Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

Kwanza kuna watu kutoka corners nyingine za Africa hawajawahi kuliona Ziwa Victoria, hii ingekuwa fursa kwao. Ingawa Arusha nayo inafaa kwa kuwa kuna vivutio wa watalii vingi.

Tatizo la Arusha nawahurumia wageni. Ule mji hauna adabu kabisa:umejaa wahuni, wasela mavi, wavuta bangi na wezi kama wote. A typically hooligan place! Wageni wetu wanaenda kuibiwa, kujeruhiwa, kupigwa vidole sehemu nyeti, kubakwa,n.k. MJI WA HOVYO SANA ULE!
Chalii jiangalie arifu mbona wazungu wanakuja na tuko nao pisi tu mambo yente yente
 
Ukweli ambao hamtaki kuusema Ni kwamba Arusha Ni focal point ya utalii hapa Afrika Mashariki....kutokupeleka mashindano haya huko Ni kupotrza faida kubwa kwa taifa......Hapa nakuhakikishia ktk maeneo yote Arusha ndio kutakuwa na fan base kubwa sana sababu ya utalii....hata Ile Royal Tour ingekuwa Ni upuuzi mtupu Kama Afcon haotachezwa Arusha
Afcon ikiwepo Mwanza na Mbeya mashabiki wa Nchi jirani watakuja Kwa kuwa Mikoa Iko maeneo ya kimkakati Sasa nani aje Arusha wakati Kenya Kuna mechi? Nani aje Dodoma mbali huko?
 
Kwenye uwanja uko sahihi 100%, mnastahili kuwa na kiwanja kizuri sawa na miji mingine, Dodoma, Arusha, Moro, Mtwara, Iringa, nk...
Ila juu ya Afcon kati ya Dodoma na Mbeya hakuna hekima itakayotanguliza Mbeya mbele ya Dodoma na Arusha.

Kusudio letu ni kuifanya Dodoma kuwa Jiji Mashuhuri, kubwa, zuri, la kisasa, nk... Tumeanza kulipromote na kwa nafasi yake sasa hivi iko nyuma ya mini michache sana Bongo. Miaka 10 mbele itabaki Dar tu hapo mbele ya Dom.

Hoja ya ukaribu si nzito, maana tungefuata kigezo hicho Dar, Dom na Zanzibar hazikupaswa kabisa kupewa nafasi.

Na sisi Morogoro tunasema, kabla hamjaboresha Mwanza na Mbeya, anzeni kwetu kwanza. Lakini pia Tujengewe Airport kubwa kabla ile ya Msalato, au maboresho ya KIA na Songwe Airports.

Ajabu mnaunga mkono wanapofanya ya kipuuzi na mnakosoa wanapofanya mazuri.
Dodoma haitakuja kuwa Jiji mashuhiri hata mfanye promo ya aje.
 
Nchi wenyeji ni tatu lazima watagawana makundi hvyo hapatakua na huitaji wa viwanja vingi kwa nchi moja kwa uelewa wangu mdogo wamechagua Arusha na Zanzibar sababu ya ni miji ya utalii hvyo wageni wakifika wanaweza kuangalia mechi na kufanya utalii.
 
Hawajakosea Kwa mujibu wa nani?

Hotel za huko Arusha zilishuka kama mvua au serikali ndio iliweka mazingira zikajengwa?

Tunataka mazingira hayo hayo yawekwe Mbeya na Mwanza,sisi sio
Mpaka kufikia maamuzi hayo Idara nyingi ziliusishwa.Mdau anavyolazimisha ujengwe Mwanza na Mbeya anafikiri kabla Rais ajatamka kwamba viwanja vipya vitajengwa Arusha na Dodoma akuangalia hilo.Arusha na Dodoma vinafikika kirahisi kwa miundominu ya usafiri na malazi machache kati ya mengi yaliyotazamwa.
 
Wanakuja kufanya Utalii au kucheza mpira? Mashabiki hawana mda na manyani
Wewe unaejifanyaga kada,chawa wa mama,muimba mapambio ya sifa

acha kuanzisha mada zako za kichochezi dhidi ya serikali

Acha kuichafua serikali ya Rais samia

Acha kuchafua taswira ya serikali
Futa huu upuuzi wako ulioandika humu

Maendeleo ni kwa ajili ya watanzania wote

kama hujalipwa buku 7,usianze kuichafua serikali kwa manufaa yako binafsi
 
Mwanza kuna miradi ya maendeleo mingi tu inaendelea. Kuna daraja la kukatiza ziwa, kuna upanuzi wa Airport, kuna SGR inajengwa. Arusha kuna nn kinaendelea? Wakiongea Mbeya wataeleweka.
Wewe ndio hujui kinachoendelea Arusha ila Mimi najua.

Kuna Ujenzi wa Barabara za njia 4 ya kisongo na Barabara zingine hapo Jijini

Kuna Ujenzi wa Barabara ya Arusha Kongwa

Kuna ujenzi wa Arusha Airport

Kuna Ujenzi wa Kituo kikubwa Cha Kimataifa Cha Mikutano

Hiyo ni Baadhi ya miradi ila naijua Mingi sana.

Mwanza na Mbeya Wana deserves zaidi
 
Mpaka kufikia maamuzi hayo Idara nyingi ziliusishwa.Mdau anavyolazimisha ujengwe Mwanza na Mbeya anafikiri kabla Rais ajatamka kwamba viwanja vipya vitajengwa Arusha na Dodoma akuangalia hilo.Arusha na Dodoma vinafikika kirahisi kwa miundominu ya usafiri na malazi machache kati ya mengi yaliyotazamwa.
Soma mada yangu badala ya kukurupuka kama unaharisha
 
Nchi wenyeji ni tatu lazima watagawana makundi hvyo hapatakua na huitaji wa viwanja vingi kwa nchi moja kwa uelewa wangu mdogo wamechagua Arusha na Zanzibar sababu ya ni miji ya utalii hvyo wageni wakifika wanaweza kuangalia mechi na kufanya utalii.
Tunataka Viwanja kwenye Mikoa yetu sio Kwa sababu za Afcon ,soma bandiko acha kukurupuka
 
Leo hajalipwa anaitukana serikali

😂😂😂Badae utamuona na nyuzi zake za kusifia

Ndio maana Magufuli alikua anawanyoosha makada kama hawa
Wewe unaejifanyaga kada,chawa wa mama,muimba mapambio ya sifa

acha kuanzisha mada zako za kichochezi dhidi ya serikali

Acha kuichafua serikali ya Rais samia

Acha kuchafua taswira ya serikali
Futa huu upuuzi wako ulioandika humu

Maendeleo ni kwa ajili ya watanzania wote

kama hujalipwa buku 7,usianze kuichafua serikali kwa manufaa yako binafsi
Mimi sio punga kama wewe,usidhani utafanya upuuzi nikuchekee kisa tuko itikadi Moja,never hiyo hufanya watu wapumbavu.
 
Imagine Zambia akifuzu ,Mbeya itafurika Mashabiki wao lakini huko Dodoma sijui Arusha ni upuuzi
Arusha ni makao makuu ya EAC kuilinganisha ni mikoa mingine ni kukosa adabu na uzalendo.

Mwl Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete waliheshimu Arusha ni mjinga mmoja alijaribu kuudharau na mwisho kuondoka Arusha ipo pale pale.

Unaweza kutetea Mwanza kwasababu nyingi lakini sio kwa vigezo vya kuiweka kando Arusha.

Ni mpuuzi na mjinga wa kiwango cha SGR anayeweza kuitenga Arusha kwasababu zozote zile.

AU wanaijua Arusha wewe mmatumbi uliyevimbiwa uwele uliochacha unaweza vipi kuibeza Arusha kama si kuugua kwashakoo ya ubongo.
 
Mimi sio punga kama wewe,usidhani utafanya upuuzi nikuchekee kisa tuko itikadi Moja,never hiyo hufanya watu wapumbavu.
Wewe muimba mapambio,acha upuuzi wako humu
Na mada zako za kipuuzi puuzi

Chawa uliesahaulika,chawa uliekubuhu
Huna hoja wewe ,huna ushawishi wowote,lia lia tu wewe
 
Mwanza Ina events nyingi za michezo, population yake tuu ni mtaji tosha.Hata kama sio kujenga basi wafanye Maboresho makubwa ccm kirumba.
kwa Mwanza ni shida,jengo la kiwanja cha ndege lenyewe ni zero sembuse uwanja wa mpira, si tutatangaza aibu nchi za nje, tuanze na airport,kwanza.
 
Back
Top Bottom