Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

Wananchi wawekezaji wako Arusha ,Dar na Zanzibar pekee si ndio? 😂😂
Nimekuambia hizo hoteli za kitalii Arusha hazikujengwa na serikali bali wananchi ndio waliwekeza...Arusha imepakana na Serengeti, Dar ni jiji la kibiashara, Zanzibar ni hub ya watalii pia
 
Na sisi wakazi wa Mkoa wa Pwani tunasikitika ni kwanini wapeleke Dodoma na Arusha badala ya Pwani hasa Kibaha, Chalinze au Bagamoyo
 
Nimekuambia hizo hoteli za kitalii Arusha hazikujengwa na serikali bali wananchi ndio waliwekeza...Arusha imepakana na Serengeti, Dar ni jiji la kibiashara, Zanzibar ni hub ya watalii pia
Toa ujinga hapa,Lema amepinga wewe ni nani?
 
Lema ni nani nchi hii?
Rais na serikali ipange wewe useme lema kasema 😁
takataka kabisa

Utatanga tanga sana wewe na mada zako za kipumbavu
 
Nimekuambia hizo hoteli za kitalii Arusha hazikujengwa na serikali bali wananchi ndio waliwekeza...Arusha imepakana na Serengeti, Dar ni jiji la kibiashara, Zanzibar ni hub ya watalii pia
Arusha ni karibu na nairobi, kampala na dsm na zanzibar ni strategic place tofauti na mbeya

Mbeya hakuna world-class hotel kama ilivyo arusha
 
Kwani Lema ni nani ambaye akisema kitu hapingwi?
 
Tumeshawajengea Uwanja wa Kimataifa wa Ndege pale Chato.... Hebu utumieni huo kwa tija kwanza ndio tuwaletee wa soccer
 
Nyumbu ni wewe unayeamini kila unachoambiwa na Lema kama vile ni mungu wako

Nadhani hata huyo Lema akikuambia unafaa kuolewa utakubaliana naye kwa Sababu ni Lema kasema
Nyumbu kama nyumba,Lema omkazi wa Arusha wewe nyumbu unajua nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…