Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
Kwa mimi nadhani imesaidia kidogo
Natoa mfano ulio hai kabisa

Kuna dogo anasoma electrical engineering ada kwa mwaka ni 1.2 million ila yeye ada alikuwa analipiwa 33.33% ya hiyo pesa means ni laki nne(400000) tu kwa mwaka mzima na boom alikuwa anapokea lote hapo ni milioni mbili na elfu themanini na nane(2088000) kwa mwaka mzima .

Tujue kwamba semester zipo mbili na kila semster moja ina miezi minne .

kimchanganuo ni kwamba dogo alikuwa kwa kila semester alitakiwa alipe laki sita(600000) kama ada ila kwa kuwa alikuwa analipiwa laki nne na serikali hii ina maanisha kila semester alikuwa analipiwa laki mbili ya ada direct na kwa sababu hakupata ada asilimia 100% hivyo alitakiwa kila semester moja ajijazilishie laki nne (400000) katika ada ili itimie laki sita (600000) jumla kwa semester mbili atatakiwa ajitolee laki nane (800000) ili ada iweze kutimia.

Sasa hiyo laki nne ya kila semester ataitolea wapi? Jibu linakuja ni kwenye boom.

Kwa sababu boom alipokea milioni mbili na themanini na nane elfu (2088000) kwa mwaka hivyo kwa semester atapokea milioni moja na arobaini na nne elfu(1044000) ambayo ni sawa na laki tano na ishirini na mbili elfu(522000) kila miezi miwili kwenye semester moja.

Hii inamaanisha dogo alitakiwa sasa abakishe kama laki sita hivi ya matumizi ya miezi minne yote ambayo ni semester moja nzima hapo haujaweka madeni ambayo alikopa labda kulipia direct cost bado haujaweka gharama za maisha tena kwa mkoa kama DAR ES SALAAM.

Sasa huyu dogo alipoingia mwaka wa pili Akaongezwa ada akapokea 100% ila boom wakapunguza 48000/= hivi kwa mwaka mzima hii inamaanisha dogo sasa atalipiwa ada nzima yaani 1200000/= na boom lake hatoongezea kwenye ada ila sasa atapokea boom la 1996000/= kwa mwaka mzima hii ninaona si mbaya sana kwa sababu kwanza inakupunguzia stress za kuwaza kuligawa boom na kidogo unafuu wa maisha.

N.b
Hizo hesabu hapo kuna shillingi kadhaa nimeziondoa kwa sababu za kimahesabu hivyo haimaanishi hesabu hizo zina usahihi kwa 100% ila mfumo mzima upo hivyo.
 
Nmekuelewa vema mkuu,bhas wamewasaidia sana kwenye ishu ya Ada ilikua ni tatizo kubwa lazma wajibane ,ila kwasasa unafuu utaonekana MAMA SAMIA ANAUPIGA MWINGI
 
Au chukua boom lao Kam 2milion ,na Ela ya Ada bana afu potea mazima
Boom million 2 analichukuaje kwa pamoja ivi umesoma kweli chuo wewe au unaongea tu

Ela ya ada inatumwa directly chuoni abaneje?
 
Tuko enzi za mama anaupiga mwingi
Msoga alibase na kata ordinary kinyama😅😅 uku juu wadau walijipambania
 
Boom million 2 analichukuaje kwa pamoja ivi umesoma kweli chuo wewe au unaongea tu

Ela ya ada inatumwa directly chuoni abaneje?
Wanafunz Kam niny starehe ndio kipaumbele chenu
 
Back
Top Bottom