Wadau wa jukwaa la sheria kuna jambo linanitatiza, kuna shida yeyote mtu akibadilisha hati ya saini yake alokuwa akitumia awali na kutumia saini jipya?
Kubadili saini hairuhusiwi katika muamala mmoja, lakini unaruhusiwa kuwa na zaidi ya saini moja, na hakikisha usizichanganye katika matumizi yake. Kila saini iwe kwa matumizi fulani
Kubadili saini hairuhusiwi katika muamala mmoja, lakini unaruhusiwa kuwa na zaidi saya ini moja, na hakikisha usizichanganye katika matumizi yake. Kila saini iwe kwa matumizi fulani