Kubadirisha oil kwenye Bugatti Chiron ni approximately Tsh Mil 50, kila baada ya 5,000 hadi 8,000 km!

Kubadirisha oil kwenye Bugatti Chiron ni approximately Tsh Mil 50, kila baada ya 5,000 hadi 8,000 km!

Unajua ata kitumbua cha 500 mkikubaliana kiuzwe 500,000 na bei ikapita; ina maana utanunua kitumbua kwa 500,000 ingawa ladha na ukubwa wa kitumbua utabaki kuwa ni uleule.

Ni sawa huyu amuonge mwanamke 50,000 mwingine aonge milioni n.k; cha kujifunza hapa, kuna nini cha ziada ukiringanisha na magari mengine? Je hii inaweza kutumia barabara na kupaa angani n.k?​
 
Yaani nalazimisha kichwa kuelewa mada lakini kama kichwa kinagoma hivi.
Kwamba kubadili oil after 5000 km pesa ake ni sawa na pesa ninayoiangaikia miaka 38 now bila kuishika kwa mkupuo?
Ndio hivyo mkuu,tazama vidole vyako,havifanani,ila Mungu ni Mwema wotevtunazaliwa na mwisho wa siku tutakufa!
 
Kwahiyo gharama zitaongezeka zaidi. Aisee
Africa nzima hakuna authorized service provider wa kutoa service ya hilo gari, hata South Africa ni ile kwa sababu kuna wata huduma ambao wanafanya service kwenye magari ya kifahari ambapo wanaweza kuwa na uelewa flani wa hilo gari, lakini service ya Bugatti kwa sehemu ya karibu ni Dubai.

Bugatti wana huduma yao wanaita Flying Technicians au Flying Doctors ambao ni engineers kutoka Bugatti HQ ndipo watakuja hadi ulipo na kufanya service lakini kwa gharama za juu sana kwa mujibu wa website yao.

Ongeza gharama za kulisafirisha hilo gari na kulirudisha...
 
Oyaaa sasa first son atalimudu kweli?
 
Kuna jamaa hapa London anaosha magari ghali kwa hela ya bongo 25m - £7,200
Anaishafisha na kuiosha kwa masaa 250

Fanyeni kazi 😂😂
 
Back
Top Bottom