Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

Kwa uandishi tu nimejua uwezo wako wa kufikiri mfupi kimo cha mtoza ushuru.
 
Hivi Chadema wameridhika kabisa kumpa Mange kimambi umbea wa kuandika Instagram? HawaoniChama kinadhalilika?
Unge atttach barua ikimteua uyu bi dada kuwa msemaji wa chadena, otherwise mlichokiandika ni kichafu na cha ovyo zaidi ya... UHARO
 
Wew umenena vyema...hua naona kama page/ mtandao wa kike....sorry for insta users as no offense intended
mimi mara ya kwanza kuusikia na waliokuwa wanauzungumzia nikaona kama ni mtandao wa ubishooubishoo, umbeaumbea,ubitozi na ulimbukeni,kuuza sura, na kwa kutafutia michepuko na michepushwa.
nimekuja kuusikilizia huku tena jf.
ila naheshimu maamuzi ya wanaoupenda kwa sababu zao.
 
JINOME

HUYO MWENYEKITI WA CHAMA ULICHOKITAJA NA HUYO "AFISA HABARI WAO" ALIYEKO UGHAIBUNI AKILI ZAO SAWA , HAWANA TOFAUTI YOYOTE !!
 
Eti celebrity yupi ana nguvu ya kushawishi, kueneza uongo, kuaminiwa kumzidi Mange Kimambi?
Wema Sepetu?
Alikiba?
Diamond Platnumz?
Zari?

Nilivyo ona ule ushuzi wa seduce me alivyo upromote na kutrend kiasi cha kuingiza mpk wanasiasa, nilinyoosha mikono juu.

Wema mwenyewe akiamshiwa dude humfuata mara moja waya malize.

Mange ana nguvu aisee, Akitaka taarifa zako dakika 5 ni nyingi, utafukuliwa hata yale usiokumbuka.

Live long Mange Kimambi.....!!
 
Umeanza kutumia mitandao muda si mrefu huyo Mange alitaka kugombea ubunge ccm kinondoni wakamchomoa
 
Hiyo mwambie mwambie nadhani ungemwambia Kamanda Sirro ingependeza zaidi.!!
 
Hivi hata debe tupu kama wewe unaruhusiwa kuijibu tuhuma zilizoelekezwa kwa ccm na serikali yake?
 
Back
Top Bottom