- Thread starter
- #41
Wabongo wengi hamjaelimika. Hamjui lugha iliyobeba maarifa, ndiyo maana mko vichwa bweeeKwani ile inshu yako ya kutafuta mchumba wa kiume imeishia wapi? Maana naona leo tena umekuja na kingereza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo wengi hamjaelimika. Hamjui lugha iliyobeba maarifa, ndiyo maana mko vichwa bweeeKwani ile inshu yako ya kutafuta mchumba wa kiume imeishia wapi? Maana naona leo tena umekuja na kingereza.
Sababu ni kutaka ujumbe uwafikie watu wengi zaidi. Upo hapo?
Soma mada zangu zikizobandikwa kwa kiingereza ujifunze misamiati na uandishi bora kwa lugha hiyo
Yaani hata aliyekuwa jambazi, mbakaji, mwizi, muuwaji naye tumsifie tu kisa ni marehemu?Marehemu hasemwi vibaya!
Acha uzushi unataka vionjo kwani hii imekuwa mboga,tupe tafsiri 👇👇👇Kiingereza hiki sikijibu kwasabb ni Cha kiwango Cha chini mno. Sentensi hazina hazina vionjo ziko plain mno. Kiingereza Cha darasa la tatu.
My suggestion is, you should translate this thread into English in order to show us the example.
Also, next time use both English and Swahili so as all speakers (English and Swahili) can understand the message.
To me, I always judge as I'm beginner English learner because I learned this language in Tanzania, taught by Tanzanian teachers. In so doing, my English cannot be the same as Americans or people from UK.
Remember, Swahili is active in Tanzania. Only few Tanzanians speak English from morning to evening, may be those students who study at boarding schools, especially medium or international schools.
Sasa wewe ongeza bidii kusoma vitabu vilivyoandikwa kwa kiingereza ili uwe unaweka vionjo kwenye maandishi yako. Una uhaba wa misamiati ktk maandishi yakoDo you even know how long it 'd take for you to be sane?, you 've lost a taste of a well functioning brain. Be yourself lady.
Hebu muulize huyo! Hata aliyepora fedha za umma na kuzipeleka Chato tumsifie??Yaani hata aliyekuwa jambazi, mbakaji, mwizi, muuwaji naye tumsifie tu kisa ni marehemu?
Kuna kitu nime note kwenye majibu yako. Asante sana kwakujibu hili swali, nimekutafutia angle nzuri na umejaa bila hata ya kuelewa 🤣🤣🤣🤣Sasa wewe ongeza bidii kusoma vitabu vilivyoandikwa kwa kiingereza ili uwe unaweka vionjo kwenye maandishi yako. Una uhaba wa misamiati ktk maandishi yako
Sasa kiingereza gani hicho sentensi kama za debate ya darasa la tatu?Acha uzushi unataka vionjo kwani hii imekuwa mboga,tupe tafsiri 👇👇👇
Haina shida. KaribuKuna kitu nime note kwenye majibu yako. Asante sana kwakujibu hili swali, nimekutafutia angle nzuri na umejaa bila hata ya kuelewa 🤣🤣🤣🤣
Anuani ya mada na kilichomo ni kasi na kusi. Bora ungebadilisha anuani na ikaendana na kilichomo na kiwe kama ushauri au swali.Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kuelimika na kujua kiingereza hapa nchini kwetu. Kwasabb lugha yetu ya kufundishia ni kiingereza.
Hivyo ili mtu aweze kuipata elimu kwa kiwango kikubwa lazima aifahamu vema lugha ya kiingereza maana ndiyo iliyobeba taarifa zote zinazotakiwa na mwanafunzi. Kama mwanafunzi atakuwa hajui kiingereza ni dhahiri.kwamba kuna kitu atakikosa.
Wachina, wajapani na warusi wanatumia lugha zao kufundishia ndiyo maana wao kiingereza hakina umuhimu kwenye kuelimika.
Baba wa taifa JK alikifahamu vema kiingereza ndiyo maana aliweza kukitumia kupigania Uhuru wa nchi yetu bila bunduki. Alikuwa na ushawishi kwa wazungu.
Jiwe ndiye aliyekuwa na uelewa mdogo kuliko marais wote waliopita ktk taifa hili. Hakuna alichokuwa anakifahamu zaidi ya ubabe. Maana kwenye maisha yake alichojifunza na kukielewa vema ni ubabe wa kuswaga ng'ombe.
Lugha haipo hivyo mkuu kama ingekuwa hivyo basi watu wengi wangehesabika hawana elimu, kushindwa kujua kuongea na kuandika vizuri kiingereza haina maana kuwa hawezi kusoma na kusikiliza kiiingereza na ukaelewa.Ataelimika vipi wakati elimu inatolewa kwa lugha inayompiga chenga?
Wewe sio sexless bali wewe ni uselessWewe utakuwa muuminii wa jini jiwe ndiyo maana huamini. Dr. Akwilapo kahongwa cheo kwa kumuandikia jiwe andiko la PhD
Hujaelimika kama hujui kiingereza. Na ndiyo maana umeshindwa kujibu hoja hata moja kwenye uzi wangu. Umeanza kimajungu na umemaliza kimajungu.Anuani ya mada na kilichomo ni kasi na kusi. Bora ungebadilisha anuani na ikaendana na kilichomo na kiwe kama ushauri au swali.
Kingine huu ni ushauri wangu kwako na hili tatizo mko nalo wengi sana humu mjifunze maana ya maneno kabla ya kuyatumia, hasa kwako wewe ulitakiwa ujue maana ya tamko "Elimu na kuelimika" kabla hujaandika hiki ulicho kiandika.
Mimi sijui Kiingereza ila nimeelimika pakubwa sana.
Wewe kidogo umejikita kwenye mada.kushindwa kujua kuongea na kuandika vizuri kiingereza haina maana kuwa hawezi kusoma na kusikiliza kiiingereza na ukaelewa.
Wewe wasema. Nategemewa na ndugu na jamaa mm.Wewe sio sexless bali wewe ni useless
Hilo nafahamu hata kabla sijatoa ile commentWewe wasema. Nategemewa na ndugu na jamaa mm.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ungeandika kiingereza tukajua kama umeelimika.
Au na wewe unauelewa mdogo kama jiwe.
jibu si tayar ameshalitoa jamaa hapo juu kuwa mshkaji na yeye anajua kama jiwe na ndio maana anaogopa kuandika kingereza hapoI often wonder! Someone can use Swahili to challenge those who don't know English well like me.
Please! use English to become a role model, when you want to challenge Tanzanians who try to use English mistakenly. We need to learn English from those haters as well.
It's a wastage of time, and non-sense to use Swahili saying that, Tanzanians don't know English well.
Why can't you use English to explain about your opinion, in order to enable us to learn from you? Show us your level of English please!