Kubadilishana. Kituo cha kazi

Kubadilishana. Kituo cha kazi

Hamis Zmc

Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
48
Reaction score
27
Wakuu mimi ni Afisa muuguzi msaidizi. Niko Tarime Mara. Kama kuna mtu wa kada yangu Yuko Mwanza anahitaji kuhamia Tarime tuwasiliane. 07583886618
 
Kaa huko huko mtafute binti wa kikuria posa oa maisha yaende..kuna ndizi ,nyama,kichuri,kila aina ya mazao .

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kila mmoja na interest yake.
Ukiona mjini hapakufai unataka shamba wapo wanotaka shamba kwa udi na uvumba ndivyo alivyo mwanadamu huwa ajui anachokitafuta Hadi siku ya mwisho
 
Back
Top Bottom