Kubali ama kataa, ukweli ni kwamba kwa hapa Tanzania mtu asiyejua Kiingereza hajaelimika

Kwani ile inshu yako ya kutafuta mchumba wa kiume imeishia wapi? Maana naona leo tena umekuja na kingereza.
Wabongo wengi hamjaelimika. Hamjui lugha iliyobeba maarifa, ndiyo maana mko vichwa bweee
 
Do you even know how long it 'd take for you to be sane?, you 've lost a taste of a well functioning brain. Be yourself lady. Never engulf your lunacy.
 
Sababu ni kutaka ujumbe uwafikie watu wengi zaidi. Upo hapo?

Soma mada zangu zikizobandikwa kwa kiingereza ujifunze misamiati na uandishi bora kwa lugha hiyo

Utumwa wa fikra. Kudhani kujua lugha ya taifa jingine ni ufahari. Huo nao ni ujinga kama ujinga mwingine tu.

Kama unajua lugha za kigeni na unaona fahari na zinakusaidia wewe na familia yako, watu wengine yanawahusu nini?

Hii nayo ni mada?
 
Kiingereza hiki sikijibu kwasabb ni Cha kiwango Cha chini mno. Sentensi hazina hazina vionjo ziko plain mno. Kiingereza Cha darasa la tatu.
Acha uzushi unataka vionjo kwani hii imekuwa mboga,tupe tafsiri 👇👇👇
 
Do you even know how long it 'd take for you to be sane?, you 've lost a taste of a well functioning brain. Be yourself lady.
Sasa wewe ongeza bidii kusoma vitabu vilivyoandikwa kwa kiingereza ili uwe unaweka vionjo kwenye maandishi yako. Una uhaba wa misamiati ktk maandishi yako
 
Sasa wewe ongeza bidii kusoma vitabu vilivyoandikwa kwa kiingereza ili uwe unaweka vionjo kwenye maandishi yako. Una uhaba wa misamiati ktk maandishi yako
Kuna kitu nime note kwenye majibu yako. Asante sana kwakujibu hili swali, nimekutafutia angle nzuri na umejaa bila hata ya kuelewa 🤣🤣🤣🤣
 
Kuna kitu nime note kwenye majibu yako. Asante sana kwakujibu hili swali, nimekutafutia angle nzuri na umejaa bila hata ya kuelewa 🤣🤣🤣🤣
Haina shida. Karibu
 
Anuani ya mada na kilichomo ni kasi na kusi. Bora ungebadilisha anuani na ikaendana na kilichomo na kiwe kama ushauri au swali.

Kingine huu ni ushauri wangu kwako na hili tatizo mko nalo wengi sana humu mjifunze maana ya maneno kabla ya kuyatumia, hasa kwako wewe ulitakiwa ujue maana ya tamko "Elimu na kuelimika" kabla hujaandika hiki ulicho kiandika.

Mimi sijui Kiingereza ila nimeelimika pakubwa sana.
 
Ataelimika vipi wakati elimu inatolewa kwa lugha inayompiga chenga?
Lugha haipo hivyo mkuu kama ingekuwa hivyo basi watu wengi wangehesabika hawana elimu, kushindwa kujua kuongea na kuandika vizuri kiingereza haina maana kuwa hawezi kusoma na kusikiliza kiiingereza na ukaelewa.
 
Hujaelimika kama hujui kiingereza. Na ndiyo maana umeshindwa kujibu hoja hata moja kwenye uzi wangu. Umeanza kimajungu na umemaliza kimajungu.

Nilitegemea utoe hata ufafanuzi wa unachokielewa kuhusu elimu na kuelimika.

Mwisho, kwenye mada yangu hakuna anuani
 
kushindwa kujua kuongea na kuandika vizuri kiingereza haina maana kuwa hawezi kusoma na kusikiliza kiiingereza na ukaelewa.
Wewe kidogo umejikita kwenye mada.
Japo mada yangu imeongelea "kujua" kiingereza. Kujua kunabeba (kusoma, kuandika, kusikiliza na kuongea). Hivi vyote kwa pamoja mtu akiviweza vema ndiye tunasema anajua lugha fulani
 
Ungeandika kiingereza tukajua kama umeelimika.

Au na wewe unauelewa mdogo kama jiwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
jibu si tayar ameshalitoa jamaa hapo juu kuwa mshkaji na yeye anajua kama jiwe na ndio maana anaogopa kuandika kingereza hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…