Dah ngoja waje Mavi mimi sijuiWadau hivi inawezekana kubadilisha jina ÑIDA na kupewa kitambulisho kipya kutumia jina la Ubatizo ?. Mfano nilikuwa naitwa KINYESI MKOJO MAVI, sasa nataka lisomeke JEKA MKOJO MAVI. Nilishakamilisha deed poll na kuitangaza gazeti la Serikali. Taratibu ni zipi wadau na naingiaje NIDA? Asanteni
Dah ngoja waje Mavi mimi sijui
Sawa kaka Mavi ?
Tulia kijana .Sasa kama hujui kwanini umekuja kureply hapa?
Kumbe hayo masifuri mnayopata huko shuleni hamuonewi kabisa.
Sasa kama jina la kwenye NIDA anaitwa JumaUbatizo wako ulitakiwa ufuate cheti cha NIDA,lasivyo kabadilishe cheti cha ubatizo