Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

Mwalupale

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
1,049
Reaction score
674
Salaaam wanajamvi.

Kwa wale watumiaji wenzangu wa mtandao wa kijamii wa instagram wengi wenu mtakuwa mmemfollow mwanadada machachari anaeweza kuikosoa serikali bila woga:- Mange Kimambi.

Imefikia mahali sasa watumiaji wa insta wengi niliongea nao wanasema wakilog in wanaingia kusoma posts za mange kimambi tu kisha wanalog out. Yaani kiufupi page ya huyu mwanadada aishie marekani inatembelewa mara nyingi sana. I presume inaweza ikawa most visited page kutoka audience/followers wa kitanzania.

Mange amekuwa akijikita sana kutetea wananchi, kukosoa serikali, kuwachamba wabaya wake wanaomchokoza, kupigania freedom of speech n.k.

Swali:
Je haujawahi kuingia instagram na moja kwa moja ukasearch page ya huyu dada na uliposoma posts zake ukaridhika then ukalog out? Admit it .....
 
Sijawahi et niishie kwa Mange then nitoke... Big NO. Mara kadhaa namkumbuka nikiona watu wamemtag then nachungulia kwa juu juu kuona mawili matatu. BTW siamini anachokiamini yeye na siiamini serikali iliyopo pia. I give both of them 50/50
 
Hana kipya kwa sasa, hana habari hot kama zamani, sikuizi kaonekana wa kawaida kama Mh Mrema, upepo umebadilika anatamani kusifia hawezi, anabaki kuwa mshauri na kuhamasiha machafuko
 
C alisema wema anarudi ccm. Tunasubr utabr wake. Mm alinipa block kwa kumwambia ukweli. Akiongea uongo anasimamia uongo huo chuo. Hassan ngoma kafukuzwa clouds, Mara diamond hayupo vevo, nyumba ya south c yake, tiffah c wake, ukimwambia ukwel unakula block. Yeye na le mutuz wanataka uwasapot hata ujinga
 
Ukitoa wanasiasa wachache, kwa hivi sasa nchi hii anayekosoa bila kuogopa ni Pascal Mayalla peke yake!!

Pasco anakosoa akitumia jina lake kamili huku pia akipatikana kirahisi kwenye viunga vya Dar es salaam!

Mange anakosoa, in fact anamwaga mitusi, huku amejifungia kwenye undisclosed location!!

Acheni utani nyie watu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…