Ni sawa na gari ikiwa na shida ya AC inafumuliwa pale dashboard nzima tajeer anaweza mindView attachment 3460700Kwa wale wamiliki wa hii babyworker tunakumbushana tu, kila baada ya km 5,000 hadi 8,000 njoo tukuwekee lita 8 za oil na oil filter mpya.
View attachment 3460701
Gharama ni vifaa pamoja na ufundi, ni kazi ya masaa 27 tu. Ukiwa na roho nyepesi usikae gereji. Gari inafunguliwa yoote kama kwenye picha juu.
Na brake pads za carbon-ceramic zimefika dukani, kama za kwenye gari yako. Set nzima ni Tsh Mil 100,000 na kuendelea kutegemea na aina ya breki.
Asanteni.
Nimemeza mate kwanza, million laki 1?Set nzima ni Tsh Mil 100,000
- 50M kuna vijana si fedha kwao: Angalia hii videoKwamba kubadili oil after 5000 km pesa ake ni sawa na pesa ninayoiangaikia miaka 38 now bila kuishika kwa mkupuo?
Kumbe hata nikipewa bure siwezii kuichukua maana ni sawa badala ya kupunguziwa mzigo nimewekewa mzigo wa kutosha.View attachment 3460700Kwa wale wamiliki wa hii babyworker tunakumbushana tu, kila baada ya km 5,000 hadi 8,000 njoo tukuwekee lita 8 za oil na oil filter mpya.
View attachment 3460701
Gharama ni vifaa pamoja na ufundi, ni kazi ya masaa 27 tu. Ukiwa na roho nyepesi usikae gereji. Gari inafunguliwa yoote kama kwenye picha juu.
Na brake pads za carbon-ceramic zimefika dukani, kama za kwenye gari yako. Set nzima ni Tsh Mil 100 na kuendelea kutegemea na aina ya breki.
Asanteni.
Jiwe Alikuwa Anasema Una Kichwa Kigumu Kama KAMONGOYaani nalazimisha kichwa kuelewa mada lakini kama kichwa kinagoma hivi.
Kwamba kubadili oil after 5000 km pesa ake ni sawa na pesa ninayoiangaikia miaka 38 now bila kuishika kwa mkupuo?
Jiwe Alikuwa Anasema Una Kichwa Kigumu Kama KAMONGO
Hakika mkuuJiwe Alikuwa Anasema Una Kichwa Kigumu Kama KAMONGO
Bora kukaa low-key unanunua Ford new gen, LC, Benz mpya mpya nk. Ila sio unique kama Bugatti, RR kila ukipita watu wanajua ni ww tu.Abdul Mtoto wa mama yetu anamiliki hiyo gari .
Ila waafrica Akili zetu tunazijua wenyewe yaani kwenye nchi kama Tanzania unanunua gari kama hii Kwa pesa za wizi ni hatari sana