nasemekana tshabalala na kuna wenzie walikula mlungula hapa katikati kuhujumu simba s.c, hizo habari nilizikutia mwishoni mwishoni kiongozi wa tawi fulani akihadithia watu wakawa kama hawamuamini, akampigia jamaa yake, kiongozi mkubwa simba, jamaa akakiri kidogo ila alikuwa anaingia kwenye kikao, akasema atampigia baadae.. Mie nikawaacha hapo wakijadili, hiyo nilisikia siku kadhaa kabla ya game na kagera sugar. Ndio sakata hilo limekula saana vichwa vya watu pale msimbazi, na walisema aliyebumbulua ni jonas mkude, yeye ndio aligoma kula mlungula, akasema kwa john bocco, bocco ndio kufikisha habari kwa wakubwa, uchunguzi kuanza na kukamatwa baadhi ya watu.