Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

Hivi siku hizi hapo Lumumba kuna aliyebaki ambaye kidogo twaweza kufikiria zipo zipo hata za kuvukia barabara? Maana kama huyu mleta mada zake zaweza kuwa zile hata akiona sufuria jikoni akajisaidia akidhani choo cha kukaa.
Hivi nani kasema watoto waliotangazwa Kibiti hawaonekani wameuwawa? Watu wamejiuliza kutokuonekana kwa watoto kunaweza kuwa ishara kama ile ya Chibok, na wanaweza kuwa wanafundishwa mambo machafu tukaja juta Baadae!
Lakushangaza ni kuwa utoro mashuleni siku hizi unashughulikiwa na IGP?
,
 
mond followers 4.1m mange 1.5m nani more maarufu zaidi
 
Sasa mbona thread yako ni SWALI, lakini ukiisoma umeconclude kwa kutoa jibu lako..?? Si ungesema tu moja kwa moja KATI YA CELEBRITIES HAWA, Mange ndo ana nguvu kuliko wote...!!!
 
Unalinganisha samaki na dagaa kwa kumlinganisha Diamond na Mange, Mange ni nouma anapataga taarifa za ndani kabisa tena kwa kitambo kidogo, follower wa mond ni mashabiki wake tu wakati Mange hadi maadui zake wanamfollow ili mradi wajue kasema nini
 
Huyo mange ndo nanii??? Wekeni picha nimwone ....kama anaweza kutongozwa...me simujui kabisa aiseeee
 
Huyo mange ndo nanii??? Wekeni picha nimwone ....kama anaweza kutongozwa...me simujui kabisa aiseeee
 
Back
Top Bottom