Kubadilisha Rim size vs Speedometer & Milage

Kubadilisha Rim size vs Speedometer & Milage

Kwaio tulioweka wide rims( wheels) i.e mimi OG size ni 16 au 17..iliokuja na gari ni 215/45r17 ila nimeweka wide wheels( rim) 225/45r17 hapo inatakiwa calibration pia ama?
 
Kwaio tulioweka wide rims( wheels) i.e mimi OG size ni 16 au 17..iliokuja na gari ni 215/45r17 ila nimeweka wide wheels( rim) 225/45r17 hapo inatakiwa calibration pia ama?
Upana hauna shida..
Angalia spare tyre nyingi ni nyembamba ila diameter sawa..!
 
Speedometer cable huwa inasetiwa kwenye Gearbox (output shaft) kwenda kwenye lile li saa pale kwenye usukani.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Maelezo mafupi yenye kueleweka! Kumbe calibration ya speed imesetiwa based on output shaft na sio mzunguko wa tairi kama anavyodai mleta mada.

Kwamba kwa standard tires za gari mzunguko mmoja wa shaft gari inategemewa iwe imetembea umbali fulani. Ukibadili size ya tairi, mzunguko mmoja wa shaft hauta-cover umbali sahihi hence incorrect speedometer reading! Nimeelewa; thanks.
 
Kwa sisi wa pikipiki hata hatupati shida kuelewa maana waya wa speedometer cable unachomekwa kwenye tairi linavyozunguka na wenyewe ndio unavyozunguka.

So mzunguko wa tairi linaathiri spidi inayosomwa moja kwa moja.

Ukitaka kuelewa basi tumieni hata mfano wa baiskeli za gia. Unaweza kuweka gia fulani laini sana hadi ukakanyaga kwa spidi kubwa lakini mwendo wa baskeli ukawa ni mdogo tu.

Ukichunguza unakuta ule upana halisi wa gia ya nyuma umekuzwa saaana. So mizunguko mingi haitafsiriki tena kuendana na spidi ya chombo kwenye tairi.

Hence: Ukubwa wa maduara yanayozunguka unaathiri mwendokasi wa spidi inayoonekana chombo kujongea mbele.
 
Back
Top Bottom