuniko wa rejita(kuna sayansi kubwa sana ya mfuniko wa rejeta ambao usipo ijua unaweza kukununulisha injjni) mifuniko ya rejeta inakuja na kwa design tofauti kulingana na design ya gari..mfuniko wa rejeta ndo una control pressure na temperature ya maji ili maji yasije ku boil na kua mvuke (steam) kwakua maji yakiwq kwenye steam state, yanapoteza uwezo wa ku transfer heat (na ndo maana ukikuta gsri ime overheat utakuta maji yanatoka kama mvuke na sio kama maji)
Sasa how radiator cap works, ni hivi ule mfuko wa radiator unakua na valve mbili na valve moja ni spring loaded (na kila mfuniko una rating ya pressure ambayo hurusu spring kufunguka ili kuondoa pressure kwenye mfumo wa opozaji wa injini ili kuzuia maji yasiwe mvuke) sasa wakati enjine inafanya kazi joto hupanda sasa maji huwa yanazunguka kwenye injini yote kuondoa excessive heat na kuleta yale maji ya moto kwenye radiator ili ya pozwe..but kadri maji yanavopata joto nayo u expand sasa mfumo wa upozaji unakua upo sealed ili ku raise boiling point ya maji (badala ya maji ku boil at 100°c basi boiling point hupanda hata kufika 150°c, but uki raise boiling point ya maji maaana yake una raise pressure pia kwenye mfumo wa upozaji kwakua maji yana expand zaidi) sasa expansion hii ikitokea, ile pressure inatakiwa kua released (sasa hapa ndo issue ya thermostat na kifuniko cha radiator inakuja, ambapo pressure ikijaa itasukuma spring ya thermostat na kuwasha feni, na maji yatatoka kwenye chamber ya engine kwenda kwenye radiator, lakini pia pressure itahamia kwenye radiator , pressure ikifika kwenye radiator ile spring ya kufukino itabidi i- contract na kurusu pressure kwenye mfumo wa upozaji ihamie kwenye reserve tank (utakuta radiator inakitank kidogo kipo pemben ambapo kunakua na coolant.).so pressure ikifika kwenye reserve tank inakua released to air then cooling circle inakua imekamilika na feni itazimika automatic, na gari ikizimika basi basi cooling system hu contract na kutengeneza vacuum,sasa ili ku avoid vacuum isi ingize hewa kwenye mfumo wa cooling, then kile kichuchu cha mfuniko wa radiator hushuka na kuruhusu maji yanayokua kwenye reserve kua sucked to cooling system na kuzuia air-pockets ndani ya cooling system
.sasa ikitokea gari imewekewa mfuniko wa radiator ambao sio sahihi (mfano pressure rating ya spring ni kubwa kuliko pressure ya cooling system components ya hiyo gari basi pressure ya cooling system itapasua pipes za maji au itapasua radiator plastic tops au kile kile kichuchu cha mfuniko kitaachia na maji yatatoka yote na gari ku over heat..case kama hii utaijua pale unaposhika pipe zinazopitisha maji na kukuta zimejaa pressure na ngumu kubonyea ukiona hivo ujue kuna shida.. but scenario ya pili ni pale chuchu ya radiator inapokua ime-stuck utakuta gari ikisha poa utakuta pipe za maji zimejifinya/sinyaa/contract..maana yake chuchu haifunguki kuruhu maji ya kwenye reserve kunyonywa kwenda kwenye radiator)
NB- kua na tendency ya kuangalia radiator cap yako walau once after every three months..na unapo plan kwenda safari ndefu kagua radiator cap yako.
-Avoid kutumia maji ya kawaida kwakua yanatengeza kutu ambayo inajaza uchafu kwenye radiator na kuziba njia za radiator na kupunguza surface area ya radiator for heat exchanging, pia water ina low boil point kuliko coolant (na hapa coolant watanzania wengi wananunua anti-freezing coolant utadhan tunaishi Polar-regions kumbe tupo nchi ya ki tropic ambapo temperature inaenda mpaka 35°c..so nunua coolant yenye higher boiling point.
-hakikisha hakuna air-pockets kwenye mfuko wako wa upozaji wa injini.
Ata 3GR Ina better fuel consumption kuliko ya mleta mada. Isijekuwa jamaa kafungiwa engine ya fuso mana 5km/l hatari [emoji28]Nimeshangaa kwasababu hata Crown unapata zaidi ya hiyo.