Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

Na sisi wakazi wa Mkoa wa Pwani tunasikitika ni kwanini wapeleke Dodoma na Arusha badala ya Pwani hasa Kibaha, Chalinze au Bagamoyo
Mkoa wa Pwani umemezwa na Mkoa wa dar es salaam Bora wangeufanya kuwa mkoa mmoja tu
 
Seriously mkuu mkoa wa Mwanza una underestimate kiasi hicho 😯.
Hii blunder haina utetezi wowote wenye mashiko.
Mkuu
Mwanza hakuna uwanja wa kukidhi vigezo.
Mwanza hakuna hotel. Naomba utaje hotel zenye hadhi ya kuchukua wachezaji kwa group Zima.
 
Mkuu
Mwanza hakuna uwanja wa kukidhi vigezo.
Mwanza hakuna hotel. Naomba utaje hotel zenye hadhi ya kuchukua wachezaji kwa group Zima.
Malaika, Goldcrest, Wag hill, Pigeon, Ryan's bay, Tilapia kwa uchache hizi sio hoteli!?

Halafu mada sio kwamba hakuna uwanja wa kukidhi ni kujenga uwanja.
 
Malaika, Goldcrest, Wag hill, Pigeon, Ryan's bay, Tilapia kwa uchache hizi sio hoteli!?

Halafu mada sio kwamba hakuna uwanja wa kukidhi ni kujenga uwanja.
Sasa hizo sini sawa na pallson hotel Yani haziwezi kidhi vigezo vya kimataifa
 
Wewe umesoma hapo na kuelewa nini?

Labda Mwanza ndio hawana hizo Barabara za njia 4 ila sio Kwa Mbeya.
Njia nne zipo, Dar, dodoma, arusha, Ilemela, mbeya, iringa, singida, moshi n.k lakini jiji la pili kwa ukubwa Tanzania halina kabisa barabara za njia nne, hii hatari sana...hii nchi ngumu sana, sijui tuliikosea nini asee.
 
Iringa hawana
 
Kwa AFCON sababu za kuichagua Arusha ziko nyingi ila the obsvious one ni kuwa AFCON inachezwa Kenya UG na TZ sasa Arusha ni karibu kwenda Nairobi so mashabiki wanaweza kuja Arusha kuangalia mechi kisha masaa kadhaa wakarud Nairobi au hata kuja dar

Arusha na Dom Pia sio mbali ukizingatia Dom ni central so umbal wa Dom na Arusha na Dom na Dar umepishana kdg ni safar ya siku moja tu

Sasa wapeleke Match Mbeya hv umeona hizo logistic za shabiki kutoka Nairob had Mbeya

Na kwa mashabiki UG watapitia Nairob kuja Dar au dom au Arusha maana safar itakuwa fupi kuliko akisema aje Dar au Dom kupitia route ya Kagera mwanza
 
Umenena mkuu, katika vigezo vya kuzingatiwa ili uwanja uwe umekidhi vigezo vya michezo ya kimataifa ni pamoja na kuwa na hoteli za kutosha za kitalii karibu na uwanja huo, hili ndio limesababisha Arusha kupewa nafasi
Dodoma kuna hoteli gani hapo?
 
Mkuu
Mwanza hakuna uwanja wa kukidhi vigezo.
Mwanza hakuna hotel. Naomba utaje hotel zenye hadhi ya kuchukua wachezaji kwa group Zima.
Arusha mna hotel gani za maana,taja na mm nikutajie acha kukaririshwa
 
Arusha mna hotel gani za maana,taja na mm nikutajie acha kukaririshwa
Hotel za maana hapo Arusha mjini hazifiki hata 10,pia hizo mnasema nyota tano zipo ngapi hapo na hotel nzuri kidogo zipo huko maporini mbugani ngorongoro,,kinachobaki ni bla bla bla tu
 
Kwani kwenye hili mama haupigi mwingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…