Mimi nilienda nikawaambia kuna million 70 zinatakiwa kuingia humo kuna dada karembo we kalichangamkia sana walibadili ndani ya dakika 12 tu..Nataka kubadili au ku upgrade akaunti ya NMB chap chap kuwa Akaunti ya kawaida kwani nina project inayohitaji kuwekewa zaidi tsh milioni 20 na Cha chap haiwezi kupokea tsh. zaidi ya milioni 5.
Je itachukua muda gani kubadili,na kadi pia itabadilishwa,kama itabadilishwa itachukua muda gani kupata kadi nyingine?
Nawasilisha
Sio kweli huwezi kupokea na kutoa zaidi ya tsh milioni 5 nimeenda na kubadilisha, nilipewa fomu ya kubadilisha akauntI inayohitaji picha mbili za passport na nimekamilisha kubadili akaunti toka chap chap kuwa personal.Mimi leo nimetoka huko nikawauliza wakasema sasa hivi zinapokea hadi 20 million, au alinidanganya!
Andaa 15k na picha 2 ukajaze fomu uondoke na atm card yakokubadili,na kadi pia
Dah, yule mfanyakazi kumbe na yeye kiazi tu...Sio kweli huwezi kupokea na kutoa zaidi ya tsh milioni 5 nimeenda na kubadilisha, nilipewa fomu ya kubadilisha akauntI inayohitaji picha mbili za passport na nimekamilisha kubadili akaunti toka chap chap kuwa personal.