Kafulila ni chawa wa mgawa madaraka, siyo wa CCM.Mimi ni mtu wa issues sio mtu wa Vyama.Umewahi Msikia Kafulila anaisifia CCM? Lakini si Yuko Serikalini?
Hata Mimi Huwa nasifia Rais ila sio chawaKafulila ni chawa wa mgawa madaraka, siyo wa CCM.
Siasa za Kafulila, Zitto, Musiba, Slaa kwasasa zinafanana
UpuuziKwani kwenye hili mama haupigi mwingi?
Yamekua haya leo au sio. Ila bado hamjaongea subirini 2025 aupige mwingi. Tulieni kama tuliaUpuuzi
Kwingine kote anaupiga mwingi ila huku kwenye michezo ccm wanazingua sana.Yamekua haya leo au sio. Ila bado hamjaongea subirini 2025 aupige mwingi. Tulieni kama tulia
Bado hujasema mkuu anaupiga mwingi kote koteKwingine kote anaupiga mwingi ila huku kwenye michezo ccm wanazingua sana.
SawaBado hujasema mkuu anaupiga mwingi kote kote
Tukisema Mbeya tunaupiga mwingi na tunahitaji uwanja muwe mnaelewa.Yamekua haya leo au sio. Ila bado hamjaongea subirini 2025 aupige mwingi. Tulieni kama tulia
Zipo tena mjini kati kabisaIringa hawana
viwanja vinne vitatosha.
1. KWA MKAPA
2. UHURU STADIUM
3. HUO MPYA UNAOJENGWA ARUSHA
4. MPYA UTAKAOJENGWA DODOMA.
kwengine wasubiri, na wasituharakishe.
Arusha tumekuwa na Tanzanite miaka yote imeendeleza mikoa mingine hatujawahi lalamika,
Mpaka mmeipeleka merarani mkoa wa Manyara tumekaa kimya na bado tunafanya vyema.
Once blessed always blessed.
Wajenge sana Arusha haraka na Dodoma ili tuwe navyo vitatu.AFCON. Inajumuisha team kutoka nchi mbali mbali. Only mkapa tu labda ndio inakidhi international standard hivyo vingine hali zake zinajulikana.
Is why vipya vinajengwa
Utalii upo huko Kaskazini tuu?Haya ni maono yaliyokufa. Japo siipendi serikali ya CCM lakini kutumia afcon kutangaza utalii ni faida mara dufu. Tuache uzwazwa kwenye mambi ya msingi. Unataka watu wa afcon waende mwanza kuangalia ziwa na samaki wa kukausha? Au unataka waende Mbeya kuona mchele wa kunukia?
Afcon tuipeleke Arusha na Zanzibar full stop.
Nyumbu ni nyumbu tuuSehemu kubwa ya utalii kwa Tanganyika upo kaskazini. Ngorongoro (urithi wa dunia ipo kaskazini), Serengeti (among 7 wonders ) ipo kaskazini, olduvai ( lilipopapltikana fuvu la mtu wa kale zaidi) ipo kaskazini, mlima kilimanjaro (mrefu africa) upo kaskazini. Bado sijataja Manyara, Tarangire n.k. Labda uamue kujizima data tu kam yule kichaa alivyotangaza chato kitovu cha utalii.
Na kingine unachotakiwa kukijua ni kuwa hayo maeneo mengi yanaoakana au yapo karibu karibu hivyo ni rahisi mtalii kusafiri toka eneo moja kwenda kuona vitu tofauti eneo lingine.
Sasa na wewe tuambie mwanza au mbeya tunaenda kutangaza vitu gani. Ili tupime mzani unaangukia wapi.
Umetumia muda mrefu kutunga huu ujinga wako ๐๐๐๐ acheni uzwazwa arusha ni jiji tena jiji lenye population density kubwa sana kuna watu wa aina tofauti tofauti usikariri kwamba arusha hakuna wapenda mpira....ni lini simba au yanga walishakuja arusha na uwanja haukujaa mbona hii mechi ya yanga juzi imepigwa kirumba mwanza na uwanja ulikua na mapengo kama yote...kwa taarifa yako kipindi kile cha cecafa arusha ilifanyika zaidi ya mara moja na kulikua na mwamko mkubwa tu wa mashabiki kipindi kile sheikh amri abeid ina umaarufu mkubwa labda kama umeanza kuangalia mpira kwenye azam tv juzi...ilipigwa finali ya asfc kati ya mtibwa na singida timu ambazo hazina ushawishi mkubwa kisoka zimechezewa arusha na uwanja ukajaa tuachane na hayo mwaka juzi uwanja wa sheikh amri abeid ulikua wa nne kwa kuingiza mapato mengi kwa sababu timu changa zilikua zikijinasibu ukitaka mapato makubwa peleka timu arusha licha ya kuwa haikua na timu ligi kuu lakini bado kwa mechi chache zilizochezwa arusha mapato yalikua makubwa sana...si ni juzi yanga wametangaza nje ya dar arusha ndio mkoa wa pili kwa wananchi wake kujisajili kwa n-card nyuma ya dar sasa unasemaje arusha hamna mwamko wa soka kama si story za vijiweni za kukaririshwa๐๐ lakini on ground mambo ni tofauti kabisa....arusha imeshakua na timu tatu ligi kuu kwa mwaka mmoja 2004 ndovu, Pallsons na afc kipindi hicho soka linachezwa kwelikweli kabla ya kufunikwa na nguvu ya pesa...baadae ilipanda jkt oljoro ambayo kutokana na mgogoro ikauzwa na ndio sasa hivi ni geita gold fc...kuna mikoa 15 haina ligi kuu braza imekuaje umeiona arusha tu??? Umetaja mwanza na mtwara kwamba eti ndio wanastahili mbona hizo hazina timu ligi kuu na ujue hapo championship arusha kuna timu 2 na zote zipo top 5 mbuni na tma zote ni za arusha ikidhihirisha uwezekano mkubwa wa kuwepo na timu ligi kuu mwakani. Mkoa pekee ambao nakubali unastahili kupata uwanja wa kisasa wa soka ni mbeya kutokana na hatua kubwa kisoka kwa miaka mingi na hili nilishalisema siku nyingi lakini kwa case ya afcon ambayo ni 2027 itakua ni gharama kubwa ni ukizingatia nchi yetu bado ni maskini uanze kuandaa mahoteli na miundombinu wezeshi itagharimu pesa nyingi lakini kwa arusha inauzoefu wa kupokea wageni licha ya kua ni mji wa kitalii lakini hivi majuzi mkutano mkuu wa mwaka wa caf ulifanyika Tanzania na ulifanyikia arusha kwahio arusha inastahili zaidi mimi pia niko kahama huku lakini kwa maslah ya nchi arusha inastahili zaidi na sio kwamba hio mikoa tajwa haitajegwa lakini kwa uharaka na umuhimu wa hili jambo arusha ipo tayari zaidiNilikua naongea na jamaa fulani wa Arusha kwa simu, kwenye background nikawa namsikia jamaa wa Chuga analalamika kwa lafudhi ya ya Kiarusha akisema ;" Aisee chalii, mazeri amezingua aisee, kutuletea mambo ya futiboli huku chuga sisi hizo mambo gani aisee", mwenzake akawa kama anamuuliza ;"Kiaje Joo, si juzi ulikua unasema Godi ampe mazeri malaifu tele vile mambo sasa yanaanza kusomeka?", jamaa akaendelea "ni kweli chalii yangu, ila haya mafutiboli sisi hatuna mizuka nayo, yeye angeendelea kutujengea maukumbi kama AICC, na kutuletea mafestivo watu tujiachie mzuka mwingi, watu na mevesi yetu, hatujapata tu platifomu".
Nikajikuta nacheka sana, na nikaukumbuku huu uzi wako.
Kwa kweli ujenzi wa viwanja ulistahili sana Mbeya, Mwanza pia na Mtwara.
Mbeya watu wana mizuka sana ya soka, watu wakishavuna mahindi watoto wanahamia kucheza soka mashambani. Kule watu wanapenda soka, wana dream soka ila ndiyo hivyo, wenye nchi yao wanaamua wampe nani.
Labda mama ameona kwa kuwa Mbeya wamewapa nafasi ya Spika wa bunge na teuzi za majaji kadhaa nasi uwanja aupeleke kwingine ambako hawajapatapo.
Timu za zilikua za Arusha lakini vijana wa Chuga kama kuna aliyekua anachezea hizo timu basi ilikua ni mmoja๐.Umetumia muda mrefu kutunga huu ujinga wako ๐๐๐๐ acheni uzwazwa arusha ni jiji tena jiji lenye population density kubwa sana kuna watu wa aina tofauti tofauti usikariri kwamba arusha hakuna wapenda mpira....ni lini simba au yanga walishakuja arusha na uwanja haukujaa mbona hii mechi ya yanga juzi imepigwa kirumba mwanza na uwanja ulikua na mapengo kama yote...kwa taarifa yako kipindi kile cha cecafa arusha ilifanyika zaidi ya mara moja na kulikua na mambo mkubwa tu wa mashabiki kipindi kile sheikh amri abeid ina umaarufu mkubwa labda kama umeanza kuangalia mpira kwenye azam tv juzi...ilipigwa finalise ya asfc kati ya mtibwa na singida timu ambazo hazina ushawishi mkubwa kisoka zimechezewa arusha na uwanja hujajaa tuachane na hayo mwaka juzi uwanja wa sheikh amri abeid ulikua wa nne kwa kuingiza mapato mengi kwa sababu timu changa zilikua zikijinasibu ukitaka mapato makubwa peleka timu arusha licha ya kuwa haikua na timu ligi kuu lakini bado kwa mechi chache zilizochezwa arusha mapato yalikua makubwa sana...si ni juzi yanga wametangaza nje ya dar arusha ndio mkoa wa pili kwa wananchi wake kujisajili kwa n-card nyuma ya dar sasa unasemaje arusha hamna mwamko wa soka kama si story za vijiweni za kukaririshwa๐๐ lakini on ground mambo ni tofauti kabisa....arusha imeshakua na timu tatu ligi kuu kwa mwaka mmoja 2004 ndovu, Pallsons na afc kipindi hicho soka linachezwa kwelikweli kabla ya kufunikwa na nguvu ya pesa...baadae ilipanda jkt oljoro ambayo kutokana na mgogoro ikauzwa na ndio sasa hivi ni geita gold fc...kuna mikoa 15 haina ligi kuu braza imekuaje umeiona arusha tu??? Umetaja mwanza na mtwara kwamba eti ndio wanastahili mbona hizo hazina timu ligi kuu na ujue hapo championship arusha kuna timu 2 na zote zipo top 5 mbuni na tma zote ni za arusha ikishihirisha uwezekano mkubwa wa kuwepo na timu ligi kuu mwakani. Mkoa pekee ambao nakubali unastahili kupata uwanja wa kisasa wa soka ni mbeya kutokana na hatua kubwa kisoka kwa miaka mingi na hili nilishalisema siku nyingi lakini kwa case ya afcon ambayo ni 2027 itakua ni gharama kubwa ni ukizingatia nchi yetu bado ni maskini uanze kuandaa mahoteli na miundombinu wezeshi itagharimu pesa nyingi lakini kwa arusha inauzoefu wa kupokea wageni licha ya kua ni mji wa kitalii lakini hivi majuzi mkutano mkuu wa mwaka wa caf ulifanyika Tanzania na ulifanyikia arusha kwahio arusha inastahili zaidi mimi pia niko kahama huku lakini kwa maslah ya nchi arusha inastahili zaidi na sio kwamba hio mikoa tajwa haitajegwa lakini kwa uharaka na umuhimu wa hili jambo arusha ipo tayari zaidi
Kwa hiyo unataka kaniambia arusha hakuna ligi ya mkoa au ligi ya wilaya vijana wote wako mererani๐๐๐ umekariri ujinga sana ase na hata sasa hivi inaendelea chuga cup version ya ndondo cup ya dar na inaudhamini nenda Google search chuga cup...tuachane na hayo nitajie kijana mmoja wa dar aneyeanza first eleven ya yangaTimu za zilikua za Arusha lakini vijana wa Chuga kama kuna aliyekua anachezea hizo timu basi ilikua ni mmoja๐.
Chuga enzi hizobaache kwenda Mirelani ahangaike kwenda kukimbizana uwanjani? Atakwambia "Jombaaa, hizi mambo za k8duanzi aisee, mpiri wenyewe nikitaka niupige ile wanaita danadana unadunda kwenye mguu na kudondoka chini, huo muda ningekua nimeshakusanye mawe au nimepeleka watalii nikaingiza madolali aise๐
Umemaliza mkuu ๐คฃ๐คฃSehemu kubwa ya utalii kwa Tanganyika upo kaskazini. Ngorongoro (urithi wa dunia ipo kaskazini), Serengeti (among 7 wonders ) ipo kaskazini, olduvai ( lilipopapltikana fuvu la mtu wa kale zaidi) ipo kaskazini, mlima kilimanjaro (mrefu africa) upo kaskazini. Bado sijataja Manyara, Tarangire n.k. Labda uamue kujizima data tu kam yule kichaa alivyotangaza chato kitovu cha utalii.
Na kingine unachotakiwa kukijua ni kuwa hayo maeneo mengi yanaoakana au yapo karibu karibu hivyo ni rahisi mtalii kusafiri toka eneo moja kwenda kuona vitu tofauti eneo lingine.
Sasa na wewe tuambie mwanza au mbeya tunaenda kutangaza vitu gani. Ili tupime mzani unaangukia wapi.