Kubadilishwa kwa Uongozi ndani ya kikosi cha Simba

Ni ngumu mchezaji wa simba kuhujumu kwa sababu wanalipwa vizuri kuliko timu yoyote Tanzania pia ushindani mkubwa wa namba kiuhalisia wachezaji ama wameridhika au viwango vimeshuka hawajitumi Dilunga anacheza kama staa mkubwa hakabi akipata mpira anataka afunge kuwatengenezea nafasi wenzake ni mara chache, Shabalala anakawia kurudi, marking yake ni mbovu hana speed hasa anapokutana na winga mwenye kasi anatoa pasi boko za utatanishi
 
Dilunga? Mnyimi wa pasi?
 
Sifa kubwa ya nafsi yetu ni kutokuridhika, hivyo lolote, linawezekana
 
Sidhani kama ni rais tshabalala kula pesa labda Manula na Kennedy hata hiyo ya bocco ni hapana maana pesa ilipelekwa sumbawanga ambapo bocco yeye alibaki dar ila infomer wa management huwa ni said ,yule jamaa anapewa mshahara mkubwa kwasababu hiyo
Said yupi mkuu?
Ndemla?
 
Mkuu waliotafuna mlungula ni kina nani? ( kwa majina)
Ulitoka wapi au GSM?
 
Mkuu waliotafuna mlungula ni kina nani? ( kwa majina)
Ulitoka wapi au GSM?
Nilikuta watu wanazungumza, pia nilikuwa bize kidogo na kile kilichonipeleka pale, kwanza nilikuwa napuuzia, sikuwekea maanani saana, hivyo nikawa nasikia juu juu, umakini ulikuja pale jamaa aliposema anampigia kiongozi wa juu simba kuwathibitishia wanaobisha, akapiga simu inaonekana akaambiwa yuko bize idogo baadae atampigia, mie nikatoka eneo hilo, wakiwa bado wanachambua

Niichookota pale ni majina manula, tshabalala, kisha nyoni na dilunga kama sikosei hawa ndio waliotajwa.
Inaonekana ni kutoka GSM.
 
Dah bongo fitna haziishi, ....
Hao mwisho wa msimu hatunao tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…