Kubadilisha Jina NIDA baada ya Kubatizwa

Tondelo

Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
25
Reaction score
28
Wadau hivi inawezekana kubadilisha jina ÑIDA na kupewa kitambulisho kipya kutumia jina la Ubatizo ?. Mfano nilikuwa naitwa KINYESI MKOJO MAVI, sasa nataka lisomeke JEKA MKOJO MAVI. Nilishakamilisha deed poll na kuitangaza gazeti la Serikali. Taratibu ni zipi wadau na naingiaje NIDA? Asanteni
 
Dah ngoja waje Mavi mimi sijui
Sawa kaka Mavi ?
 
Ubatizo wako ulitakiwa ufuate cheti cha NIDA,lasivyo kabadilishe cheti cha ubatizo
 
Sasa kama hujui kwanini umekuja kureply hapa?

Kumbe hayo masifuri mnayopata huko shuleni hamuonewi kabisa.
Tulia kijana .
Namtania according to his example sikuwa seriuos that why nikasema wacha waje
Sawa kijana?
 
Back
Top Bottom