Tondelo
Member
- Apr 29, 2011
- 25
- 28
Wadau hivi inawezekana kubadilisha jina ÑIDA na kupewa kitambulisho kipya kutumia jina la Ubatizo ?. Mfano nilikuwa naitwa KINYESI MKOJO MAVI, sasa nataka lisomeke JEKA MKOJO MAVI. Nilishakamilisha deed poll na kuitangaza gazeti la Serikali. Taratibu ni zipi wadau na naingiaje NIDA? Asanteni