Mti wa Chuma
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 331
- 99
Wadau wa jukwaa la sheria kuna jambo linanitatiza, kuna shida yeyote mtu akibadilisha hati ya saini yake alokuwa akitumia awali na kutumia saini jipya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsabte mkuu though kuna kazi aiseeKubadili saini hairuhusiwi katika muamala mmoja, lakini unaruhusiwa kuwa na zaidi saya ini moja, na hakikisha usizichanganye katika matumizi yake. Kila saini iwe kwa matumizi fulani