CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
SELIKALI IMENISIKITISHA MNO.
KUJENGA DODOMA UWANJA WA MASHABIKI ELFU THELASINI TU NI DHAMBI.
KUJENGA DODOMA UWANJA WA MASHABIKI ELFU THELASINI TU NI DHAMBI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza kuna miradi ya maendeleo mingi tu inaendelea. Kuna daraja la kukatiza ziwa, kuna upanuzi wa Airport, kuna SGR inajengwa. Arusha kuna nn kinaendelea? Wakiongea Mbeya wataeleweka.Hii tabia ya kubagua Mikoa ya Mbeya na Mwanza kwenye mambo ya Maendeleo naona imeanza kukita mizizi.
Wakati mikoa mingine ikipendelewa sie Mwanza na Mbeya tumekuwa wahanga wa kutengwa na Kubaguliwa kwenye masuala mbalimbali ya kimaendeleo licha ya kuwa tunastahili kwa vigezo na sio kwa kuonewa huruma.
Haiwezekani na haiingii akilini eti kubagua miji hii maarufu kwa wanamichezo na badala yake wakaipendelea miji isiyo na mashabiki wala wanamichezo ya Arusha na Dodoma.
Nasisitiza tunadai haki yetu na sio favour kwa sababu zifuatazo;
Mwanza
- Mikoa wa pili kuchangia Pato la Taifa GDP baada ya Dar.
- Jiji la Pili kuwa na population kubwa baada ya Dar.
- Jiji la 3 Kuchangia Mapato ya Kikodi.
- Uwepo wa mashabiki wa kutosha na wanamichezo.
Mbeya
View attachment 2766225
- Mikoa wa 3 kuchangia Pato la Taifa nyuma ya Dar na Mwanza.
- Jiji la 6 Kwa idadi ya watu Tanzania.
- Jiji la 2 Kwa Wanamichezo wengi kama timu za NBC&Championship.
- Pamoja na mtoto Wetu Songwe ni Mkoa wa 4 Kwa mapato ya Kikodi.
Kwa vigezo hivyo pekee tunastahili kupata kitu sio kwa upendeleo bali kwa haki.
Habari za kusema hakuna hoteli au miundombinu ya kisasa na blaa blaa kama hizo zinatokana na Serikali hii ya ccm kuchukua pesa na jasho letu kwenda kujenga Mikoa mingine kama Arusha, Dodoma, Tanga, Dar nk.
Ni aidha Serikali ianze ujenzi wa viwanja vya Kisasa kwenye miji yetu kutufuta machozi na sio lazima kwa ajili ya AFCON bali kutupa heshima yetu kwenye michezo au tumwage mboga 2025.
Hali hii haivumiliki na haikubaliki, ni wakati wa watu wa Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini kufanya jambo la kujitambua mwaka 2025 endapo wataziba maskio.
Ni bora kumwaga mboga sio kwa sababu tunawakubali Wapinzani bali ni kwa nia ya kukomoana kwamba tukose wote, tumechoka kutengwa na tabia hii ikiendelea ipo siku tutagawana fito.
View attachment 2766050View attachment 2766051View attachment 2766052
Angalizo: Haya ni maoni na mtizamo binafsi, yasichukuliwe kama uchochezi.Nachokonoa mada Kwa maslahi mapana ya Nchi hii na watu wa Mbeya na Mwanza.
Nashangaaga mijitu mingine inaifNanisha Arusha na mijitu ya mikoo wakulima wa mbungaaArusha ni mji bora na uliondelea kuliko mwanza. na ni mji wenye infrastructures bora kuliko Mwanza na mbeya combined.
Mimi nilitamani iwe Arusha, Dar na Zanzibar. Hiyo mikoa mingine imekaa kushoto.
Acha kuchafua mji wetu bhanKwanza kuna watu kutoka corners nyingine za Africa hawajawahi kuliona Ziwa Victoria, hii ingekuwa fursa kwao. Ingawa Arusha nayo inafaa kwa kuwa kuna vivutio wa watalii vingi.
Tatizo la Arusha nawahurumia wageni. Ule mji hauna adabu kabisa:umejaa wahuni, wasela mavi, wavuta bangi na wezi kama wote. A typically hooligan place! Wageni wetu wanaenda kuibiwa, kujeruhiwa, kupigwa vidole sehemu nyeti, kubakwa,n.k. MJI WA HOVYO SANA ULE!
Safi sna kobeloGame nyingi sana za maana zimechezwa Arusha, na ule mji umeandaa mashindano na events kubwa za kimataifa na watu wake wamekuwa wenyeji wa matukio mengi sana ya kimataifa na mji ule unaweza hata sasa hivi kupokea wageni wengi wa caliber ya juu.
Msifananishe Arusha na mwanza, hayo ni mambo ya humu jamiiforums siyo kiuhalisia.
Acha liwe serekali haiwazi Kama mnavyo wazaLigi kuu tanzania presons na Ihefu championship kuna mbey city,kengold, na hawa waliotoroka mbeya kwanza.
Nenda dodoma arusha tim ya mwisho kuwa ligi kuu ilikuwa kabla mwaka haujageuka kuwa namb 2. Na hwana hata habar na mipira ni kitakuwa godown la bidhaaa yaaan
Kwel kabisa mkuu kirumba ndy uwanja unaobeba watu wengi ukiacha mkapaWewe si ndio tukipindea viongozi unaleta uzwazwa...
CCM kirumba wa Mwanza ni uwanja mzuri ila umeachwa umeenda kuchukuliwa wa Arusha wenye kuhitaji ukarabati mwingi, wakati CCM kirumba ilikuwa ni pesa kidogo tu uwanja unakaa shikopa
Arusha unajengwa Uwanja mpya kabisaWewe si ndio tukipindea viongozi unaleta uzwazwa...
CCM kirumba wa Mwanza ni uwanja mzuri ila umeachwa umeenda kuchukuliwa wa Arusha wenye kuhitaji ukarabati mwingi, wakati CCM kirumba ilikuwa ni pesa kidogo tu uwanja unakaa shikopa
Kuna Toto African,Pamba Fc ,Pan African na zingine kibao hizo zote zipo championshipNani atautumia Mwanza?
Typing error mkuuAfricon, Mwemba. ......
Hamtaki kuambiwa ukwelie, tulieni dawa iwaingieToa ujinga hapa