Kubadilisha sahihi (saini)

Kubadilisha sahihi (saini)

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
331
Reaction score
99
Wadau wa jukwaa la sheria kuna jambo linanitatiza, kuna shida yeyote mtu akibadilisha hati ya saini yake alokuwa akitumia awali na kutumia saini jipya?
 
Kubadili saini hairuhusiwi katika muamala mmoja, lakini unaruhusiwa kuwa na zaidi ya saini moja, na hakikisha usizichanganye katika matumizi yake. Kila saini iwe kwa matumizi fulani
 
Kubadili saini hairuhusiwi katika muamala mmoja, lakini unaruhusiwa kuwa na zaidi saya ini moja, na hakikisha usizichanganye katika matumizi yake. Kila saini iwe kwa matumizi fulani
Ahsabte mkuu though kuna kazi aisee
 
Nimekupata mkuu #Dragoon kwa hiyo naweza kubadili saini yangu mfano ofsini kwangu, bank kutoa na kuweka pesa ama?
 
Back
Top Bottom