Eleza kisayansi na sivyo unavyoeleza kiporojo.Speedometer imekuwa calibrated kusoma speed ya gari kupitia mzunguko wa tairi.. Diameter ya tairi inacover distance fulani..!
Ukipunguza size ya tairi itasababisha gari kwenda spidi ndogo zaidi ya inayosoma kwenye dashboard.. Ukiongeza size ya tairi gari itaenda spidi zaidi ya kwenye dashboard.. Utaishia kupigwa tochi nyingi za over speed..!
Hata kilometers za gari zitasoma tofauti..!
Unaweza kuongeza upana wa tairi kwa muonekano mzuri..Ila kama unaongeza rim size, tumia low profile tires au fanya recalibration ya speedometer..!
Speedometer imekuwa calibrated kusoma speed ya gari kupitia mzunguko wa tairi.. Diameter ya tairi inacover distance fulani..!
Ukipunguza size ya tairi itasababisha gari kwenda spidi ndogo zaidi ya inayosoma kwenye dashboard.. Ukiongeza size ya tairi gari itaenda spidi zaidi ya kwenye dashboard.. Utaishia kupigwa tochi nyingi za over speed..!
Hata kilometers za gari zitasoma tofauti..!
Unaweza kuongeza upana wa tairi kwa muonekano mzuri..Ila kama unaongeza rim size, tumia low profile tires au fanya recalibration ya speedometer..!
Umeshindwa kuelewa maneno haya Calibrated.. Diameter.. Speedometer.. Low profile.. Ndio maana unahisi ni Porojo..Eleza kisayansi na sivyo unavyoeleza kiporojo.
Unakuwa kama Boss Mwamedi!
Unapotaka kununua gari hasa kampuni ya Toyota epuka story za vijiweni
Mwaka 2019 nilitaka kubadilisha gari kutoka mark 2 grand kwenda kwenye Vigari vidogo nikaamua kuopt kuchukua Toyota Porte aiseee watu walinitisha eti hooo gari laini sanaa mara sijuii nini makorokocho kibao na mastory mengi ya kizushi basi mm kama mwanaume nikakaaaa nikatafakari na kuchunguza na...www.jamiiforums.com
Yupo sahihi kabisa Boss.Duh hii sayansi yako
Weka data za kiufumdi na siyo maneno wewe kichwq majiUmeshindwa kuelewa maneno haya Calibrated.. Diameter.. Speedometer.. Low profile.. Ndio maana unahisi ni Porojo..
Hayo ni maneno ya Kiingereza.. Kitimoto anajua kutafuna Pumba na Mashudu tuu.. Kudigest Kiingereza huwezi..!
Kwa maelezo rahisi, Speedometer ya gari inatumia sensor inayo calculate mizunguko ya tairi kuwa umbali (distance), mfano kama kila mzunguko mmoja wa tairi / rim original size la gari ni 1meter, then ukibadilisha tairi / rim kwa kuongeza au kupunguza unabadilisha diameter pia mzunguko ( circumference) wa tairi kutoka 1m ya awali, hivyo utakachokuwa unaona kwenye dashboard yako inakuwa sio sahihi.Weka data za kiufumdi na siyo maneno wewe kichwq maji
Speedometer cable huwa inasetiwa kwenye Gearbox (output shaft) kwenda kwenye lile li saa pale kwenye usukani.Wanaobisha wanadhani hiyo speedometer imesetiwaje?
Huelewek. Weka pichaSpeedometer imekuwa calibrated kusoma speed ya gari kupitia mzunguko wa tairi.. Diameter ya tairi inacover distance fulani..!
Ukipunguza size ya tairi itasababisha gari kwenda spidi ndogo zaidi ya inayosoma kwenye dashboard.. Ukiongeza size ya tairi gari itaenda spidi zaidi ya kwenye dashboard.. Utaishia kupigwa tochi nyingi za over speed..!
Hata kilometers za gari zitasoma tofauti..!
Unaweza kuongeza upana wa tairi kwa muonekano mzuri..Ila kama unaongeza rim size, tumia low profile tires au fanya recalibration ya speedometer..!
Ni kweli kabisa, nilibadili size ya tairi kutoka 60 kwenda 70, nilikuwa napigwa tochi sana kwa safari za mikoani, kweye vibao vya 50KPH nillikuwa napigwa tochi inasoma 60KHP plus, tukawa tunabishana sana kwamba wamekosea au wananionea mpaka nilipofuatilia nikagundua tatizo lilianzia pale nilipobadili tairi. Kwa sasa kwenye 50 naenda 40 hapo nakuwa salama, zikiisha nitaweka tairi za size yakeSpeedometer imekuwa calibrated kusoma speed ya gari kupitia mzunguko wa tairi.. Diameter ya tairi inacover distance fulani..!
Ukipunguza size ya tairi itasababisha gari kwenda spidi ndogo zaidi ya inayosoma kwenye dashboard.. Ukiongeza size ya tairi gari itaenda spidi zaidi ya kwenye dashboard.. Utaishia kupigwa tochi nyingi za over speed..!
Hata kilometers za gari zitasoma tofauti..!
Unaweza kuongeza upana wa tairi kwa muonekano mzuri..Ila kama unaongeza rim size, tumia low profile tires au fanya recalibration ya speedometer..!
Nadhani revolution time inabaki ile ile. Hata angular velocity inabaki ile ile. Kinachobadilika ni linear velocity.Upo sahii.... Ukibadili diameter unabadili revolution time ambapo itaathiri speed/velocity....
Uko sahihi kabisa, ila sababu watu wako allergic na hesabu kukuelewa itakua ngumu sana.Speedometer imekuwa calibrated kusoma speed ya gari kupitia mzunguko wa tairi.. Diameter ya tairi inacover distance fulani..!
Ukipunguza size ya tairi itasababisha gari kwenda spidi ndogo zaidi ya inayosoma kwenye dashboard.. Ukiongeza size ya tairi gari itaenda spidi zaidi ya kwenye dashboard.. Utaishia kupigwa tochi nyingi za over speed..!
Hata kilometers za gari zitasoma tofauti..!
Unaweza kuongeza upana wa tairi kwa muonekano mzuri..Ila kama unaongeza rim size, tumia low profile tires au fanya recalibration ya speedometer..!
Pole aisee.. Kuna vitu vidogo vidogo ila makini sana..!Ni kweli kabisa, nilibadili size ya tairi kutoka 60 kwenda 70, nilikuwa napigwa tochi sana kwa safari za mikoani, kweye vibao vya 50KPH nillikuwa napigwa tochi inasoma 60KHP plus, tukawa tunabishana sana kwamba wamekosea au wananionea mpaka nilipofuatilia nikagundua tatizo lilianzia pale nilipobadili tairi. Kwa sasa kwenye 50 naenda 40 hapo nakuwa salama, zikiisha nitaweka tairi za size yake
Sure.. Ni muhimu kuelewa logic behind mechanisms za magari..!Uko sahihi kabisa, ila sababu watu wako allergic na hesabu kukuelewa itakua ngumu sana.
Kupitia radius au diameter ya tairi ndio tunapata circumference (mzunguko) Kwa formula ya 2πr au πd.
Sasa odometer imewekwa ) calibrated) kua kwa mzunguko wa tairi yenye diameter fulani ikifanya mizunguko fulan basi itakamilisha urefu wa kilometa moja.
Ukibadili hapo diameter, obviously utabadili circumference since π ni constant. So itasoma tofauti na calibration ya awali.
Watu Wengi wameua engine sababu ya kutoelewa hili. Odometer inasoma ukifanya mizunguko 3,000 labda ndio utafikia kilometer 3,000 kumbe wewe ushabadili tairi ukaweka tairi zako kubwa bila kujijua uko kwenye kilometer 5,000 Sasa bila service.
Tupende hesabu jaman, na kwa vile sasa tumekua watu wazima basi tuwahimize wanetu wapende hesabu.