Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upana hauna shida..Kwaio tulioweka wide rims( wheels) i.e mimi OG size ni 16 au 17..iliokuja na gari ni 215/45r17 ila nimeweka wide wheels( rim) 225/45r17 hapo inatakiwa calibration pia ama?
Anhaa sawa mzee basi kama ni hivyo nipo salama naonaUpana hauna shida..
Angalia spare tyre nyingi ni nyembamba ila diameter sawa..!
Hiyo itaaffect ulaji wa mafuta tu ila kwenye mzunguko hapana.Kwaio tulioweka wide rims( wheels) i.e mimi OG size ni 16 au 17..iliokuja na gari ni 215/45r17 ila nimeweka wide wheels( rim) 225/45r17 hapo inatakiwa calibration pia ama?
Maelezo mafupi yenye kueleweka! Kumbe calibration ya speed imesetiwa based on output shaft na sio mzunguko wa tairi kama anavyodai mleta mada.Speedometer cable huwa inasetiwa kwenye Gearbox (output shaft) kwenda kwenye lile li saa pale kwenye usukani.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ulaji wa mafuta tena!!
Ulaji wa mafuta tena!!