Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

viwanja vinne vitatosha.
1. KWA MKAPA

2. UHURU STADIUM

3. HUO MPYA UNAOJENGWA ARUSHA

4. MPYA UTAKAOJENGWA DODOMA.

kwengine wasubiri, na wasituharakishe.
 
Mwanza kuna miradi ya maendeleo mingi tu inaendelea. Kuna daraja la kukatiza ziwa, kuna upanuzi wa Airport, kuna SGR inajengwa. Arusha kuna nn kinaendelea? Wakiongea Mbeya wataeleweka.
 
Ningeishanga serekali Kama isinge Jenga na uwanja Arusha ,Arusha Ni hub na ni njia kuu za kwenda mbugani hapo Arusha patafurikaa
 
Arusha ni mji bora na uliondelea kuliko mwanza. na ni mji wenye infrastructures bora kuliko Mwanza na mbeya combined.
Mimi nilitamani iwe Arusha, Dar na Zanzibar. Hiyo mikoa mingine imekaa kushoto.
Nashangaaga mijitu mingine inaifNanisha Arusha na mijitu ya mikoo wakulima wa mbungaa
Ni vyema umewaeleza kuwa Arusha ninstrategie city
 
Acha kuchafua mji wetu bhan
 
Safi sna kobelo
 
Acha liwe serekali haiwazi Kama mnavyo waza
 
Kwani wanaangalia hivyo?

Acheni hizo big deal ni what will happen baada ya hayo mashindano
 
Wewe si ndio tukipindea viongozi unaleta uzwazwa...

CCM kirumba wa Mwanza ni uwanja mzuri ila umeachwa umeenda kuchukuliwa wa Arusha wenye kuhitaji ukarabati mwingi, wakati CCM kirumba ilikuwa ni pesa kidogo tu uwanja unakaa shikopa
Kwel kabisa mkuu kirumba ndy uwanja unaobeba watu wengi ukiacha mkapa
 
Wewe si ndio tukipindea viongozi unaleta uzwazwa...

CCM kirumba wa Mwanza ni uwanja mzuri ila umeachwa umeenda kuchukuliwa wa Arusha wenye kuhitaji ukarabati mwingi, wakati CCM kirumba ilikuwa ni pesa kidogo tu uwanja unakaa shikopa
Arusha unajengwa Uwanja mpya kabisa
 
Nalog off huu uzi sababu Kuna watu wameishiwa hoja wameanza kuweka fuckinchuki mihemko matabaka na fuckinbattle ya Mwanza na karusha
 
Huu upuuzi unataka kukisiri sasa ni wakati wa watu wa Mbeya na Mwanza kupaza sauti haiwezekani kila project kubwa hii mikoa inatengwa,imekua too much sasa,kama vipi tuwakatae hawa watu by 2025
 
Dar: Jiji Kuu, Jiji la Biashara.
Mwanza: Jiji Kuu la Pili la Biashara.
Arusha: Kitovu cha Utalii Tz
Dodoma: Makao Makuu ya Nchi.
Zanzibar: Kitovu cha Utalii.
Mbeya: Wanapenda sana mpira.(Moro? Kigoma? Mtwara?)

Kibiashara Dar inatosha kutuwakilisha kulingana na ufinyu wa nafasi.
Dodoma, ni Jiji Kuu andaliwa, linahitaji promotion kubwa hakukuwa na namna ya kuliacha.
Arusha kwa nafasi yake katika Utalii hakuna namna ya kutomia fursa hii kulitangaza/halina mbadala.
Zanzibar ukizingatia Umaarufu wake duniani, na nafasi yake katika Utalii, hakuna MTU angeweza kuipoka nafasi hiyo akaeleweka. (inawezekana Zanzibar na Arusha zitafurika wageni wengi kuliko miji yote itakayoshiriki Afcon EA)

Katika hizo nafasi 4, Mwanza ingeweza kuisukuma Dodoma nje, lakini unyeti wa Dodoma kwa sasa unafanya ibaki hapo.
Mbeya haina nafasi kabisa hapo kwenye orodha, labda tungekuwa na nafasi sita.

Viwanja vinahitajika sana, hata kwetu Morogoro. Ajabu viwanja vingi vinapitia Ukarabati sijawahi sikia Jamuhuri-Morogoro. Kwa heshima yetu kama mkoa katika Soka, tunahitaji kiwanja Kipya cha Kisasa-Kiegea au Lukobe, au kwenye shamba la Mkonge Tungi, kukuza mji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…