KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,049
Speedometer imekuwa calibrated kusoma speed ya gari kupitia mzunguko wa tairi.. Diameter ya tairi inacover distance fulani..!
Ukipunguza size ya tairi itasababisha gari kwenda spidi ndogo zaidi ya inayosoma kwenye dashboard.. Ukiongeza size ya tairi gari itaenda spidi zaidi ya kwenye dashboard.. Utaishia kupigwa tochi nyingi za over speed..!
Hata kilometers za gari zitasoma tofauti..!
Unaweza kuongeza upana wa tairi kwa muonekano mzuri..Ila kama unaongeza rim size, tumia low profile tires au fanya recalibration ya speedometer..!