Kubadirisha oil kwenye Bugatti Chiron ni approximately Tsh Mil 50, kila baada ya 5,000 hadi 8,000 km!

Kubadirisha oil kwenye Bugatti Chiron ni approximately Tsh Mil 50, kila baada ya 5,000 hadi 8,000 km!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
IMG_2275.jpeg
Kwa wale wamiliki wa hii babyworker tunakumbushana tu, kila baada ya km 5,000 hadi 8,000 njoo tukuwekee lita 8 za oil na oil filter mpya.
IMG_2277.jpeg

Gharama ni vifaa pamoja na ufundi, ni kazi ya masaa 27 tu. Ukiwa na roho nyepesi usikae gereji. Gari inafunguliwa yoote kama kwenye picha juu.

Na brake pads za carbon-ceramic zimefika dukani, kama za kwenye gari yako. Set nzima ni Tsh Mil 100 na kuendelea kutegemea na aina ya breki.

Asanteni.
 
View attachment 3460700Kwa wale wamiliki wa hii babyworker tunakumbushana tu, kila baada ya km 5,000 hadi 8,000 njoo tukuwekee lita 8 za oil na oil filter mpya.
View attachment 3460701
Gharama ni vifaa pamoja na ufundi, ni kazi ya masaa 27 tu. Ukiwa na roho nyepesi usikae gereji. Gari inafunguliwa yoote kama kwenye picha juu.

Na brake pads za carbon-ceramic zimefika dukani, kama za kwenye gari yako. Set nzima ni Tsh Mil 100,000 na kuendelea kutegemea na aina ya breki.

Asanteni.
Ni sawa na gari ikiwa na shida ya AC inafumuliwa pale dashboard nzima tajeer anaweza mind
 
Kwamba kubadili oil na filter yake Ndo Bugatti lifunguliwe hvy?
 
Chiron ni kali upande wa speed ila uimara wa body yake sio kama SUV Inatumia carbon fiber nyepesi na imara ila ikipata ajali kubwa inapasuka badala ya kukunjika Ubora wake umewekwa zaidi kwenye kasi na aerodynamics kuliko nguvu ya body
 
Yaani nalazimisha kichwa kuelewa mada lakini kama kichwa kinagoma hivi.
Kwamba kubadili oil after 5000 km pesa ake ni sawa na pesa ninayoiangaikia miaka 38 now bila kuishika kwa mkupuo?
Me nashaur tulale mkuu 😸😸
 
Bongo hakuna garage ya kufanya service ya hio gari..
Ni either isafirishwe South Africa, Asia au EU... kama ni se
Au engineers wake waje hadi ulipo...
 
Abdul Mtoto wa mama yetu anamiliki hiyo gari .
Ila waafrica Akili zetu tunazijua wenyewe yaani kwenye nchi kama Tanzania unanunua gari kama hii Kwa pesa za wizi ni hatari sana
 
View attachment 3460700Kwa wale wamiliki wa hii babyworker tunakumbushana tu, kila baada ya km 5,000 hadi 8,000 njoo tukuwekee lita 8 za oil na oil filter mpya.
View attachment 3460701
Gharama ni vifaa pamoja na ufundi, ni kazi ya masaa 27 tu. Ukiwa na roho nyepesi usikae gereji. Gari inafunguliwa yoote kama kwenye picha juu.

Na brake pads za carbon-ceramic zimefika dukani, kama za kwenye gari yako. Set nzima ni Tsh Mil 100 na kuendelea kutegemea na aina ya breki.

Asanteni.
Kumbe hata nikipewa bure siwezii kuichukua maana ni sawa badala ya kupunguziwa mzigo nimewekewa mzigo wa kutosha.
 
Bongo hakuna garage ya kufanya service ya hio gari..
Ni either isafirishwe South Africa, Asia au EU... kama ni se
Au engineers wake waje hadi ulipo...
Kwahiyo gharama zitaongezeka zaidi. Aisee
 
Abdul Mtoto wa mama yetu anamiliki hiyo gari .
Ila waafrica Akili zetu tunazijua wenyewe yaani kwenye nchi kama Tanzania unanunua gari kama hii Kwa pesa za wizi ni hatari sana
Bora kukaa low-key unanunua Ford new gen, LC, Benz mpya mpya nk. Ila sio unique kama Bugatti, RR kila ukipita watu wanajua ni ww tu.
 
Back
Top Bottom