Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

Mange aliwahi kutuaminisha eti Mkulu akipanda ndege anakamatwa na tumbo la kuhara, anaogopa ndege kuliko simba[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sijawahi et niishie kwa Mange then nitoke... Big NO. Mara kadhaa namkumbuka nikiona watu wamemtag then nachungulia kwa juu juu kuona mawili matatu. BTW siamini anachokiamini yeye na siiamini serikali iliyopo pia. I give both of them 50/50

Juzi alipost kuhus wema kurud CCM na akasema she is sure of more [emoji817] Leo yametimia
 
Eti celebrity yupi ana nguvu ya kushawishi, kueneza uongo, kuaminiwa kumzidi Mange Kimambi?
Wema Sepetu?
Alikiba?
Diamond Platnumz?
Zari?

Nilivyo ona ule ushuzi wa seduce me alivyo upromote na kutrend kiasi cha kuingiza mpk wanasiasa, nilinyoosha mikono juu.

Wema mwenyewe akiamshiwa dude humfuata mara moja waya malize.

Mange ana nguvu aisee, Akitaka taarifa zako dakika 5 ni nyingi, utafukuliwa hata yale usiokumbuka.

Live long Mange Kimambi.....!!
Dr. Luis Shika
 
unajua Mimi nashindwa kuelewa. watu wanamshabikia kwa issue za kijinga. mpaka watu wanasema kuwa ni mkombozi wa wanyonge. kamkomboa nani na wapi lini!!?? watu wamekalia mambo yasiyo ya maana na hatari kwa taifa. watu wanamsifu kwa kuwa anapata taarifa za siri za serikali. kitu ambacho ni hatari hata kwa wanaomshabikia. maana siku ikitokea maadui wa taifa letu wakimuomba taarifa za siri za serikali, una uhakika gani kama hata peleka huko. mimi binafsi namuona ni kituko tu.

angekuwa mwanaharakati wa kweli angekuwa anafanya vitu formal kwa kuanzisha mataasisi kama waAfrika wengine mfano wa kongo Rwanda Burundi Uganda Zimbabwe ambao ni critical kwa serikali zao. mara kadhaa nimewaona kwenye VOA STRAIGHT TALK AFRICA WAKIHOJIWA NA NDG SHAKA SSALI. WAKIELEZEA MAPUNGUFU YA SERIKALI ZAO. lkn huyu kimba nini sijui mnamfahamu nyie tu kwenye Insta.
 
siasa ndio maisha ya watu kwamaana inagusa mambo muhimu ya wananchi, kama uchumi, afya, elimu n.k. ukipima kupitia vigezo hivi, basi Mange atakuwa mbele zaidi
 
C alisema wema anarudi ccm. Tunasubr utabr wake. Mm alinipa block kwa kumwambia ukweli. Akiongea uongo anasimamia uongo huo chuo. Hassan ngoma kafukuzwa clouds, Mara diamond hayupo vevo, nyumba ya south c yake, tiffah c wake, ukimwambia ukwel unakula block. Yeye na le mutuz wanataka uwasapot hata ujinga
Vipi umemuamini sasa?
 
c96298828f35621e9c6999ee4572b7db.jpg
 
Sijawahi kumfatilia na haitatokea jibwa tu kazi kubweka!
 
Mwanaume ambaye ana app ya Instagram sijui huwa namuonaje!It's more girlishly hiyo app
Insta ni kama jf, ukitaka upuuzi unaupata ukitaka vya msingi unapata.
Mfano mimi nimefollow page chache tu, fitnessanyhow, simplyshredded, kulbilafitness, eplgoals, boxingupdates, memelif3.
 
Back
Top Bottom