Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Ndio hivyo mkuu,tazama vidole vyako,havifanani,ila Mungu ni Mwema wotevtunazaliwa na mwisho wa siku tutakufa!Yaani nalazimisha kichwa kuelewa mada lakini kama kichwa kinagoma hivi.
Kwamba kubadili oil after 5000 km pesa ake ni sawa na pesa ninayoiangaikia miaka 38 now bila kuishika kwa mkupuo?
Lakini wanasema "hizi ni kauliza za wale waliokata tamaa" kaka sijui unazungumziaje hoja hii.Ndio hivyo mkuu,tazama vidole vyako,havifanani,ila Mungu ni Mwema wotevtunazaliwa na mwisho wa siku tutakufa!
Africa nzima hakuna authorized service provider wa kutoa service ya hilo gari, hata South Africa ni ile kwa sababu kuna wata huduma ambao wanafanya service kwenye magari ya kifahari ambapo wanaweza kuwa na uelewa flani wa hilo gari, lakini service ya Bugatti kwa sehemu ya karibu ni Dubai.Kwahiyo gharama zitaongezeka zaidi. Aisee
Oyaaa sasa first son atalimudu kweli?Africa nzima hakuna authorized service provider wa kutoa service ya hilo gari, hata South Africa ni ile kwa sababu kuna wata huduma ambao wanafanya service kwenye magari ya kifahari ambapo wanaweza kuwa na uelewa flani wa hilo gari, lakini service ya Bugatti kwa sehemu ya karibu ni Dubai.
Bugatti wana huduma yao wanaita Flying Technicians au Flying Doctors ambao ni engineers kutoka Bugatti HQ ndipo watakuja hadi ulipo na kufanya service lakini kwa gharama za juu sana kwa mujibu wa website yao.
Ongeza gharama za kulisafirisha hilo gari na kulirudisha...
Nasikia anayo mawili...Oyaaa sasa first son atalimudu kweli?
Akili gani hiyo. Chukua,unauza ,nunua boda boda. Salio unakula na wajukuu,na vitukuu AMEN😀Kumbe hata nikipewa bure siwezii kuichukua maana ni sawa badala ya kupunguziwa mzigo nimewekewa mzigo wa kutosha.