Kubadilisha Rim size vs Speedometer & Milage

KndNo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2021
Posts
627
Reaction score
2,049
Speedometer imekuwa calibrated kusoma speed ya gari kupitia mzunguko wa tairi.. Diameter ya tairi inacover distance fulani..!
Ukipunguza size ya tairi itasababisha gari kwenda spidi ndogo zaidi ya inayosoma kwenye dashboard.. Ukiongeza size ya tairi gari itaenda spidi zaidi ya kwenye dashboard.. Utaishia kupigwa tochi nyingi za over speed..!
Hata kilometers za gari zitasoma tofauti..!

Unaweza kuongeza upana wa tairi kwa muonekano mzuri..Ila kama unaongeza rim size, tumia low profile tires au fanya recalibration ya speedometer..!
 
Eleza kisayansi na sivyo unavyoeleza kiporojo.

Unakuwa kama Boss Mwamedi!

Uko sawa Mkuu.

Hii ishu ukiacha tu suala la kuifahamu. Nimeshaprove kabisa.

Kuna gari tulimnunulia yard na ilikuja rims size 14 badala ya 15.

Wakati tunampelekea mteja mkoani speed iliyokuwa inasoma kwenye dashboard haikuwa sawa na iliyokuwa inasoma kwa kupitia kifaa chetu kingine.

Diameter ya tairi inaathiri kitakachosoma kwenye speedometer kuwa sahihi au lah.
 
Eleza kisayansi na sivyo unavyoeleza kiporojo.

Unakuwa kama Boss Mwamedi!

Umeshindwa kuelewa maneno haya Calibrated.. Diameter.. Speedometer.. Low profile.. Ndio maana unahisi ni Porojo..
Hayo ni maneno ya Kiingereza.. Kitimoto anajua kutafuna Pumba na Mashudu tuu.. Kudigest Kiingereza huwezi..!
 
Weka data za kiufumdi na siyo maneno wewe kichwq maji
Kwa maelezo rahisi, Speedometer ya gari inatumia sensor inayo calculate mizunguko ya tairi kuwa umbali (distance), mfano kama kila mzunguko mmoja wa tairi / rim original size la gari ni 1meter, then ukibadilisha tairi / rim kwa kuongeza au kupunguza unabadilisha diameter pia mzunguko ( circumference) wa tairi kutoka 1m ya awali, hivyo utakachokuwa unaona kwenye dashboard yako inakuwa sio sahihi.

Ukishindwa kuelewa hayo maelezo hapo juu, rudi darasa la 6B ukajifunze hesabu tena.
 
Speedometer imekuwa calibrated kusoma speed ya gari kupitia mzunguko wa tairi.. Diameter ya tairi inacover distance fulani..!
Ukipunguza size ya tairi itasababisha gari kwenda spidi ndogo zaidi ya inayosoma kwenye dashboard.. Ukiongeza size ya tairi gari itaenda spidi zaidi ya kwenye dashboard.. Utaishia kupigwa tochi nyingi za over speed..!
Hata kilometers za gari zitasoma tofauti..!

Unaweza kuongeza upana wa tairi kwa muonekano mzuri..Ila kama unaongeza rim size, tumia low profile tires au fanya recalibration ya speedometer..!
Huelewek. Weka picha
 
Ni kweli kabisa, nilibadili size ya tairi kutoka 60 kwenda 70, nilikuwa napigwa tochi sana kwa safari za mikoani, kweye vibao vya 50KPH nillikuwa napigwa tochi inasoma 60KHP plus, tukawa tunabishana sana kwamba wamekosea au wananionea mpaka nilipofuatilia nikagundua tatizo lilianzia pale nilipobadili tairi. Kwa sasa kwenye 50 naenda 40 hapo nakuwa salama, zikiisha nitaweka tairi za size yake
 
Uko sahihi kabisa, ila sababu watu wako allergic na hesabu kukuelewa itakua ngumu sana.

Kupitia radius au diameter ya tairi ndio tunapata circumference (mzunguko) Kwa formula ya 2πr au πd.

Sasa odometer imewekwa ) calibrated) kua kwa mzunguko wa tairi yenye diameter fulani ikifanya mizunguko fulan basi itakamilisha urefu wa kilometa moja.

Ukibadili hapo diameter, obviously utabadili circumference since π ni constant. So itasoma tofauti na calibration ya awali.

Watu Wengi wameua engine sababu ya kutoelewa hili. Odometer inasoma ukifanya mizunguko 3,000 labda ndio utafikia kilometer 3,000 kumbe wewe ushabadili tairi ukaweka tairi zako kubwa bila kujijua uko kwenye kilometer 5,000 Sasa bila service.

Tupende hesabu jaman, na kwa vile sasa tumekua watu wazima basi tuwahimize wanetu wapende hesabu.
 
Pole aisee.. Kuna vitu vidogo vidogo ila makini sana..!
 
Sure.. Ni muhimu kuelewa logic behind mechanisms za magari..!
 
Ni kweli kabisa nimebadilisha rim na tairi nimesafiri na gari naona inakimbia sana lakini speedometer iko chini ya 140 hadi nikawa najiuliza inakuwaje hii injini
 
Back
Top Bottom