Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ukitoa wanasiasa wachache, kwa hivi sasa nchi hii anayekosoa bila kuogopa ni Pascal Mayalla peke yake!!
Pasco anakosoa akitumia jina lake kamili huku pia akipatikana kirahisi kwenye viunga vya Dar es salaam!
Mange anakosoa huku amejifungia kwenye undisclosed location!! Acheni utani nyie watu....
Huyo Da Mange huwa anakosoa au huwa anatukana tu?