ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #241
Wapi hakuna hotel au umekaririshwa?Ninyi wenyewe mnaotoka mikoa hiyo ndo hampendi kurudi makwenu, sasa hoteli zitoke wapi
Chalii jiangalie arifu mbona wazungu wanakuja na tuko nao pisi tu mambo yente yenteKwanza kuna watu kutoka corners nyingine za Africa hawajawahi kuliona Ziwa Victoria, hii ingekuwa fursa kwao. Ingawa Arusha nayo inafaa kwa kuwa kuna vivutio wa watalii vingi.
Tatizo la Arusha nawahurumia wageni. Ule mji hauna adabu kabisa:umejaa wahuni, wasela mavi, wavuta bangi na wezi kama wote. A typically hooligan place! Wageni wetu wanaenda kuibiwa, kujeruhiwa, kupigwa vidole sehemu nyeti, kubakwa,n.k. MJI WA HOVYO SANA ULE!
Afcon ikiwepo Mwanza na Mbeya mashabiki wa Nchi jirani watakuja Kwa kuwa Mikoa Iko maeneo ya kimkakati Sasa nani aje Arusha wakati Kenya Kuna mechi? Nani aje Dodoma mbali huko?Ukweli ambao hamtaki kuusema Ni kwamba Arusha Ni focal point ya utalii hapa Afrika Mashariki....kutokupeleka mashindano haya huko Ni kupotrza faida kubwa kwa taifa......Hapa nakuhakikishia ktk maeneo yote Arusha ndio kutakuwa na fan base kubwa sana sababu ya utalii....hata Ile Royal Tour ingekuwa Ni upuuzi mtupu Kama Afcon haotachezwa Arusha
Dodoma haitakuja kuwa Jiji mashuhiri hata mfanye promo ya aje.Kwenye uwanja uko sahihi 100%, mnastahili kuwa na kiwanja kizuri sawa na miji mingine, Dodoma, Arusha, Moro, Mtwara, Iringa, nk...
Ila juu ya Afcon kati ya Dodoma na Mbeya hakuna hekima itakayotanguliza Mbeya mbele ya Dodoma na Arusha.
Kusudio letu ni kuifanya Dodoma kuwa Jiji Mashuhuri, kubwa, zuri, la kisasa, nk... Tumeanza kulipromote na kwa nafasi yake sasa hivi iko nyuma ya mini michache sana Bongo. Miaka 10 mbele itabaki Dar tu hapo mbele ya Dom.
Hoja ya ukaribu si nzito, maana tungefuata kigezo hicho Dar, Dom na Zanzibar hazikupaswa kabisa kupewa nafasi.
Na sisi Morogoro tunasema, kabla hamjaboresha Mwanza na Mbeya, anzeni kwetu kwanza. Lakini pia Tujengewe Airport kubwa kabla ile ya Msalato, au maboresho ya KIA na Songwe Airports.
Ajabu mnaunga mkono wanapofanya ya kipuuzi na mnakosoa wanapofanya mazuri.
Mpaka kufikia maamuzi hayo Idara nyingi ziliusishwa.Mdau anavyolazimisha ujengwe Mwanza na Mbeya anafikiri kabla Rais ajatamka kwamba viwanja vipya vitajengwa Arusha na Dodoma akuangalia hilo.Arusha na Dodoma vinafikika kirahisi kwa miundominu ya usafiri na malazi machache kati ya mengi yaliyotazamwa.Hawajakosea Kwa mujibu wa nani?
Hotel za huko Arusha zilishuka kama mvua au serikali ndio iliweka mazingira zikajengwa?
Tunataka mazingira hayo hayo yawekwe Mbeya na Mwanza,sisi sio
Wewe unaejifanyaga kada,chawa wa mama,muimba mapambio ya sifaWanakuja kufanya Utalii au kucheza mpira? Mashabiki hawana mda na manyani
Hajalipwa fedha za uchawa tangu mwezi July.Ndo maana leo nimeshangaa maana nishazoea yeye ni kumpromote Rais Samia, sasa leo nimeshangaa mbona ghafla hivi, sema kashanijibu.
Toka hadharani dai haki yako usidai mtandaoni.Mama piga kazi achana na mpiga zumari huyu.Mikoa ipi iliyoendekezwa na Tanzanite? Mbeya na Mwanza tunataka stahiki zetu sio hisani,sisi sio Manamba wa kufanyia kazi Arusha,Dar na Dodoma.
Wewe ndio hujui kinachoendelea Arusha ila Mimi najua.Mwanza kuna miradi ya maendeleo mingi tu inaendelea. Kuna daraja la kukatiza ziwa, kuna upanuzi wa Airport, kuna SGR inajengwa. Arusha kuna nn kinaendelea? Wakiongea Mbeya wataeleweka.
Soma mada yangu badala ya kukurupuka kama unaharishaMpaka kufikia maamuzi hayo Idara nyingi ziliusishwa.Mdau anavyolazimisha ujengwe Mwanza na Mbeya anafikiri kabla Rais ajatamka kwamba viwanja vipya vitajengwa Arusha na Dodoma akuangalia hilo.Arusha na Dodoma vinafikika kirahisi kwa miundominu ya usafiri na malazi machache kati ya mengi yaliyotazamwa.
Leo hajalipwa anaitukana serikaliHajalipwa fedha za uchawa tangu mwezi July.
Tunataka Viwanja kwenye Mikoa yetu sio Kwa sababu za Afcon ,soma bandiko acha kukurupukaNchi wenyeji ni tatu lazima watagawana makundi hvyo hapatakua na huitaji wa viwanja vingi kwa nchi moja kwa uelewa wangu mdogo wamechagua Arusha na Zanzibar sababu ya ni miji ya utalii hvyo wageni wakifika wanaweza kuangalia mechi na kufanya utalii.
Leo hajalipwa anaitukana serikali
πππBadae utamuona na nyuzi zake za kusifia
Ndio maana Magufuli alikua anawanyoosha makada kama hawa
Mimi sio punga kama wewe,usidhani utafanya upuuzi nikuchekee kisa tuko itikadi Moja,never hiyo hufanya watu wapumbavu.Wewe unaejifanyaga kada,chawa wa mama,muimba mapambio ya sifa
acha kuanzisha mada zako za kichochezi dhidi ya serikali
Acha kuichafua serikali ya Rais samia
Acha kuchafua taswira ya serikali
Futa huu upuuzi wako ulioandika humu
Maendeleo ni kwa ajili ya watanzania wote
kama hujalipwa buku 7,usianze kuichafua serikali kwa manufaa yako binafsi
Chawa uliyesahaulika wewe nisome upuzi.Soma mada yangu badala ya kukurupuka kama unaharisha
Arusha ni makao makuu ya EAC kuilinganisha ni mikoa mingine ni kukosa adabu na uzalendo.Imagine Zambia akifuzu ,Mbeya itafurika Mashabiki wao lakini huko Dodoma sijui Arusha ni upuuzi
Wewe muimba mapambio,acha upuuzi wako humuMimi sio punga kama wewe,usidhani utafanya upuuzi nikuchekee kisa tuko itikadi Moja,never hiyo hufanya watu wapumbavu.
Huyu chawa anajifanyaga mtu wa system,na mada zake za ajabu ajabu,kumbe punga tu ππChawa uliyesahaulika wewe nisome upuzi.
kwa Mwanza ni shida,jengo la kiwanja cha ndege lenyewe ni zero sembuse uwanja wa mpira, si tutatangaza aibu nchi za nje, tuanze na airport,kwanza.Mwanza Ina events nyingi za michezo, population yake tuu ni mtaji tosha.Hata kama sio kujenga basi wafanye Maboresho makubwa ccm kirumba.
Aliyesabababisha ziwe zero ni nani kama sio Serikali?kwa Mwanza ni shida,jengo la kiwanja cha ndege lenyewe ni zero sembuse uwanja wa mpira, si tutatangaza aibu nchi za nje, tuanze na airport,kwanza.